Hakuna kitu kama hiko..siku moja ni mwendo wa masaa 24 kama kawaida!!
02:Kuamka saa 06:00 kunywa uji wenye sukari ya kawaida
03: Saa 09:00 Asubuhi mna kula chakula cha mchana, hapo ndio imetoka hadi kesho!( Kama ukitaka una bakisha unatunza ili uje ule usiku)
04: Jela kuna watu hawali chakula cha Jela!! ukitaka wali nyama,kuku,chapati,supu,.n.k...unapata(vyakula vya nje)( hii ni pale tu ndugu yako alikuja na pesa yako ya kujikimu either ya mwezi or week akaacha kwa Askari!!
05: Jela hakuna Ubabe
06: jela kuna Azam Tv
07: Kila mtu anafanya kazi( baada ya kula chakula saa tatu Asubuhii!! Mnapiga kazi masaa matatu Tu!! Then mnarudi ndani
08: Baada ya kurudi ndani 13:00 ni mwendo wa stori mwanzo mwisho hadi saa 18:00 inapiga filimbi wote kimya,wote mnainamisha kichwa chini mlale,Amri,no story hapo hadi asubuhi
09: Vyoo vipo visafi na tena vingi tu
10: Mfungwa anae hamishwa hambiwi, kimya kimya ana bebwa(kwenye kruza) bila kujua anaenda wapi au mkoa gani hii ni USIKU sana
11: Shida ya jela na ugumu wake ni kukosa ule uhuru(kila siku upo ndani,upangiwa kulala)