Tetesi: Kuna mgawanyiko mkubwa ndani ya CHADEMA kuhusu kuacha kuhudhuria vikao vya Bunge. Kuna fukuto la chini kwa chini

Tetesi: Kuna mgawanyiko mkubwa ndani ya CHADEMA kuhusu kuacha kuhudhuria vikao vya Bunge. Kuna fukuto la chini kwa chini

Mkuu nakuhakikishia Ndani ya chadema kuna fukuto kubwa sana, wengi wana hasira na chairman

Hebu fikiria wabunge wa Chadema wanakatwa mshahara zaidi ya milion na Mbowe

Leo hii anawakataza wasibudhurie vikao wajipatie hata posho kidogo
Je Hii ni haki Ndugu yangu?

Tuhamasishe Wananchi tumkatae Mbowe kwenye chama
Hizo zote posho wakifikilia posho za bungeni moja haikai waende tu watajua wenyewe
 
Mkuu nakuhakikishia Ndani ya chadema kuna fukuto kubwa sana, wengi wana hasira na chairman

Hebu fikiria wabunge wa Chadema wanakatwa mshahara zaidi ya milion na Mbowe

Leo hii anawakataza wasibudhurie vikao wajipatie hata posho kidogo
Je Hii ni haki Ndugu yangu?

Tuhamasishe Wananchi tumkatae Mbowe kwenye chama
Kafie mbelle wewe ,
chama chako tunakijua,
Mbowe ni kiongozi jasiri na mwenye kujalimaslahi ya Watanzania.
Kama hamumuelewi leo ,muda utasema.
Corona ipo na inauwa sana tuu,
 
Acha uongo! Jaribu kwenda kinyume na Mwenyekiti wa Maisha Mbowe uone cha moto!!
Mimi si CDM, ila udikiteita wa degree hiyo hawana. hata NCCR, ACT hawana. Unadhani wabunge wanataka kukaa bungeni kufa, jaribu kupinga kama kesho utakuwa mbunge!
 
Mimi si CDM, ila udikiteita wa degree hiyo hawana. hata NCCR, ACT hawana. Unadhani wabunge wanataka kukaa bungeni kufa, jaribu kupinga kama kesho utakuwa mbunge!
Bungeni kuna corona,wangoje nini pale?
Kama hamusikii ,basa hata kuona hamuoni?
Hao wabunge wa CCm wanaohudhuria bungeni wanahisabika.
 
Corona tutaishinda Mkuu

Mawazo ya Mbowe yamepitwa na wakati
Kafie mbelle wewe ,
chama chako tunakijua,
Mbowe ni kiongozi jasiri na mwenye kujalimaslahi ya Watanzania.
Kama hamumuelewi leo ,muda utasema.
Corona ipo na inauwa sana tuu,
 
Kuna fukuto kubwa Ndani ya chadema kuwa uamuzi wa chairman wa Chadema kuamua wabunge wote wa Chadema waingie karantini zimeleta sintofahamu kwa wabunge wengi wa chama hicho

Baadhi ya wabunge wa Chadema wamelalamika kutokushirikishwa katika maamuzi yaliyochukuliwa na chairman Mbowe
Kuna wabunge wa Chadema wanalalamika kuburuzwa kila mara, Wengi wanaona kutokuhudhuria vikao vya bajeti ni kama kuwasaliti wapiga kura wao

Kwa inavyoonekana Chadema ni km bomu linalosubiria kulipuka

My take :chairman kuwa mwanademokrasia acha maamuzi ya kibabe lasivyo chama kitasambaratika
Mkuu pombe fukuto ni pale mwenyekiti anapo jificha halafu akawahimiza wenzake wasiogope korona wachape kazi, ikiwemo kuendelea na vikao vya bajeti ili wapitishe halafu yeye aje achote hela bila ya hao wanaojadili kushirikishwa.
 
Hizo ni propaganda za mtandaoni
Mkuu pombe fukuto ni pale mwenyekiti anapo jificha halafu akawahimiza wenzake wasiogope korona wachape kazi, ikiwemo kuendelea na vikao vya bajeti ili wapitishe halafu yeye aje achote hela bila ya hao wanaojadili kushirikishwa.
 
