Kuna members wamepotea sana humu Jf since july kuna usalama kweli?

Kuna members wamepotea sana humu Jf since july kuna usalama kweli?

Ni rafiki yangu nina mawasiliano nae takribani miaka miwili now , ila sasa namba zake hazipatikani wala Wasap hayuko online kwa miezi kadhaa mpaka saaa .
Dah!! hii si nzuri aisee, inawezekana Kuna jambo limemkuta member huyu, kama hadi mawasiliano hayapatikani si dalili nzuri
 
Wengine wamebadili I'd zao!!
Wengine tuna mashaka sana!

Kifupi zama hizi ni za kuomba ulinzi wa Mungu coz mtu anaweza potea na mamlaka zisimtafute coz zimechoshwa na case nyingi za hivyo!!

Wapo loaded sana!
 
Back
Top Bottom