Kuna mipango yoyote Freeman Mbowe amefanikiwa CHADEMA mbali na maandamano yaliyoruhusiwa na Rais Samia?

Kuna mipango yoyote Freeman Mbowe amefanikiwa CHADEMA mbali na maandamano yaliyoruhusiwa na Rais Samia?

Maandamano anaruhusu rais au yameruhusiwa kwenye katiba?
hebu saidia wadau waelewe kifungu alichotumia Mbowe kuhamasisha chuki, fujo, uharibifu na kusudio la kumtoa kwa nguvu madarakani kiongozi wa kidemokrasia nchini, itapendeza zaid gentleman 🐒
 
CCM na chawa wake acheni kuchachawa, njooni tuwe pamoja 23rd Sept.
actually,
kila raia anaalikwa kwa usafi siku hiyo muhimu sana yakwanza ya usafi na itapendeza zaid gentleman 🐒
 
mpaka amefikia hatua ya kwamba hatiki tena kuskia kitu kinachoitwa demokrasia wala maendeleo....

anahamasisha chuki, fujo, uharibifu na uvunjifu wa amani tu ambao unaweza kuleta maafa, eti hicho ndicho anachopendelea kukiona kwa wanachama wake🐒
Samia kamruhusu aongee mpaka achoke, la maana la kuongea hana anahamasisha fujo sasa.

Vijana waache kutafuta kazi katika viwanda vinavyojengwa nchi nzima waende mitaani kuandamana kupinga serikali na kinachopingwa ndio hicho kinachofanyiwa kazi usiku na mchana.

Huko mikoani umeme umeshawaka karibu nchi nzima na uzalishaji mkubwa unaendelea, Mbowe asipobadilika atazidi kupoteza umaarufu.
 
Wewe mbaba nimeshakwambia kwa umri wako na uchawa, haukufai. Ona sasa unaanza kuulizia wanaume wenzako. Wewe kwenye uchawa wako, umefanikiwa nini mpaka sasa?
halafu mabinti wa sikuzi mmekomaa kizichiz dah, watu wazima wanawakomaza sana dah, tamaa mbaya....

anyway,
ni kwamba, ukweli wa mambo haya ni lazma usemwe bila kificho na ni kwa maslahi mapana ya chama husika na ndio maana hata wewe umeshangaa na mpaka sasa huelewi chairman mbowe hata amefanya nini tangu amekua chairman 🐒

Infact,
hana record yoyote ya maana chadema wala nnje ya chadema na kwahivyo the gentleman is the most worsest party leader since the multipatism started in Tz...

na alichopanga kifanyike hivi karibini kishanyonshe dalili za kubuma mapeeeeema 🐒
 
Tumetoka kufanya Maandamano ya AMANI Nchi nzima hatukujeruhi hata Nzi.
Mbowe ametangaza wazi maandamano ya chuki, fujo, uharibufu na kumtoa RAIS madaraka hiyo ni Amani gentleman?🐒

au kuna mahali pengine ametangaza vinginevyo ili wadau wajue 🐒

au hayo ya amani amekutangazia wewe pekeyako gentleman?
 
Kama lipo jambo litaje kwa faida ya wadau.

Tangu awamu ya 5, chairman Mbowe amakua akijaribu kuongoza mipango ya jumla ya chama chake ikiwa ni pamoja mikutano ya hadhara na maandamano bila mafanikio. Ni majuzi tu baada ya Dr Samia Suluhu Hassan kuondoa katazo la maandamano lililokua limewekwa na mtangulizi wake hayati Dr John Magufuli.

Ndipo chairman Mbowe akafanikiwa kupanga mikutano ya hadhara na kuongoza maandamano ya amani ambayo kimsingi yalidorora sana, hayakua na lengo wala na athari zozote za kisiasa, kijamii, kiuchmi, kitaifa na kimataifa, na wengi mpaka leo hawajui yale maandamano yalikuaga ya nini.

Chairman ameruka sana na chopa hivi karibuni lakini hakuna impacts zozote kisiasa mpaka sasa za mikutano yake na haijulikani na hata imesahaulika kama alizunguka nchi nzima kufanya mikutano ya hadhara na chopa mwaka huu...

Hivi karibuni, chairman Mbowe ametoa wito kwa wanachadema kufanya maandamano yasiyo ya amani, ya fujo, vurugu, na uharibifu. eti ni maandamano yenye kauli mbiu samia must go ili kumuwajibisha Rais Dr.Samia, na kumuondoa madarakani, mtu ambae amechaguliwa na wananchi kidemokrasia na ndie alieruhusu kufanyika maandamano yoyote ya amani nchini, na Rais Dr.Samia akaenda mbali zaid akaruhusu mikutano ya hadhara kwa vyama vya siasa nchini, vitu ambavyo ilikua ni marufuku awamu katika tano.

