Me nadhani tungeretrieve members wote: a) -waliopotea tangu mwaka jana baada ya mauaji ya Oct 29.
Hii ni ID nyingine ya mbuzi, ikipigwa ban id kuu ndo anakuja na hii ila kapotea ndo maana zote haziko active
Mzee wa masikitiko😂Inasikitisha sana
Bantu Lady upo salama dada
Nimeona! Hope she is safe aise.Huyu Sept 6 kamaliza mwaka bila kutia comment hapa Jf labda kama anapita kmy kmya