MKATA KIU
JF-Expert Member
- Nov 22, 2010
- 3,410
- 8,184
Mfano : Matthew ( Mathayo) 10:34 imeandika
"Msidhani ya kuwa nalikuja kuleta amani duniani; la! Sikuja kuleta amani, bali upanga."
Inashangaza Mungu mwenye upendo anasema hajaja kuleta amani bali chaos
Na Mathayo 10:35 imeandika
"Kwa maana nalikuja kumfitini mtu na baba yake, na binti na mamaye, na mkwe na
mamamkwe yake."
Inashangaza Mungu mwenye upendo anasema amekuja kufitini watu. Kumbe ndio maana wakwe hawapatani na wakamwana wao.
1 Wakorintho 7:27-28 imeandika hivi
Ikiwa hujaoa, usitafute mke. Lakini ukioa, hujatenda dhambi. Na msichana ambaye hajawahi
kuolewa akiamua kuolewa, hajafanya dhambi.
28 Lakini wale wanaooa au kuolewa watakutana na matatizo katika maisha haya, nami nataka
kuwaepusha na matatizo hayo.
Exodus 20 20-21 imeandika ni ruhusa kumpiga mtumwa wako , Mungu gani mwenye upendo anaruhusu kuwafanya binadamu mwenzako kuwa watumwa na anaruhusu kuwapiga.

Ezekieli 5:17 imeandika hivi
Nitakupelekea njaa na wanyama wakali ambao watakupokonya watoto wako; maradhi mabaya, mauaji, na vita vitakuja kukuangamiza. Mimi, Mwenyezi-Mungu, nimesema.”1 Wakorintho 7:27-28 imeandika hivi