Ndrugu zangu, hivi haya yote ndio matokeo ya utashi wa kisiasa alio nao Rais Samia kwa taifa? Hii ndio shukran ya chairman Mbowe, kwa wema, hisani na ungwana uliopitiliza wa Dr.Samia Suluhu Hassan kwa taifa? Au ni dharau na uhuru ulio pitiliza wa kisiasa kwa wanasiasa? Au hii ndiyo ile inaitwa shukran ya punda ni mateka?

Surely, au chairman Mbowe anataka kubadilisha Chama Cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA kua Chama Cha Fujo na Uharibifu wa maendeleo CCFUM? Kwamba Demokrasia sasa basi chadema? na kwamba sasa inajipanga kuleta fujo na kuharibu kabisa maendeleo makubwa sana ya wananchi yaliyoletwa na Dr Samia Suluhu Hassan na Serikali yake sikivu ya CCM?

Kama ni hivyo chadema ibadilishwe jina basi walau iitwe Chama Cha Fujo na Uharibifu wa maendeleo, right? kwasabb si ndicho inachopanga kufanya chini ya chairman Mbowe aliekosa maono na uelekeo wa kisiasa.

Infact, Chairman Mbowe hakuwahi kufanikiwa lolote chadema na kwakweli kwenye hili pia hawezi kufanikiwa kabisa. Ni muhimu tu awe muungwana ang"atuke kwenye nafasi yake kwa amani kabla hajabanduliwa kwa nguvu kama ilivyowahi kutokea kwa James Francis Mbatia wa NCCR-mageuzi, kwasabb ya kukosa ubunifu, mipango na maono ya mbali juu ya namna bora ya kufanya siasa ya Amani.

Hayupo mwanasiasa nchini anaeweza kuruhusiwa kwa namna yoyote ile kupanga mipango ya kuhatarisha umoja, amani na Utulivu. huyo atakabiliwa, atadhibitiwa na atawajibishwa ipasavyo kwa mujibu wa sheria, kwa kuvuruga amani ya waTanzania ambayo imejengwa kwa gharama kubwa na kwa muda mrefu 🐒

Mungu Ibariki Tanzania
Anakusanya Kodi? haya kawaulize wano kusanya kodi za nchi hii
 
Mbowe ametangaza wazi maandamano ya chuki, fujo, uharibufu
Mbowe sio mjinga anajua fika akiamrisha Maandamano ya Vurugu na uharibifu yeye ndie atalipa gharama hizo, ndio maana siku zote huwa anasema Maandamano ni ya AMANI nasisi wafuasi wake tunasema tuko nyuma yake.
 
kama lipo jambo litaje kwa faida ya wadau...

tangu awamu ya 5, chairman Mbowe amakua akijaribu kuongoza mipango ya jumla ya chama chake ikiwa ni pamoja mikutano ya hadhara na maandamano bila mafanikio. Ni majuzi tu baada ya Dr Samia Suluhu Hassan kuondoa katazo la maandamano lililokua limewekwa na mtangulizi wake hayati Dr John Magufuli,

ndipo chairman Mbowe akafanikiwa kupanga mikutano ya hadhara na kuongoza maandamano ya amani ambayo kimsingi yalidorora sana, hayakua na lengo wala na athari zozote za kisiasa, kijamii, kiuchmi, kitaifa na kimataifa, na wengi mpaka leo hawajui yale maandamano yalikuaga ya nini...

Chairman ameruka sana na chopa hivi karibuni lakini hakuna impacts zozote kisiasa mpaka sasa za mikutano yake na haijulikani na hata imesahaulika kama alizunguka nchi nzima kufanya mikutano ya hadhara na chopa mwaka huu...

hivi karibuni,
chairman Mbowe ametoa wito kwa wanachadema kufanya maandamano yasiyo ya amani, ya fujo, vurugu, na uharibifu. eti ni maandamano yenye kauli mbiu samia must go ili kumuwajibisha Rais Dr.Samia, na kumuondoa madarakani, mtu ambae amechaguliwa na wananchi kidemokrasia na ndie alieruhusu kufanyika maandamano yoyote ya amani nchini, na Rais Dr.Samia akaenda mbali zaid akaruhusu mikutano ya hadhara kwa vyama vya siasa nchini, vitu ambavyo ilikua ni marufuku awamu katika tano ....

ndrugu zangu,
hivi haya yote ndio matokeo ya utashi wa kisiasa alio nao Rais Samia kwa taifa?

hii ndio shukran ya chairman Mbowe, kwa wema, hisani na ungwana uliopitiliza wa Dr.Samia Suluhu Hassan kwa taifa?

au ni dharau na uhuru ulio pitiliza wa kisiasa kwa wanasiasa?

au hii ndiyo ile inaitwa shukran ya punda ni mateka ?

