Khna siku alikuwa anashukuriwa na Member fulani ambaye alikuwa anatoa shukrani baada ya kutumiza malengo yakeHuyo nae toka oct 29 hajarudi hapa
Nipo kaka
Nimerudi shukran mkuu , ila Mwanetu Intelligent businessman kapotea kabisa hata kwa call hapatikani toka muda mrefu sasa
Mwanangu Intelligent businessman nini zaidi mbona kimya hivii?
Mwabu kusiKuna member moja alikuwa anajiita "BAK" sijui alipotelea wapi, ni muda mrefu sana haonekani humu.
Mara ya mwisho alisemaga anaumwa Sana, mpaka Leo hajawahi kurudi.Mwanangu Intelligent businessman nini zaidi mbona kimya hivii?
Sidhani kama ni huyo maanake nilisikia kwamba alikuwa akiishi nje ya Tanzania.Mwabu kusi
Kwani huyo niliyemtaja aka yake unaijua? anajiita BAKSidhani kama ni huyo maanake nilisikia kwamba alikuwa akiishi nje ya Tanzania.
Sio huyo bwana.Kwani huyo niliyemtaja aka yake unaijua? anajiita BAK
Intelligent businessman Kuna ishu alikua anapitia nikawa mara moja moja namcheki PM, dah sahivi hajibu. Najuta sikuchukua Namba ya simu.
Kumbe yupi? ulikuwa unamjua kwa sura ?Sio huyo bwana.
😃😃😃😃Ila kindege😃😃😃Sasa yule dogo mkalia misumari 'de gunner' ndo anapenda kuanzishiwa nyuzi kama hizi ili atambue kuwa yeye anathamai maishani.
Ni rafiki yangu nina mawasiliano nae takribani miaka miwili now , ila sasa namba zake hazipatikani wala Wasap hayuko online kwa miezi kadhaa mpaka saaa .Huyo Intelligent businessman
Kuna usalama kweli?? Wenye mawasiliano nae watupe mrejesho maana last post yake ilikuwa July huko alisema Hali imebadilika na imebidi arudi hospital, mwenye mawasiliano nae tafadhali watupe mrejesho