Tetesi: Kuna mgawanyiko mkubwa ndani ya CHADEMA kuhusu kuacha kuhudhuria vikao vya Bunge. Kuna fukuto la chini kwa chini

Tetesi: Kuna mgawanyiko mkubwa ndani ya CHADEMA kuhusu kuacha kuhudhuria vikao vya Bunge. Kuna fukuto la chini kwa chini

Hizo ni propaganda za mtandaoni
Sijui nikuite dada ama kaka? Lakini acha tu nikuite pombe. Tukirudi kwenye hoja ya msingi ni kwamba miongoni mwa propaganda za mitandaoni ni hii habari uliyo andika ambayo tunachangia. Kwa kuwa huku weka chanzo sahihi cha habari yako basi inabaki kuwa ni propaganda za mitandaoni. Na tukizungumzia vikao vya kujadili bajeti, ebu lete uthibitisho wa manunuzi ya ndege ili tuone ni bunge gani lilijadili na kupitisha bajeti yake? Na ni bunge gani liliidhinisha pesa hiyo kama inavyo takiwa? Na nikiasi gani mpaka sasa kimetumika kwa ndege zote hizo? Ili tuondokane na propaganda za mitandaoni hebu thibitisha hilo kwa vielelezo vya kuaminika.
 
Ukiambiwa wanaopinga maamuzi ya Mbowe hutaamini ni Wengi sana

Iko wazi dj amezidi udkteta
Kuna mambo mengine mnapochangia humu hoja zenu zinakosa logic na kuwafanya muonekane kama wakereketwa wa chama fulani.

Kila moja anafahamu vizuri kuwa the same Mbowe unayemponda wewe ndio majuzi tu hata mwaka haujaisha alishinda kura za uwenyekiti with a landslide hadi kumfanya yule mtu wenu mliyempandikiza aamue kurejea huko kwenu alikotoka.

M/Kiti wenu alijidai nabii feki kwa kutabiri kuwa Chadema isingefika 2020, leo anahangaika namna gani a-devise mbinu za kuiba kura ili ndio aweze kukamilisha miaka mingine mitano hadi wafadhili wamemzira. Very hopeless.
 
Hakuna shinikizo wabunge wa Ccm wanajadili bajeti ya Wananchi

Chadema wamesaliti Wananchi
Wanatamani kumkimbia corona ambaye tayari yuko bungeni, lakini mwenyekiti kashinikiza wachape kazi, wanasema mbona yeye mwenyekiti kalaza zake nyasi yuko chato!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Acha hasira... Mwenyekiti kazidi udikteta. Sasa amegusa masilahi ya watu.. subir uone

Sent using Jamii Forums mobile app
The door is wide open and all disgruntled elements plus ccm moles in Chadema can ignominiously leave.

What is currently going on in the party is a "Self Mop Up Scheme" in which all the ccm moles are cleansing themselves by ignominiously quitting by either joining ccm or crossing over to the ccm allied party. It's as simple as such.
 
Corona tutaishinda Mkuu

Mawazo ya Mbowe yamepitwa na wakati
Ni mawazo finyu. Yeye kwa akili yake anaamini lockdown ndiyo mwarobaini ya janga hili, kitu ambacho si kweli. Hata huko kwa wakubwa wake duniani haiko hivyo:

Kamanda Dj kazi yake kuamlisha tu kama jeshini hamna kuhoji ni utekelezaji tu.

Kwaiyo CDM haina tofauti na kambi ya jeshi
 
Kuna fukuto kubwa Ndani ya chadema kuwa uamuzi wa chairman wa Chadema kuamua wabunge wote wa Chadema waingie karantini zimeleta sintofahamu kwa wabunge wengi wa chama hicho

Baadhi ya wabunge wa Chadema wamelalamika kutokushirikishwa katika maamuzi yaliyochukuliwa na chairman Mbowe
Kuna wabunge wa Chadema wanalalamika kuburuzwa kila mara, Wengi wanaona kutokuhudhuria vikao vya bajeti ni kama kuwasaliti wapiga kura wao

Kwa inavyoonekana Chadema ni km bomu linalosubiria kulipuka

My take :chairman kuwa mwanademokrasia acha maamuzi ya kibabe lasivyo chama kitasambaratika
Makamanda wanaogopa adui asiyeonekana 😁😁😁
 
Mkuu mda ni mwalimu mzuri, kuna fukuto kubwa

Wabunge wengi wa Chadema wanaweza kuitisha Press muda wowote
Propaganda ambazo hazitimii ni sawa na mtu kujitekenya mwenyewe. Wewe propaganda huziwezi. Muombe kigogo muongozo maana 99% ya asemacho ni kweli, wewe unaendeshwa na mihemko ili buku 7 iingie. Jaribu hata kuwa realistic japo hata kwa 2% kwenye kazi zako

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Makamanda wanaogopa adui asiyeonekana 😁😁😁
Halafu eti wanajiita makamanda! Kamanda mkuu wao kawaweka lockup makamanda wake wote kwa siku zisizopungua 14 huko huko kwenye site Dodoma!! Hawatakiwi kurudi nyumbani kwao DSM au kwenda mahali pengine po pote kule. Total lockup not down huko hotelini kwao Dodoma walikofikia. Lini atawafungulia anajua mwenyewe lakini si chini ya siku 14 na ni kwa gharama zao. Yeye kajiweka lockdown not lockup nyumbani kwake DSM kwa kuwa ana mgonjwa wa COVID 19 kwenye familia yake. Ukitaka kujua watakaa lockup kwa muda gani bofya hapa chini. Huyo ndiye Freeman Elikael Mbowe, former DJ wa Blicans!
 
Don't lie to yourself, no one in CDM is interested in part's policies or whatever they are just for theirs stomach and other interest...even chairman Mbowe has a price tag.
The door is wide open and all disgruntled elements plus ccm moles in Chadema can ignominiously leave.

What is currently going on in the party is a "Self Mop Up Scheme" in which all the ccm moles are cleansing themselves by ignominiously quitting by either joining ccm or crossing over to the ccm allied party. It's as simple as such.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wabunge wa Chadema wanamuogopa sana Mbowe
Halafu eti wanajiita makamanda! Kamanda mkuu wao kawaweka lockup makamanda wake wote kwa siku zisizopungua 14 huko huko kwenye site Dodoma!! Hawatakiwi kurudi nyumbani kwao DSM au kwenda mahali pengine po pote kule. Total lockup not down huko hotelini kwao Dodoma walikofikia. Lini atawafungulia anajua mwenyewe lakini si chini ya siku 14 na ni kwa gharama zao. Yeye kajiweka lockdown not lockup nyumbani kwake DSM kwa kuwa ana mgonjwa wa COVID 19 kwenye familia yake. Ukitaka kujua watakaa lockup kwa muda gani bofya hapa chini. Huyo ndiye Freeman Elikael Mbowe, former DJ wa Blicans!
 
Ule haukuwa Uchaguzi, Mbowe aliwatishia maisha kina Sumaye ili yeye aspate mpinzani

Back
Top Bottom