Surely,
au chairman Mbowe anataka kubadilisha Chama Cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA kua Chama Cha Fujo na Uharibifu wa maendeleo CCFUM?

kwamba Demokrasia sasa basi chadema? na kwamba sasa inajipanga kuleta fujo na kuharibu kabisa maendeleo makubwa sana ya wananchi yaliyoletwa na Dr Samia Suluhu Hassan na Serikali yake sikivu ya CCM?

kama ni hivyo chadema ibadilishwe jina basi walau iitwe Chama Cha Fujo na Uharibifu wa maendeleo, right? kwasabb si ndicho inachopanga kufanya chini ya chairman Mbowe aliekosa maono na uelekeo wa kisiasa...

Infact,
Chairman Mbowe hakuwahi kufanikiwa lolote chadema na kwakweli kwenye hili pia hawezi kufanikiwa kabisa. Ni muhimu tu awe muungwana ang"atuke kwenye nafasi yake kwa amani kabla hajabanduliwa kwa nguvu kama ilivyowahi kutokea kwa James Francis Mbatia wa NCCR-mageuzi, kwasabb ya kukosa ubunifu, mipango na maono ya mbali juu ya namna bora ya kufanya siasa ya Amani...

hayupo mwanasiasa nchini anaeweza kuruhusiwa kwa namna yoyote ile kupanga mipango ya kuhatarisha umoja, amani na Utulivu. huyo atakabiliwa, atadhibitiwa na atawajibishwa ipasavyo kwa mujibu wa sheria, kwa kuvuruga amani ya waTanzania ambayo imejengwa kwa gharama kubwa na kwa muda mrefu 🐒

Mungu Ibariki Tanzania
Hata kama kweli Mbowe angefeli kwenye kila jambo, hata chadema kingekufa, sioni taabu. Taabu minayoiona ni ccm kutawala miaka sitini bila kufanikisha jambo lolote, sio matundu ya choo, sio madawati, sio elimu wala afya etc.
Mbowe hajawahi kuitisha maandamano ya fujo (ktk hili wewe ni mchawi). Polisi ndio wanaosababisha fujo kwa kuingilia maandamano ya amani. Kwani samia alipowaelekeza waache waandamane uliona wapi fujo?
Sio samia aliyeruhusu maamdamano na mikutano ya kisiasa bali katiba imeruhusu shughuli zote za siasa. Au ungependelea uvunjaji katiba wa magufuli?
Samia hakuchaguliwa na wananchi. Ni zao la uchafuzi wa 2020.
Ni vigumu wewe kuyaona mafanikio ya mbowe, hivyo jaribu kutafakari mafanikio ya mwenekiti wa ccm yenu. Mbowe hafanikiwi wewe nini kinakuuma?
Andiko lako limelenga kuzidi kuwapumbaza wale wenye uelewa mdogo wa kutafakari mambo, ambao ndio mtaji wenu mkubwa.
 
Mbowe sio mjinga anajua fika akiamrisha Maandamano ya Vurugu na uharibifu yeye ndie atalipa gharama hizo ndio maana siku zote huwa anasema Maandamano ni ya AMANI nasisi wafuasi wake tunasema tuko nyuma yake.
kama ni mjanja,
mbona hataki tena demokrasia na maendeleo bali anatamani kuiharibu hiyo demokrasia na maendeleo kwa kuhasisha na kuchochea fujo na uharibufu kwa kuitisha maandamano ya vurugu za kumtoa RAIS wa wananchi madarakani?

huo sio ujinga kweli gentleman wa kuhatarisha umoja, amani na Utulivu wa wananchi?🐒

hiyo amani ambayo unadai Mbowe kasema labda mkiwa wawili, mlikua mnapata vinywaji gani?🐒
 
Anakusanya Kodi? haya kawaulize wano kusanya kodi za nchi hii
ni muhimu kuzingatia eneo analopaswa kua amechangia kuchochea mageuzi katika demokrasia au hata utawala,

huko kweingine ni kumuone 🐒
 
kama ni mjanja,
mbona hataki tena demokrasia na maendeleo bali anatamani kuiharibu hiyo demokrasia na maendeleo kwa kuhasisha na kuchochea fujo na uharibufu kwa kuitisha maandamano ya vurugu za kumtoa RAIS wa wananchi madarakani?

huo sio ujinga kweli gentleman wa kuhatarisha umoja, amani na Utulivu wa wananchi?🐒

hiyo amani ambayo unadai Mbowe kasema labda mkiwa wawili, mlikua mnapata vinywaji gani?🐒
Wewe jamaa uko Kichawa zaidi katika HOJA zako, mauaji dhidi ya Watu wetu wa CHADEMA hauyaoni?! Ni kwanini tusiwe na Gadhabu kwanini? Lakini Mwenyekiti hakusema tufanye Maandamano ya Vurugu Wizi na ghasia..kasema Maandamano ya AMANI.
 
