Vipi kwenye kikao cha mgonjwa Lissu US ulikuwepo? Mbona sikukuona au ulikuwa kazini??Mwenyezi Mungu amlaze mahali pema peponi. Huyu pamoja na makosa yake lakini alikuwa ni zawadi kutoka kwa Muumba kwa Watanzania. Alikuwa na mapenzi ya kweli kwa Tanzania na Watanzania, hakuwa na chuki za kutisha wala visasi na ndiyo sababu hata waliotaka kumpindua aliwasamehe. Hakuwa muongo, mwizi wala fisadi ukilinganisha na hawa waliokuja baada yake ni majanga matupu!
Our future may lay beyond our vision.but not completely beyond our control.Some trust their politics connection and today power they have.But we will always trust the power of our Lord our God and saviour Jesus🙏🙏🙏Hii ni taarifa iliyovujishwa na baadhi ya wazalendo waliochoshwa na uonevu wa kishamba , kwamba viongozi hao wa Upinzani wakamatwe ili kuwatisha na kuwavunja moyo , wanyimwe dhamana angalau kwa wiki moja au mbili ili kuwakomoa .
Hii ni amri iliyosambazwa nchi nzima , huku ikidaiwa kuwa chanzo chake ni kufeli kwa Mkakati wa kuwashawishi masikini kukikimbilia kitambulisho cha wamachinga ambacho sasa kimepewa jina jipya la KODI YA KICHWA , inaaminika kwamba kufeli kwa mkakati huo wa kukamua kila masikini Tsh 20,000 kumesababishwa na wanasiasa wa Upinzani wanaonekana kutumia kila nafasi ndogo wanayopata , ikiwemo mitandao ya kijamii kuwaamsha wananchi na kuwaelimisha kuhusu haki zao.
Tutaendelea kuwahabarisha kila ovu wanalopanga kwa kadri wasamalia wema waliojaa uzalendo watakavyokuwa wanavujisha habari zao.
Naomba kuwasilisha
Hitler alitaka angamiza wayahudi! alijmaliza mwenyewe na mpaka leo wayahudi wanapeta🙏🙏Yana Mwisho haya((KULI))Ok, Lets say wakafunga na kuua wote, je utadhani upinzani utaisha? Tutajenga upinzani wa kimya kimya ambao utakua mbaya sana, watu watalipiza visasi kimya kimya. Sidhani kama CCM wangependa watufikishe huko, siamini kabisa. Siamini kama CCM hakuna mtu mwenye uwezo wa kukemea jambo hili, siamini kabisa.
Unaweza ukataja vifungu na sheria zilizovunjwa kwa makusudi maana sheria haina porojo ni vifungu na sheria husika kutajwa..Kuna wimbi la makusudi la uvunjaji sheria wa makusudi ili tukamatwe wazungu waingilie kati,kwani itaonekana tunagandamizwa,sawaaa!
Sent using Jamii Forums mobile app
Unaweza ukataja vifungu na sheria zilizovunjwa kwa makusudi maana sheria haina porojo ni vifungu na sheria husika kutajwa..
Hii ni taarifa iliyovujishwa na baadhi ya wazalendo waliochoshwa na uonevu wa kishamba , kwamba viongozi hao wa Upinzani wakamatwe ili kuwatisha na kuwavunja moyo , wanyimwe dhamana angalau kwa wiki moja au mbili ili kuwakomoa .
Hii ni amri iliyosambazwa nchi nzima , huku ikidaiwa kuwa chanzo chake ni kufeli kwa Mkakati wa kuwashawishi masikini kukikimbilia kitambulisho cha wamachinga ambacho sasa kimepewa jina jipya la KODI YA KICHWA , inaaminika kwamba kufeli kwa mkakati huo wa kukamua kila masikini Tsh 20,000 kumesababishwa na wanasiasa wa Upinzani wanaonekana kutumia kila nafasi ndogo wanayopata , ikiwemo mitandao ya kijamii kuwaamsha wananchi na kuwaelimisha kuhusu haki zao.
Tutaendelea kuwahabarisha kila ovu wanalopanga kwa kadri wasamalia wema waliojaa uzalendo watakavyokuwa wanavujisha habari zao.
Naomba kuwasilisha
Wewe hauna faida kwenye huu uzi ila tumiijua mipango yenu ovu mapema kabisa!Inaonekana siku yako haikwenda vizuri.. hongera kwa kuandika hadithi.
Kabisa , lakini siku mbinu hii ikija ku back fire italeta shida kubwa sanaKuwaweka wapinzani lupango ni njia ya kuwakomoa wapinzani waliokataa kununuliwa na kitengo cha manunuzi kutoka Lumumba.
Pale historia ya nchi hii katika kipindi hiki itakapoandikwa miaka 50 ijayo, zama hizi zitafahamika kama "Zama za Giza"Kwa ccm ya saiv na roho mbaya ya jiwe wapo tayar kuuwa watz wote,wabaki peke yao
Sent using Jamii Forums mobile app
Upinzani sio cuf,chadema,tlp,nccr au jina la chama chochote upinzani ni fikra hai hata kikibaki ccm pekee je hakutakuwa na upinzani? Ndio maana huwa najiuliza tu kama wasomi wetu hawawez kuelewa hata hili je wanaelewa nini?Ok, Lets say wakafunga na kuua wote, je utadhani upinzani utaisha? Tutajenga upinzani wa kimya kimya ambao utakua mbaya sana, watu watalipiza visasi kimya kimya. Sidhani kama CCM wangependa watufikishe huko, siamini kabisa. Siamini kama CCM hakuna mtu mwenye uwezo wa kukemea jambo hili, siamini kabisa.