Equation x
JF-Expert Member
- Sep 3, 2017
- 41,558
- 64,966
- Thread starter
- #21
Kwa hiyo, waafrika ndio watumiaji wa mwisho wa vitu?Majuu nguo ikimbana mtu anaona ni takataka, huku kwetu nguo ikikubana hiyo ni baraka kwa wadogo zako! Kuna nguo moja inaweza ikavaliwa na watoto watano tofauti wa familia moja, kuanzia kaka mkubwa hadi madogo!
Ikitoka hapo imechanika magoti na makwapa, imejaa viraka vya kila rangi kama bendera ya taifa. Muafrika anaona hiyo haitoshi, anaigeuza tena kuwa tambala la kudekia au likitambaa la kufutia jikoni huko!