secretarybird
JF-Expert Member
- Aug 22, 2024
- 23,984
- 51,055
Na hapa naangalia ID atakayokuja nayo, nahakikisha nayo inaunganishwa.😃😃😃😃Ila kindege😃😃😃
Na hapa naangalia ID atakayokuja nayo, nahakikisha nayo inaunganishwa.😃😃😃😃Ila kindege😃😃😃
Dah!! hii si nzuri aisee, inawezekana Kuna jambo limemkuta member huyu, kama hadi mawasiliano hayapatikani si dalili nzuriNi rafiki yangu nina mawasiliano nae takribani miaka miwili now , ila sasa namba zake hazipatikani wala Wasap hayuko online kwa miezi kadhaa mpaka saaa .
Una uhakika mpaka sasa hajaregister 🆔 mpya?? maana kama kala ban miezi 6 hawezi vumilia miezi 6 bila kupost chochote humu..Na hapa naangalia ID atakayokuja nayo, nahakikisha nayo inaunganishwa.
Hapa nafanya juu chini ili nimdake haraka iwezekanavyo. Niko macho kweli yaani!Una uhakika mpaka sasa hajaregister 🆔 mpya?? maana kama kala ban miezi 6 hawezi vumilia miezi 6 bila kupost chochote humu..
Inabidi ukae rada😃😃Hapa nafanya juu chini ili nimdake haraka iwezekanavyo. Niko macho kweli yaani!
Mno!Inabidi ukae rada😃😃
Ila Kuna moja hivi nahisi ni yake kabisaMno!
Mtaje tu ila usimtag 😁Ila Kuna moja hivi nahisi ni yake kabisa
King ofMtaje tu ila usimtag 😁
Mimi nahisi ile ..no kufake... maana nayo inajiliza sana iliwahi kuanzisha Uzi wa kuomba 20KIla Kuna moja hivi nahisi ni yake kabisa
Confirmed ni yake imeungwa Jana , ngoja nikutag kwenye uzi akijichanganya ikaungwa hiyo IDKing of
Kitu ambacho nina uhakika hawezi kukaa miezi bila 🆔 nyingine, lazima aje apost tu ana ugonjwa na JfUna uhakika mpaka sasa hajaregister 🆔 mpya?? maana kama kala ban miezi 6 hawezi vumilia miezi 6 bila kupost chochote humu..
😃😃😃😃🙌.Mimi nahisi ile ..no kufake... maana nayo inajiliza sana iliwahi kuanzisha Uzi wa kuomba 20K
😃😃wadau wamembatiza majina mengi mara chiwawa, mara attention seekerConfirmed ni yake imeungwa Jana , ngoja nikutag kwenye uzi akijichanganya ikaungwa hiyo ID
Anaiponda JF lakini hawezi kuiacha😃😃Kitu ambacho nina uhakika hawezi kukaa miezi bila 🆔 nyingine, lazima aje apost tu ana ugonjwa na Jf