Daisy Leaf
Member
- Dec 17, 2024
- 68
- 142
Kasome na hili 1 Samweli 15:3 halafu uendelee kutafakari kwanini Mungu aliruhusu haya unayomtuhumu kwayo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kasome na hili 1 Samweli 15:3 halafu uendelee kutafakari kwanini Mungu aliruhusu haya unayomtuhumu kwayo
Lugha nzito za kiteolojia hizi ukizisoma kwa kukariri unatoka patupu!!!Mfano : Matthew ( Mathayo) 10:34 imeandika
"Msidhani ya kuwa nalikuja kuleta amani duniani; la! Sikuja kuleta amani, bali upanga."
Ahhahha hapa ndio kwanza kazi imeanza , binafsi naona kwamba ujumbe na mafundisho yake yanaweza kusababisha hata baba na mtoto, mama na binti, au mkwe na mamamkwe kuwa na tofauti kwa sababu ya imani zao na kutapokea mafundisho,Ujio wa Yesu na mafundisho yake yanaweza kuleta changamoto katika uhusiano wa familia, kwani si wote watakubali.Na Mathayo 10:35 imeandika
"Kwa maana nalikuja kumfitini mtu na baba yake, na binti na mamaye, na mkwe na
mamamkwe yake."
You're the living GodMfano : Matthew ( Mathayo) 10:34 imeandika
"Msidhani ya kuwa nalikuja kuleta amani duniani; la! Sikuja kuleta amani, bali upanga."
Inashangaza Mungu mwenye upendo anasema hajaja kuleta amani bali chaos
Na Mathayo 10:35 imeandika
"Kwa maana nalikuja kumfitini mtu na baba yake, na binti na mamaye, na mkwe na
mamamkwe yake."
Inashangaza Mungu mwenye upendo anasema amekuja kufitini watu. Kumbe ndio maana wakwe hawapatani na wakamwana wao.
Ezekieli 5:17 imeandika hivi
Nitakupelekea njaa na wanyama wakali ambao watakupokonya watoto wako; maradhi mabaya, mauaji, na vita vitakuja kukuangamiza. Mimi, Mwenyezi-Mungu, nimesema.”
1 Wakorintho 7:27-28 imeandika hivi
Ikiwa hujaoa, usitafute mke. Lakini ukioa, hujatenda dhambi. Na msichana ambaye hajawahi
kuolewa akiamua kuolewa, hajafanya dhambi.
28 Lakini wale wanaooa au kuolewa watakutana na matatizo katika maisha haya, nami nataka
kuwaepusha na matatizo hayo.
Exodus 20 20-21 imeandika ni ruhusa kumpiga mtumwa wako , Mungu gani mwenye upendo anaruhusu kuwafanya binadamu mwenzako kuwa watumwa na anaruhusu kuwapiga.
View attachment 3243228
Tatizo lako nishalieleza hapo. Wewe hujui biblia ni nini, kwanini ipo na ipo kwaajili ya nani. Jaribu kuyatafakari maswali hayo utanielewabonge la kitabu limeandika nyoka anaongea
wewe kwa akili zako timamu unaamini nyoka huwa anaongea?
Mfano : Matthew ( Mathayo) 10:34 imeandika