Hizo zote posho wakifikilia posho za bungeni moja haikai waende tu watajua wenyewe
Kafie mbelle wewe ,Mkuu nakuhakikishia Ndani ya chadema kuna fukuto kubwa sana, wengi wana hasira na chairman
Hebu fikiria wabunge wa Chadema wanakatwa mshahara zaidi ya milion na Mbowe
Leo hii anawakataza wasibudhurie vikao wajipatie hata posho kidogo
Je Hii ni haki Ndugu yangu?
Tuhamasishe Wananchi tumkatae Mbowe kwenye chama
Mimi si CDM, ila udikiteita wa degree hiyo hawana. hata NCCR, ACT hawana. Unadhani wabunge wanataka kukaa bungeni kufa, jaribu kupinga kama kesho utakuwa mbunge!Acha uongo! Jaribu kwenda kinyume na Mwenyekiti wa Maisha Mbowe uone cha moto!!
Bungeni kuna corona,wangoje nini pale?Mimi si CDM, ila udikiteita wa degree hiyo hawana. hata NCCR, ACT hawana. Unadhani wabunge wanataka kukaa bungeni kufa, jaribu kupinga kama kesho utakuwa mbunge!
Kafie mbelle wewe ,
chama chako tunakijua,
Mbowe ni kiongozi jasiri na mwenye kujalimaslahi ya Watanzania.
Kama hamumuelewi leo ,muda utasema.
Corona ipo na inauwa sana tuu,
Mkuu pombe fukuto ni pale mwenyekiti anapo jificha halafu akawahimiza wenzake wasiogope korona wachape kazi, ikiwemo kuendelea na vikao vya bajeti ili wapitishe halafu yeye aje achote hela bila ya hao wanaojadili kushirikishwa.Kuna fukuto kubwa Ndani ya chadema kuwa uamuzi wa chairman wa Chadema kuamua wabunge wote wa Chadema waingie karantini zimeleta sintofahamu kwa wabunge wengi wa chama hicho
Baadhi ya wabunge wa Chadema wamelalamika kutokushirikishwa katika maamuzi yaliyochukuliwa na chairman Mbowe
Kuna wabunge wa Chadema wanalalamika kuburuzwa kila mara, Wengi wanaona kutokuhudhuria vikao vya bajeti ni kama kuwasaliti wapiga kura wao
Kwa inavyoonekana Chadema ni km bomu linalosubiria kulipuka
My take :chairman kuwa mwanademokrasia acha maamuzi ya kibabe lasivyo chama kitasambaratika
Mkuu pombe fukuto ni pale mwenyekiti anapo jificha halafu akawahimiza wenzake wasiogope korona wachape kazi, ikiwemo kuendelea na vikao vya bajeti ili wapitishe halafu yeye aje achote hela bila ya hao wanaojadili kushirikishwa.
Uko sahihi lkn ni mwanadamu, he is a product of sex, as we are you and I, kwanini mnamtukuza zaidi ya Mungu? Huyu alipiga push up mtu mzima kuomba kazi, leo kawa Mungu! No, jirekebishe nyinyi wafuasi wake! There can a very nice replacement anyway! Kama Nyerere alikuwa replaced, hakuna linaloshidikana ! Umenifurahisha, hapashwi kuwa exposed ,and therefore siyo kagonjwa kadogo, siyo mafuta yanayoyeyuka kwa kufukizaHuyo siyo size ya Mbunge! Huyo ni nembo ya Taifa na Amiri Jeshi hatakiwi kuwa exposed mkuu.
Evidence pleaseIngekuwa demokrasia Mbowe asingechukua maamuzi ya kibabe
Fukuto unalo weweKuna fukuto kubwa Ndani ya chadema kuwa uamuzi wa chairman wa Chadema kuamua wabunge wote wa Chadema waingie karantini zimeleta sintofahamu kwa wabunge wengi wa chama hicho
Baadhi ya wabunge wa Chadema wamelalamika kutokushirikishwa katika maamuzi yaliyochukuliwa na chairman Mbowe
Kuna wabunge wa Chadema wanalalamika kuburuzwa kila mara, Wengi wanaona kutokuhudhuria vikao vya bajeti ni kama kuwasaliti wapiga kura wao
Kwa inavyoonekana Chadema ni km bomu linalosubiria kulipuka
My take :chairman kuwa mwanademokrasia acha maamuzi ya kibabe lasivyo chama kitasambaratika
Nimemsoma mtu mmoja! :Mimi si CDM, ila udikiteita wa degree hiyo hawana. hata NCCR, ACT hawana. Unadhani wabunge wanataka kukaa bungeni kufa, jaribu kupinga kama kesho utakuwa mbunge!
Ulivyoanza sentensi inathibitisha ni udaku wa mdaku.Unaambia hakuna kikao chochote kilifanyika, yalikua ni maamuzi ya kibabe 'as usual' ya mwenyekiti.
Sent using Jamii Forums mobile app
Tanzania Jiwe anatumia hela bila idhini ya bunge.Hivyo hatuna haja ya bunge ni upuuzi mtupu, hakuna bunge kuna mhimili MMOJA tu NAO NI executive HIVYI VINGINE NI STOOGE TU!Nchi bila budget kupitishwa haiwezi kwenda kabisa hili kila Mtanzania anajua.
Na October msuse tumewazoea!Tanzania Jiwe anatumia hela bila idhini ya bunge.Hivyo hatuna haja ya bunge ni upuuzi mtupu, hakuna bunge kuna mhimili MMOJA tu NAO NI executive HIVYI VINGINE NI STOOGE TU!
Kwani umeanza kuangalia TBC1? Si wanasaccos ya Chadema mlisusa?