Tetesi: Kuna mkakati wa kukamata angalau kiongozi mmoja wa upinzani kila wiki , imeagizwa wanyimwe dhamana

Mtu yeyote anayefikiria kutumia mabavu karne hii ya sasa ajue amefeli. Ni bora tukajitafari na kutumia njia nzuri kujitafutia umaarufu wa kisiasa. Bahati nzuri iliyopo ni kwamba jela zilizopo ni chache kwa hiyo kusema watu watesema. Kwa mwenye busara unawapuuza.
 
hawataweza kushinda
 
Kwa sasa tutasikia wapinzani wengi zaidi wakikamatwa
 
du sijui mwakani itakuaje kama hali ndo hii

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Upinzani sio cuf,chadema,tlp,nccr au jina la chama chochote upinzani ni fikra hai hata kikibaki ccm pekee je hakutakuwa na upinzani? Ndio maana huwa najiuliza tu kama wasomi wetu hawawez kuelewa hata hili je wanaelewa nini?
Tatizo la wanalumumba wengi walioko huku jf ni watoto wa juzi, ukiwauliza wakueleze kuhusu wabunge waliokuwa wanajulikana kama G55 sidhani hata kama wanawajua na sababu za wao kupewa hilo jina
 
Tii sheria bila shuruti, wapo wabunge wengi wa upinzani hawajawai kuguswa. Tatizo mnavunja sheria mnategemea kunamtu atawaonea huruma. Msiishi kwa mazoea.
Sent using Jamii Forums mobile app
 
At last they'll shoot him to death

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tatizo la wanalumumba wengi walioko huku jf ni watoto wa juzi, ukiwauliza wakueleze kuhusu wabunge waliokuwa wanajulikana kama G55 sidhani hata kama wanawajua na sababu za wao kupewa hilo jina
G55 ingekuwepo leo Njelu Kasaka angeuawa
 

Hata Kenya wakati wa Moi kulikuwa na ukandamizaji mkubwa wa aina hii hii ya kutumia madaraka kuonea wengine. Ndipo Mungiki wakaanzishwa, unatumia madaraka vibaya kumuweka kiongozi au mwanaharakati X ndani wanajua fitina hii imeanzia kwa DC fulani basi siku mbili tatu unakuta familia imekiona cha moto au wewe mwenyewe yanakukuta.
Sasa sijui kama huko ndio wanataka kuwafikisha watu wafanye hivyo ili mioyo yao iridhike
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…