Kuna mistari ya Biblia ukiisoma unakataa sio maneno ya Mungu

Mfano : Matthew ( Mathayo) 10:34 imeandika
"Msidhani ya kuwa nalikuja kuleta amani duniani; la! Sikuja kuleta amani, bali upanga."
Lugha nzito za kiteolojia hizi ukizisoma kwa kukariri unatoka patupu!!!
Natafsiri kidg kadiri ya uelewa wangu “ Yesu alimaanisha ujumbe wake utagawanya watu kuna wale wanaoukubali na wale wanaoupinga. Pia tunapaswa kutambua changamoto na madhara ambayo yanaweza kuletwa na kukubali kweli ya Neno la Mungu.
 
Na Mathayo 10:35 imeandika

"Kwa maana nalikuja kumfitini mtu na baba yake, na binti na mamaye, na mkwe na
mamamkwe yake."
Ahhahha hapa ndio kwanza kazi imeanza , binafsi naona kwamba ujumbe na mafundisho yake yanaweza kusababisha hata baba na mtoto, mama na binti, au mkwe na mamamkwe kuwa na tofauti kwa sababu ya imani zao na kutapokea mafundisho,Ujio wa Yesu na mafundisho yake yanaweza kuleta changamoto katika uhusiano wa familia, kwani si wote watakubali.
 
You're the living God
 
bonge la kitabu limeandika nyoka anaongea

wewe kwa akili zako timamu unaamini nyoka huwa anaongea?
Tatizo lako nishalieleza hapo. Wewe hujui biblia ni nini, kwanini ipo na ipo kwaajili ya nani. Jaribu kuyatafakari maswali hayo utanielewa
 
Walokole wakiona bible imepinda pinda hawana hoja kuitetea watakwambia unasoma bible kama gazeti ila wakiona neno limenyooka wapo kimya hauwezi kuwasikia kuhusu kusoma kama gazeti
 

Majibu yamo kwenye hiyo hiyo Biblia
 
Biblia haisomwi kavukavu kama quran au gazeti utatoka kapa. Maandiko yale yana tafsiri zake katika kufundisha
 
Hao jamaa unawafahamu?
Your browser is not able to display this video.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…