Equation x
JF-Expert Member
- Sep 3, 2017
- 41,558
- 64,966
Tumezoea kuona mitumba kutoka Ulaya, Marekani, Canada, Korea, Uturuki, China n.k
Ila sijaona mitumba yoyote sokoni kutoka nchi za kiafrika, tatizo ni nini?
Nguo zetu zinazochakaa, zinazotubana, zinazopitwa na wakati n.k huwa tunazisafirisha kwenda nchi zipi kwa mauzo?
Au ni soko lipi naweza kukutana na nguo za mitumba kutoka nchi za Afrika?
Gari ukiingia linanuka chupi, kunguni wamo hadi dawa za meno unazikuta humoWatz wanatumia bidhaa kukomoa
Mfano gari tuu, hilo hilo ndo guesthouse, hilo hilo ndo chumba cha kulala
Gari lina hadi mtungi wa gas na taulo 🔥Gari ukiingia linanuka chupi, kunguni wamo hadi dawa za meno unazikuta humo
Tumezoea kuona mitumba kutoka Ulaya, Marekani, Canada, Korea, Uturuki, China n.k
Ila sijaona mitumba yoyote sokoni kutoka nchi za kiafrika, tatizo ni nini?
Nguo zetu zinazochakaa, zinazotubana, zinazopitwa na wakati n.k huwa tunazisafirisha kwenda nchi zipi kwa mauzo?
Au ni soko lipi naweza kukutana na nguo za mitumba kutoka nchi za Afrika?
Ulishawahi kuvaa nguo ya mtumba kutoka kwa mtz mwenzako?Watz wanatumia bidhaa kukomoa
Mfano gari tuu, hilo hilo ndo guesthouse, hilo hilo ndo chumba cha kulala
Tatizo ni nini?Ni bara lipi hilo halizalishi nguo zake likawa linahitaji kutoka nje zaidi ya hili lq Afrika?
Inawezekana, mana Ukinunua mtumba huwez kuwa na uhakika huo n mzigo kutoka mbeleUlishawahi kuvaa nguo ya mtumba kutoka kwa mtz mwenzako?
Kunakuwa na baro kabisa la nguo za wana daslamu?Labda kutoka daslamu kwenda Buhigwe kigoma kwa ndugu jamaa na marafiki
UhakikaKunakuwa na baro kabisa la nguo za wana daslamu?
Nguo zako na viatu vikikubana au kuchakaa, uwa unavituma wapi?Wadada wa kujiuza ndio tunatuma huko Oman, Thailand n.k.
je tunaopewa na mbro zetu nimitumba auUlishawahi kuvaa nguo ya mtumba kutoka kwa mtz mwenzako?
Kule inaenda kuuzwa au wanagawa bure kwa ndugu zao?Kuna uwezekano tunasambaza mitumba kwa wingi tu ila ndani ya Nchi
Najua kwa walio wengi; wanapo kwenye vijijini hupeleka nguo zao nyingi kugawa kwa ndugu na jamii iliyowazunguka huko vijijini. Namaanisha mitumba (nguo kuukuu) hutoka kwa wingi mijini kama Mwanza, Dar, Arusha nk kwenda vijijini...
Ndio, vingenevyo angepeleka kuuza kwa wahitaji wengineje tunaopewa na mbro zetu nimitumba au
Ukiinua kiti unakutana na soksi ya mwaka jana na kwenye buti kuna vitunguu na mafungu ya bamia. Ndinga imekuwa chumba cha kazi au stoo imayotembeaGari lina hadi mtungi wa gas na taulo 🔥