Halafu eti wanajiita makamanda! Kamanda mkuu wao kawaweka lockup makamanda wake wote kwa siku zisizopungua 14 huko huko kwenye site Dodoma!! Hawatakiwi kurudi nyumbani kwao DSM au kwenda mahali pengine po pote kule. Total lockup not down huko hotelini kwao Dodoma walikofikia. Lini atawafungulia anajua mwenyewe lakini si chini ya siku 14 na ni kwa gharama zao. Yeye kajiweka lockdown not lockup nyumbani kwake DSM kwa kuwa ana mgonjwa wa COVID 19 kwenye familia yake. Ukitaka kujua watakaa lockup kwa muda gani bofya hapa chini. Huyo ndiye Freeman Elikael Mbowe, former DJ wa Blicans!