Huyo siyo size ya Mbunge! Huyo ni nembo ya Taifa na Amiri Jeshi hatakiwi kuwa exposed mkuu.
Uko sahihi lkn ni mwanadamu, he is a product of sex, as we are you and I, kwanini mnamtukuza zaidi ya Mungu? Huyu alipiga push up mtu mzima kuomba kazi, leo kawa Mungu! No, jirekebishe nyinyi wafuasi wake! There can a very nice replacement anyway! Kama Nyerere alikuwa replaced, hakuna linaloshidikana ! Umenifurahisha, hapashwi kuwa exposed ,and therefore siyo kagonjwa kadogo, siyo mafuta yanayoyeyuka kwa kufukiza
 
Kuna fukuto kubwa Ndani ya chadema kuwa uamuzi wa chairman wa Chadema kuamua wabunge wote wa Chadema waingie karantini zimeleta sintofahamu kwa wabunge wengi wa chama hicho

Baadhi ya wabunge wa Chadema wamelalamika kutokushirikishwa katika maamuzi yaliyochukuliwa na chairman Mbowe
Kuna wabunge wa Chadema wanalalamika kuburuzwa kila mara, Wengi wanaona kutokuhudhuria vikao vya bajeti ni kama kuwasaliti wapiga kura wao

Kwa inavyoonekana Chadema ni km bomu linalosubiria kulipuka

My take :chairman kuwa mwanademokrasia acha maamuzi ya kibabe lasivyo chama kitasambaratika
Fukuto unalo wewe
 
Mimi si CDM, ila udikiteita wa degree hiyo hawana. hata NCCR, ACT hawana. Unadhani wabunge wanataka kukaa bungeni kufa, jaribu kupinga kama kesho utakuwa mbunge!
Nimemsoma mtu mmoja! :
WAPINZANI KUKIMBIA BUNGENI.

Na Thadei Ole Mushi

1. Nchi bila budget kupitishwa haiwezi kwenda kabisa hili kila Mtanzania anajua.

2. Kuendelea kukusanyika hapo Bungeni huku mkiwa na kila dalili kuwa Kuna maambukizi ni kudhulumu na kuhujumu maisha ya wabunge wetu.

3. Kitendo Cha Wapinzani kukimbilia nyumbani nakipongeza kwa dhati kabisa. Wameomba mengi kupitia ugonjwa huu Kama kupima wabunge wote nk lakini hawakusikilizwa, kunguru mwoga huponya Mbawa zake. Wangekimbia huku kukiwa ushauri wao ulishachukuliwa ningefikiri tofauti na kuwaona wasaliti.

4. Dunia ya Science na Technology bado Spika analazimisha lazima mfungue milango ya bunge ndio budget ipite. Zingeweza kutumiwa njia nyingine za Kisayansi budget husika ikapita. Hii itasaidia kuwatoa wabunge wetu kwenye maeneo hatarishi na kuwarudisha kukaa nyumbani na familia zao. Vyuo vyetu vikuu kila siku vinazalisha wataalamu wa computer tunashindwa nn? Miaka zaidi ya Hamsini ya Uhuru bado tunangangania kukaa kwa mkao ule ule wa Bunge la Adam Sap Mkwawa? Tubadikike tupo zaidi ya hapo kwa Sasa.....

5. Kukimbia kwa Wapinzani hakutaathri chochote maana hata mawazo yao ndani ya Budget huchukuliwa kwa hisani hata Kama una manufaa kiasi gani. Kama tunaweza kutupa hotuba zao mbadala hapo Bungeni wanaendelea kufanya nini hapo?. Mm ni CCM ila nawapongeza katika hili, kwanza wamewalinda wengine, wamejikinda wao na hata wamelinda familia zao. Hata Borris alipokutwa na maambukizi alikimbilia kujitenga.

Ole Mushi
0712702602
 
Nchi bila budget kupitishwa haiwezi kwenda kabisa hili kila Mtanzania anajua.
Tanzania Jiwe anatumia hela bila idhini ya bunge.Hivyo hatuna haja ya bunge ni upuuzi mtupu, hakuna bunge kuna mhimili MMOJA tu NAO NI executive HIVYI VINGINE NI STOOGE TU!
 
Tanzania Jiwe anatumia hela bila idhini ya bunge.Hivyo hatuna haja ya bunge ni upuuzi mtupu, hakuna bunge kuna mhimili MMOJA tu NAO NI executive HIVYI VINGINE NI STOOGE TU!
Na October msuse tumewazoea!
 
Back
Top Bottom