Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Umepiga Pentagon....Mtaa wa 'Makanyagio' mbele ng'ambo ya pili ya barabara ya Chuo cha Mkwawa Iringa
Kuna jamaa alipanga humo..........mwishowe aliuza kila kitu......waungwana wakamsaidia.....Leo ana nyumba madaleKama umeishia Dar mitaa ya Mwananyamala, Tandale na Temeke nadhani utamuelewa mtoa mada.
#YNWA
Kasome kitu kinaitwa Territorial spiritsUmenifumbua macho
Ni life style tu na mifumo hakuna Cha laana.Kisarawe inatoa mawaziri nchi hii toka uhuru itakuwaje ilaaniwe?Ulishawahi kukuta mtaa fulani hali ya maisha ya kaya zoote hapo choka mbaya? Mtaa wote umejaa makahaba! Mtaa umejaa walevi! Watoto au kizazi ndani ya huo mtaa hawamalizi darasa la saba au kidato cha nne! Ndani ya huo mtaa hakuna mtumishi wa umma mwenye mshahara unaoeleweka! Hakuna familia yenye gari na kama lipo ni mkweche! Wanawake ni kupiga majungu na wanaume vijiwe vya kahawa na draft!.
Ndo nikagundua sio tu kuwepo kwa familia zilizolaaniwa, lakini pia kuna mitaa iliyolaaniwa! Kuna vijiji/kata zimelaaniwa! Kuna wilaya zimelaaniwa (kama wilaya ya kisarawe)! Kuna miji imelaaniwa miji mingi katika mikoa ya pwani, Tabora na kigoma! Unapokuwa unatafuta maisha fanya uchunguzi wa mitaa/kata/wilaya/miji unayoenda vinginevyo hutoboi! Mwisho wa siku lazima hali yako ya maisha iendane na wao! Nikagundua nyuma ya pazia kuna wachawi wanakaa katika malango ya njia kuratibu kila anayekuja na kuishi hapo na kumpiga tukio! Haya mambo magumu sana kuelewa!
SawaKasome kitu kinaitwa Territorial spirits
Haya mambo magumu sana kuelewa!
Uko sahihi,inabidi uzame sana kwenye maombi na toba ili uvunje hizo laana ili na wewe mwenyewe pia uweze kubaki salama...Kuna waflme Wa anga la eneo husika kwaiyo Ili utobe apo inabidi ufanye vita iyo ipo wazi
Tatizo letu ni kuhusianisha kila kitu na ushirikina. Inachekesha kuona kwamba nchi zilizoendelea hua zinaliona bara zima la Afrika ni kama limelaaniwa kwa jinsi lilivyo nyuma, wakati huo huo eti na sisi humu ndani tunanyoosheana vidole kwamba eneo fulani limelaaniwa..😆😆Umasikini na ujinga ni hatari sana kuanzia ngazi ya kaya, ukoo, mtaa, kijiji, kata, tarafa hadi taifa.
Kwa leo ni hayo tu
Hizo sehemu ulizosema hazina maendeleo ndio Zina uzinzi, ukahaba, madawa, wizi, uchawi etc na hivyo siyo rahisi kupata maendeleo. Hivyo vitu na roho ya maendeleo ni maji na mafuta. Niambie mtu anayetumia madawa au mwasherati mwenye maendeleo. Refer wasanii wetuUko sahihi,inabidi uzame sana kwenye maombi na toba ili uvunje hizo laana ili na wewe mwenyewe pia uweze kubaki salama...
Ulishawahi kukuta mtaa fulani hali ya maisha ya kaya zoote hapo choka mbaya? Mtaa wote umejaa makahaba! Mtaa umejaa walevi! Watoto au kizazi ndani ya huo mtaa hawamalizi darasa la saba au kidato cha nne! Ndani ya huo mtaa hakuna mtumishi wa umma mwenye mshahara unaoeleweka! Hakuna familia yenye gari na kama lipo ni mkweche! Wanawake ni kupiga majungu na wanaume vijiwe vya kahawa na draft!.