Kuna mikutano ya siri kutuondoa watu weusi duniani

Mleta mada una hoja tatizo lako huna taarifa za kutosha na maadui umewaacha unataja wasiohusika au una mahaba na wazungu na chuki kwa wengine ngoja nikupe mfano; Dr Robert Gallo aliunda strain za HIV kwa lengo la kuondoa black race huyu ni Myahudi, Thomas Malthus huyu mzungu ndo alileta wazo la depopulation kupitia vita, magonjwa n.k
Kukiwa na mapigano hapa afrika na wakimbizi wakikimbia ni nani anayewapa asylum? Kuna wakimbizi wanenda Doha, Saudi au Dubai? Si wakimbizi wote wanaenda ulaya
 
View attachment 3148024
Wakati viongozi wetu wako busy kununua madege ya kula bata na kizurula duniani badala ya kutengeneza mikakati ya kutengeneza ndege zetu za vita na mabomu ya nyuklia ya kujilinda dhidi ya vita ya tatu ya dunia waafrika tumejisahau sana ila tungejua tu kuwa bila mzungu kutukingia kifua hakuna race nyingine duniani ina hamu ya kuona waafrika tunaishi duniani hapa kabisa wakati hatuna mchango wowote katika maendeleo ya dunia hii ukizingatia idadi ya watu imeshafika billion 7 na mahitaji ya rasilimali zinazidi kupungua.
Corona ilikuwa jaribio lililofeli la wuhan bila mzungu kuingilia kati tusingetoboa.

Waafrika inabidi tuchague viongozi wenye akili ambao watajua kuwa kuweza kuendelea kubakia duniani hapa ni kuwa mbabe kwenye teknolojia na silaha za kivita wala siyo kununua madege ambayo unatumia mzungu akipenda.

Waafrika tuamke tuache starehe za mzungu kuna watu wanatamani watupige nyuklia tuondoke sema tu mzungu mstaarabu ila ustaarabu utawashinda nao maana kuna wairani hawatutaki kabisa sisi waafrika , pia wa Asia nao hawatutaki kabisa imagine warabu hadi leo wanatuita watumwa.

Ifike wakati tujikite kwenye teknolojia tuache kudhani kwamba kilakitu tunachokitumia lazima kitoke nje hata toothpick tutakuja kupigwa vibaya sana, tunakoelekea ni giza baya sana kwetu waafrika.
Kama hatuna viongozi wa kuweza kutuongoza kujisimamia kitechnolojia sisi wafrika hatuna tofauti na mifugo basi tusubiri kuchinjwa kama kuku au kitimoto siku ikifika
Hata sijasoma bandiko lako....acha watuue tu wote, hatuna mchnago wowote duniani zaidi ya kuzaliana tu. Hata kujiongoza wenyewe hatuwezi
 
Vijana wenyewe mathematics physics hawataki kusoma
 
Apart from inventing cooking pots, Africans never discovered anything.
Rudia ile historia ya darasa la sita " wakushi au wanabi waliishi wapi" na huko walipo ishi walivumbua nini ambacho ndicho chanzo cha maendeleo yote humu duniani? Usimsahau pia mzee Zinjanthropus na mahabafri yake bila kujali yule doctor Leakey wa oldvua goji na utafiti wake... mengine mengi yamo vitabuni ila sis bado tunasinzia na vitatari na simu za vitochi...
 
View attachment 3148024
Wakati viongozi wetu wako busy kununua madege ya kula bata na kizurula duniani badala ya kutengeneza mikakati ya kutengeneza ndege zetu za vita na mabomu ya nyuklia ya kujilinda dhidi ya vita ya tatu ya dunia waafrika tumejisahau sana ila tungejua tu kuwa bila mzungu kutukingia kifua hakuna race nyingine duniani ina hamu ya kuona waafrika tunaishi duniani hapa kabisa wakati hatuna mchango wowote katika maendeleo ya dunia hii ukizingatia idadi ya watu imeshafika billion 7 na mahitaji ya rasilimali zinazidi kupungua.
Corona ilikuwa jaribio lililofeli la wuhan bila mzungu kuingilia kati tusingetoboa.

Waafrika inabidi tuchague viongozi wenye akili ambao watajua kuwa kuweza kuendelea kubakia duniani hapa ni kuwa mbabe kwenye teknolojia na silaha za kivita wala siyo kununua madege ambayo unatumia mzungu akipenda.

Waafrika tuamke tuache starehe za mzungu kuna watu wanatamani watupige nyuklia tuondoke sema tu mzungu mstaarabu ila ustaarabu utawashinda nao maana kuna wairani hawatutaki kabisa sisi waafrika , pia wa Asia nao hawatutaki kabisa imagine warabu hadi leo wanatuita watumwa.

Ifike wakati tujikite kwenye teknolojia tuache kudhani kwamba kilakitu tunachokitumia lazima kitoke nje hata toothpick tutakuja kupigwa vibaya sana, tunakoelekea ni giza baya sana kwetu waafrika.
Kama hatuna viongozi wa kuweza kutuongoza kujisimamia kitechnolojia sisi wafrika hatuna tofauti na mifugo basi tusubiri kuchinjwa kama kuku au kitimoto siku ikifika
Thread ya hovyo kuwahi kuisoma Toka nimejiunga jamii forum
 
Sio waafrika ccm ni janga la taifa hili
 
Back
Top Bottom