Equation x
JF-Expert Member
- Sep 3, 2017
- 41,558
- 64,966
- Thread starter
-
- #21
Kwa hiyo, waafrika ndio watumiaji wa mwisho wa vitu?Majuu nguo ikimbana mtu anaona ni takataka, huku kwetu nguo ikikubana hiyo ni baraka kwa wadogo zako! Kuna nguo moja inaweza ikavaliwa na watoto watano tofauti wa familia moja, kuanzia kaka mkubwa hadi madogo!
Ikitoka hapo imechanika magoti na makwapa, imejaa viraka vya kila rangi kama bendera ya taifa. Muafrika anaona hiyo haitoshi, anaigeuza tena kuwa tambala la kudekia au likitambaa la kufutia jikoni huko!
Labda kutoka daslamu kwenda Buhigwe kigoma kwa ndugu jamaa na marafiki
Kwa nini tunavaa mpaka ituchanikie mwilini?Mtz mtumba wake uliochanika matakoni nani ataununua
Umaskin mkuu, hapo unaongelea poverty circle na matokeo yake. Kuvaa nguo zilizovaliwa sababu ni jmaskini, kuivaa nguo mpaka ikageuka tambala la deki ni umaskini. Na kushindwa kuzalisha za kwetu bila kutegemea kutoka nje sabab ni umaskiniTatizo ni nini?
Sio kishumundu?Labda kutoka daslamu kwenda Buhigwe kigoma kwa ndugu jamaa na marafiki
Labda vitengeTumezoea kuona mitumba kutoka Ulaya, Marekani, Canada, Korea, Uturuki, China n.k
Ila sijaona mitumba yoyote sokoni kutoka nchi za kiafrika, tatizo ni nini?
Nguo zetu zinazochakaa, zinazotubana, zinazopitwa na wakati n.k huwa tunazisafirisha kwenda nchi zipi kwa mauzo?
Au ni soko lipi naweza kukutana na nguo za mitumba kutoka nchi za Afrika?
hali ngumu ya maishaKwa nini tunavaa mpaka ituchanikie mwilini?
Kuna wanaovaa mitumba ya nguo za ndani?Unakutana na nguo inanuka nguvu za kiume, kumbe n mwamba mmoja alikuwa anaipigia nyeto 🙌
Na likitoka hapo mkuu wanachna voapte vidogo vidogo wanavishona kwemye kiroba linawekwa mlangoniMajuu nguo ikimbana mtu anaona ni takataka, huku kwetu nguo ikikubana hiyo ni baraka kwa wadogo zako! Kuna nguo moja inaweza ikavaliwa na watoto watano tofauti wa familia moja, kuanzia kaka mkubwa hadi madogo!
Ikitoka hapo imechanika magoti na makwapa, imejaa viraka vya kila rangi kama bendera ya taifa. Muafrika anaona hiyo haitoshi, anaigeuza tena kuwa tambala la kudekia au likitambaa la kufutia jikoni huko!
Labda vitenge
Zipo, na sio nguo za ndani tuu ndo zinanuka nguvu za kiume.Kuna wanaovaa mitumba ya nguo za ndani?
Ulishawahi kuvaa nguo ya mtumba kutoka kwa mtz mwenzako?
Ni mtumba wa kutokea wapi?Kuna jamaa kavaa jezi ya Simba ya jina la Kapombe limefutika limepaki Pombe, Ya mwamnyeto limebaki Nyeto......
HapanaNakujibu Kwa swali. Kuna maji yanatiririka kutoka Baharini kuelekea mtoni? Au bondeni kuelekea mlimani?
Ahahahahaaaa.... mbona naza wazungu zipo...Mtz mtumba wake uliochanika matakoni nani ataununua
Naam! Naam!Kwa hiyo, waafrika ndio watumiaji wa mwisho wa vitu?
Kama ilivyo ngum kutoka Buhingwe kwenda dar. Na rahis kutoka dar kwenda buhimgwe basi hata ngaz ya mabara au nchi ipi hivyohivyo kuja afrika ni rahis na kutoka afrika mwenda kwingine n ngum.Labda kutoka daslamu kwenda Buhigwe kigoma kwa ndugu jamaa na marafiki