Kuna mipango yoyote Freeman Mbowe amefanikiwa CHADEMA mbali na maandamano yaliyoruhusiwa na Rais Samia?

Kuna mipango yoyote Freeman Mbowe amefanikiwa CHADEMA mbali na maandamano yaliyoruhusiwa na Rais Samia?

Wako Vijana wasiokuwa Wastaarabu katika kila Chama CHADEMA na CCM.
taja wawili pale chadema ili apate msaada wa kisaikolojia bure kutoka kwenye timu maalumu ya ushauri wa kisiasa kisaikolojia 🐒
 
Kwa anayefahamu siasa/mfumo wa siasa kwa nchi nyingi za Afrika waliletewa na kuwa forced kwa kile kinachoitwa SAPs. Better kujiuliza yafuatayo;
SAPs Ina makusudi gani? Ina terms na conditions zipi? Ililetwa ili iweje? Je makusudio yake yametimia? (Why yametimia au hayajatimia?)..... Inawezekana kubishania au argumentation kuhusu jambo fulani pasi kulijua ama kulifahamu itapelekea "kipofu kuona mwezi au bubu kuzungumza kwa ufasaha".
 
Kama lipo jambo litaje kwa faida ya wadau.

Tangu awamu ya 5, chairman Mbowe amakua akijaribu kuongoza mipango ya jumla ya chama chake ikiwa ni pamoja mikutano ya hadhara na maandamano bila mafanikio. Ni majuzi tu baada ya Dr Samia Suluhu Hassan kuondoa katazo la maandamano lililokua limewekwa na mtangulizi wake hayati Dr John Magufuli.

Ndipo chairman Mbowe akafanikiwa kupanga mikutano ya hadhara na kuongoza maandamano ya amani ambayo kimsingi yalidorora sana, hayakua na lengo wala na athari zozote za kisiasa, kijamii, kiuchmi, kitaifa na kimataifa, na wengi mpaka leo hawajui yale maandamano yalikuaga ya nini.

Chairman ameruka sana na chopa hivi karibuni lakini hakuna impacts zozote kisiasa mpaka sasa za mikutano yake na haijulikani na hata imesahaulika kama alizunguka nchi nzima kufanya mikutano ya hadhara na chopa mwaka huu...

Hivi karibuni, chairman Mbowe ametoa wito kwa wanachadema kufanya maandamano yasiyo ya amani, ya fujo, vurugu, na uharibifu. eti ni maandamano yenye kauli mbiu samia must go ili kumuwajibisha Rais Dr.Samia, na kumuondoa madarakani, mtu ambae amechaguliwa na wananchi kidemokrasia na ndie alieruhusu kufanyika maandamano yoyote ya amani nchini, na Rais Dr.Samia akaenda mbali zaid akaruhusu mikutano ya hadhara kwa vyama vya siasa nchini, vitu ambavyo ilikua ni marufuku awamu katika tano.

Ndrugu zangu, hivi haya yote ndio matokeo ya utashi wa kisiasa alio nao Rais Samia kwa taifa? Hii ndio shukran ya chairman Mbowe, kwa wema, hisani na ungwana uliopitiliza wa Dr.Samia Suluhu Hassan kwa taifa? Au ni dharau na uhuru ulio pitiliza wa kisiasa kwa wanasiasa? Au hii ndiyo ile inaitwa shukran ya punda ni mateka?

Surely, au chairman Mbowe anataka kubadilisha Chama Cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA kua Chama Cha Fujo na Uharibifu wa maendeleo CCFUM? Kwamba Demokrasia sasa basi chadema? na kwamba sasa inajipanga kuleta fujo na kuharibu kabisa maendeleo makubwa sana ya wananchi yaliyoletwa na Dr Samia Suluhu Hassan na Serikali yake sikivu ya CCM?

Kama ni hivyo chadema ibadilishwe jina basi walau iitwe Chama Cha Fujo na Uharibifu wa maendeleo, right? kwasabb si ndicho inachopanga kufanya chini ya chairman Mbowe aliekosa maono na uelekeo wa kisiasa.

Infact, Chairman Mbowe hakuwahi kufanikiwa lolote chadema na kwakweli kwenye hili pia hawezi kufanikiwa kabisa. Ni muhimu tu awe muungwana ang"atuke kwenye nafasi yake kwa amani kabla hajabanduliwa kwa nguvu kama ilivyowahi kutokea kwa James Francis Mbatia wa NCCR-mageuzi, kwasabb ya kukosa ubunifu, mipango na maono ya mbali juu ya namna bora ya kufanya siasa ya Amani.

Hayupo mwanasiasa nchini anaeweza kuruhusiwa kwa namna yoyote ile kupanga mipango ya kuhatarisha umoja, amani na Utulivu. huyo atakabiliwa, atadhibitiwa na atawajibishwa ipasavyo kwa mujibu wa sheria, kwa kuvuruga amani ya waTanzania ambayo imejengwa kwa gharama kubwa na kwa muda mrefu 🐒

Mungu Ibariki Tanzania

Hahahah kuwa chawa kazi sana aisee (slavery), inabidi uende tu na upepo master wako anavyokutuma au anavyotaka!
 
Hahahah kuwa chawa kazi sana aisee (slavery), inabidi uende tu na upepo master wako anavyokutuma au anavyotaka!
ni kama manyumbu tu ambavyo huwa yanashangaa mwezao akitafunwa na simba kwa uchungu mkali, halafu yenyewe yanasogea tu na kushangaa kwa kukodoa macho bila msaada wowote..

Tundu lisu is very lonely politically speaking, he is completely confused with calmness of his chairman towards the elections..

Ni mbaya ee dah 🐒
 
ni kama manyumbu tu ambavyo huwa yanashangaa mwezao akitafunwa na simba kwa uchungu mkali, halafu yenyewe yanasogea tu na kushangaa kwa kukodoa macho bila msaada wowote..

Tundu lisu is very lonely politically speaking, he is completely confused with calmness of his chairman towards the elections..

Ni mbaya ee dah 🐒
Kweli kabisa lazima ucheze ngoma ya mpiga zumari mkuu! Akisema nyumaz geuka, lazima umpe, tuliopita jeshini tunajua!
 
Kweli kabisa lazima ucheze ngoma ya mpiga zumari mkuu! Akisema nyumaz geuka, lazima umpe, tuliopita jeshini tunajua!
Sure, gentleman
una full and pure characteristics za jeshi la mgambo na kumbe ndiyo maana mnakayagana na kucheka wenyewe?

nawaona mpo wengi wengi tu,

hata hivyo ,
pamoja na hayo tutaendelea kuwaongezea uelewa na ufahamu wa kutosha dhidi ya uchaguzi huu muhimu sana ndani ya chadema iliyogawanyika bila mbambamba yoyote 🐒
 
Back
Top Bottom