Hata kama kweli Mbowe angefeli kwenye kila jambo, hata chadema kingekufa, sioni taabu. Taabu minayoiona ni ccm kutawala miaka sitini bila kufanikisha jambo lolote, sio matundu ya choo, sio madawati, sio elimu wala afya etc.
Mbowe hajawahi kuitisha maandamano ya fujo (ktk hili wewe ni mchawi). Polisi ndio wanaosababisha fujo kwa kuingilia maandamano ya amani. Kwani samia alipowaelekeza waache waandamane uliona wapi fujo?
Sio samia aliyeruhusu maamdamano na mikutano ya kisiasa bali katiba imeruhusu shughuli zote za siasa. Au ungependelea uvunjaji katiba wa magufuli?
Samia hakuchaguliwa na wananchi. Ni zao la uchafuzi wa 2020.
Ni vigumu wewe kuyaona mafanikio ya mbowe, hivyo jaribu kutafakari mafanikio ya mwenekiti wa ccm yenu. Mbowe hafanikiwi wewe nini kinakuuma?
Andiko lako limelenga kuzidi kuwapumbaza wale wenye uelewa mdogo wa kutafakari mambo, ambao ndio mtaji wenu mkubwa.
gentleman,
kwanza acha uongo na upunguze makasiriko kidogo...

Rais Dr. Samia Suluhu Hassan amechaguliwa na wananchi wa Tanzania kwa mujibu wa sheria na katiba ya nchi sambamba na hayati Dr.John Pombe Magufuli..
so epuka upotoshaji kwenye masuala ya kikatiba...

Jambo la pili,
amani na Utulivu unaoenjoy hivi sasa ni gharama na jitihada za makusudi za CCM kuhakikisha unafanya shughuli zako kwa uhuru na kwakweli hata JF unaipata na kuenjoy freely bila bugudha yeyote kwa bando na kasi ya viwango ya internet, hiyo ndio CCM na huhitaji kushukuru...

Jambo la tatu,
Dr Samia Suluhu Hassan amefanya kazi nzuri na kubwa sana kwa waTanzania ndani ya kipindi kifupi sana, na ndiyo maana umeme ni wa uhakika, maji ni ya uhakika, usafishaji, afya, elimu, kilimo n.k
haya yote ni kwasababu ya dhamira na nia njema sana ya Dr.Samia Suluhu Hassan.
so epuka kupotosha gentleman...

nadhani mbowe amekwama katika kila jitihada za kuibrand chadema na matokeo yake anaharibu zaid kila kukicha 🐒
 
Wewe jamaa uko Kichawa zaidi katika HOJA zako, mauaji dhidi ya Watu wetu wa CHADEMA hauyaoni?! Ni kwanini tusiwe na Gadhabu kwanini? Lakini Mwenyekiti hakusema tufanye Maandamano ya Vurugu Wizi na ghasia..kasema Maandamano ya AMANI.
nadhani nilishatoa maelezo na mapendekezo muhimu sana juu ya hilo, huenda ni watu waliokosa uhalali wa kua viongozi chadema wanajaribu kuwanyamazisha wenzao wenye hoja na mipango mikakati mizuri zaid ya kuleta mabadiliko...

huenda ni hila ghiliba za ndani ya chadema yenyewe na kwahivyo uchaguzi ni muhimu sana ukaanzia hapo ili kujidhirisha na kupata ukweli juu ya masuala hayo ambayo nanatoke wakati wa uchaguzi wa ndani wa chadema na yanaongezeka na kua mabaya zaid uchaguzi wa uongozi wa Juu chadema ukikaribia 🐒

halafu unamtoaje RAIS wa kidemokrasia madarakani kwa vurugu na fujo gentleman? si usubiri kwenye uchaguzi na hiyo ndio amani...

We Jamaa au ni Licas Mwashambwa zezeta mbonezi na mpigadeki maarufu wa Lumumba?!
 
We Jamaa au ni Licas Mwashambwa zezeta mbonezi na mpigadeki maarufu wa Lumumba?!
you can call me names and of course insult me wherever you wish but,

nitasema kweli tena kitaalamu zaid masuala haya muhimu sana kisiasa 🐒
 
you can call me names and of course insult me wherever you wish but,

nitasema kweli tena kitaalamu zaid masuala haya muhimu sana kisiasa 🐒
Sijakutukana ila nimeorodhesha sifa za Lucas....au ni wewe?!🤔
 
Back
Top Bottom