Sappire streetKwa Sasa TZ wanatoa majina ya ajabuajabu sana ambayo hayana mchango wowote Kwa Nchi zaidi ya kutumia Kodi za wananchi.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sappire streetKwa Sasa TZ wanatoa majina ya ajabuajabu sana ambayo hayana mchango wowote Kwa Nchi zaidi ya kutumia Kodi za wananchi.
sahihi kabisaHujasoma vizuri madam
Hakika LUMUMBA ni sayari nyingine kabisa
SAMIA station.Natambua majina ya maeneo, mitaa, Taasisi au uwekezaji mara nyingine huja yenyewe kutokana na matukio au waanzilishi na mambo mengine mengi hapa nazungumzia haya ya kupewa sio hayo ambayo automatically yanakuwa hivyo .
Duniani kote kuna mitaa na maeneo zaidi ya 20 inayokwenda kwa jina LUMUMBA ,hii ni kutokana na upigania haki , misimamo yake na utendaji kazi wake mkubwa .
Nchi kama Serbia, Ukraine, Nigeria, Morocco, Ghana , Egypt, Iran, South Africa, Morocco, Uganda, Burundi, Kenya, Ethiopia, Haiti, Zambia, Zimbabwe, Germany, Iran, Mozambique na Tanzania ukipita utakutana na jina lake .
Hata Belgium tunaohisi walihusika na kuondoka kwake lipo
China na Russia waliandamana baada ya kifo Chake 17/1/1961 ,na kuna chuo Russia kilipewa jina lake .
Historia ya Lumumba ndio ilifanya wanaharakati kutambua Russia ndiye Rafiki wa kweli wa Afrika .
Nacho taka kusema hapa hizi mali na uwekezaji wa Nchi ni pesa za wananchi hivyo kitu cha kwanza kabla ya kutoa jina tajiulize aliiifanyia au ameifanyia nini nchi au Taasisi husika mpaka ipewe jina hilo ?
Au hilo jina linatukumbusha nini au lina maana gani katika jamii ? hasa kwa mali au uwekezaji wa umma .
Zamani ulikuwa ukipita mitaa ya sokoine ,Samora , Nyerere,Lumumba ....etc hata ukipewa history ya hilo jina kuna kitu unapata .
Kuwa Mwenyekiti wa mtaa ,diwani ,mbunge, lecturer, Waziri au kiongozi au mtu maarufu yoyote haitoshi lakini kikubwa umeifanya nini jamii au kuna utofauti gani na wengine .
Ila kuna mtaa unalitumia vibaya hilo jinaNatambua majina ya maeneo, mitaa, Taasisi au uwekezaji mara nyingine huja yenyewe kutokana na matukio au waanzilishi na mambo mengine mengi hapa nazungumzia haya ya kupewa sio hayo ambayo automatically yanakuwa hivyo .
Duniani kote kuna mitaa na maeneo zaidi ya 20 inayokwenda kwa jina LUMUMBA ,hii ni kutokana na upigania haki , misimamo yake na utendaji kazi wake mkubwa .
Nchi kama Serbia, Ukraine, Nigeria, Morocco, Ghana , Egypt, Iran, South Africa, Morocco, Uganda, Burundi, Kenya, Ethiopia, Haiti, Zambia, Zimbabwe, Germany, Iran, Mozambique na Tanzania ukipita utakutana na jina lake .
Hata Belgium tunaohisi walihusika na kuondoka kwake lipo
China na Russia waliandamana baada ya kifo Chake 17/1/1961 ,na kuna chuo Russia kilipewa jina lake .
Historia ya Lumumba ndio ilifanya wanaharakati kutambua Russia ndiye Rafiki wa kweli wa Afrika .
Nacho taka kusema hapa hizi mali na uwekezaji wa Nchi ni pesa za wananchi hivyo kitu cha kwanza kabla ya kutoa jina tajiulize aliiifanyia au ameifanyia nini nchi au Taasisi husika mpaka ipewe jina hilo ?
Au hilo jina linatukumbusha nini au lina maana gani katika jamii ? hasa kwa mali au uwekezaji wa umma .
Zamani ulikuwa ukipita mitaa ya sokoine ,Samora , Nyerere,Lumumba ,Bibi titi, Karume ...etc hata ukipewa history ya hilo jina kuna kitu unapata .
Kuwa Mwenyekiti wa mtaa ,diwani ,mbunge, lecturer, Waziri au kiongozi au mtu maarufu yoyote haitoshi lakini kikubwa umeifanya nini jamii au kuna utofauti gani na wengine .
😆😆😆Ila kuna mtaa unalitumia vibaya hilo jina