DR HAYA LAND
JF-Expert Member
- Dec 26, 2017
- 23,928
- 63,499
Hizo Imani tu ukizipa Nguvu na zenyewe zinakupa NguvuKabisa ila angalau chuo cha DUCE kimepunguza makali
Mtu kama haunywi Pombe ,bangi wala sigara na unajitenga na uasherati Uzinzi hata Kama unaendesha bodaboda tu lazima ufanikiwe hatua kubwa SANA.
Watu wanwekeza katika Uzinzi ,pombe Umalaya then wakikwama wanasema laana au kurogwaa .
Hii mitaa ya Uswahilini Mimi ndo naishi wapo wapemba wanamaisha. Safi Sana na watu waswahili wapo vizuri ila Hawa wanawake na vijana wanaoendekeza tabia mbaya ndo Maisha yanawatoa mchezoni Mapema.