Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Inaitwa Takrima au kitu kidogoKwetu tumeshaauva na kuuishi mfumo wa "quid pro quo" in plain english "Bribery"
Huu mfumo unachangia kuukamilisha ule msemo wa bongonyoso,
Sasa WEWE kwann ulipoteza namba za mtu muhimu hivyo 😥😥😥Huu mkasa ulitokea kama miaka miwili imepita, dogo wangu alivyomaliza chuo akapata kazi shirika Moja binafsi, akafanya huko kama miaka minne akaanza mazoea ya kunipiga vizinga Tabia ambayo alikua Hana, nikapigwa vizinga weeee mpaka nikachoka, mawazo yakanijia huyu dogo kaajiriwa na Kuna kipindi aliniambia mshahara ni 1.something, nikasema hapana huyo dogo atakua amepata jini(mwanamke) chuma ulete labda anahudumia ukoo wao mzima, nikatafuta siku nikamuita kumhoji ndo akaniambia taasisi Yao imeyumba muda tu yaani mishahara Wana kama miez 6 hawajalipwa Kila siku ahadi... Nikafatilia hili swala nikagundua ni ukweli nikamshauri atafute kazi sehemu nyingine au serikalini akaniambia sawa
Sasa kuna kipindi nafasi serikali zikatoka kada Yao, nikamshtua nikamwambia apply haraka haraka akasema poa, ikapita muda katika mihangaiko na story za hapa na pale nikaunganishwa na mtu flani alikua mkubwa kiasi serikalini kwenye Hio kada aliyokua anafanya kazi dogo, nikamuomba amsaidie dogo apate kazi, Jamaa bila kupepesa macho akaniambia live nimtafutie milioni cash ndo amsaidie( sipendi mambo ya rushwa ila sasa ndo nchi yetu hii Kila mtu anaelewa mkono mtupu haulambwi)
Dogo nikamshirikisha, akaniambia Kuna hela wamepewa anaweza kua na hio M lakini akawa anasema bro huo ni utapeli tutaibiwa tu acha kama ni riziki ntapata tu, nikamsihi sana atoe Hio hela maana aliyeni connect nae mbona ni mtu wangu wa nguvu sidhani kama anaweza kunifanyia ujinga, kishingo upande dogo akamtumia Hio hela jamaa....tena jamaa akatuaminisha mpaka akamwambia dogo achague kituo Cha kazi kabisa😃😃
Post zinatoka hola, dogo hajapata, aisee huyu dogo ananiheshimu ila alikuja kua mbogo mpaka akanivunjia heshima, akawa ananituhumu tumempiga milioni yake😃,kuanza kufatilia jamaa nae ananiambia mbona sielewi nilishachombeza jina la huyu apate kazi sijui Nini kimetokea, nikasema hapa tushaingizwa town, nikalalamika tu kwa jamaa aliyeniunganisha na huyu mtu lakini nae akawa ananiambia mbona huyo hayupo ivo, dogo sasa, ikawa usumbufu mpaka home akawa ananisema nimempiga hela nikaona Shari za Nini ikapita muda nikamtumia Hio milioni yake.....
Nimekaa kama wiki 3 mbele, jamaa aliyepewa milioni akanipigia akaniambia anaenda Dodoma kikazi akifika huko atafatilia kwanini dogo hazapata post, akaniambia bro nipe tu akaunti yako nikupe hizo hela umpe mdogo wako asione kama tumemdhulumu wakati na yeye anatafuta bado hajajipata.... Kumbuka hapo mi nilishapotezea hii ishu na dogo nilishamlipa, nikatuma Hio acc kishingo upande nikajua hapa hakuna lolote
Kweli baada ya muda naona muamula umesoma aisee nilishangaa sana(kumbuka sikuwahi kumsumbua arudishe hiyo pesa).... Nimekaa kama siku 2 jamaa ananipigia ananiambia muulize dogo kama alishawahi kuomba kazi serikalini, nikampigia dogo akaniambia baada ya kumaliza tu internship aliomba kazi serikalini..... Nikamrudia jamaa akaniambia huyo mdogo wako ni mjinga sana ametupotezea muda bure....
Kumbe huyu mbwiga(dogo) alishawahi kuomba kazi serikalini akapata, akaona kituo kipo Kijijini huko hakwenda kuripoti, kwa maelezo ya jamaa akadai system ilikua bado inasoma kama dogo alishapata kazi, nikamuuliza kwa io hawafanyi confirmation baada ya watu kuripoti ili hao ambao hawajareport system iwaondoe akaniambia haelewi kwanini imekua ivo, kumbe walivyoingiza jina la dogo likasoma kama tayari alishapangiwa kituo
Nikamuelezea dogo akaniambia ni kweli alipangwa mbali sasa akaona bado ana kazi hakuenda, jamaa akanishauri mwambie mdogo wako afatilie huku hili jina lake litoke huku la sivyo hatakaa apate kazi huku, dogo ananiambia bro nisaidie sasa , nikamwambia ushakua mtu mzima fatilia mambo yako mwenyewe maana ushafanya familia wajue mi ni tapeli
Jamaa nikaja mtumia laki 2 kiuungwana nikamwambia bro najua ulitumia hata na vocha, nimekumbuka hilo tukio maana dogo alikua ananiomba namba ya huyo jamaa ( ambayo kimsingi Sina nilishapoteza) na rafiki yangu aliyenipa ile connection na jamaa tumemzika mwaka huu mwanzoni(RIP).... Dogo namuelesha kua Sina namba zake naona ishakua lawama anahisi kama bado nimemind nambania
Bongo nyoso mkuu, tunakua na mabosi ambao tunawafundisha kazi, niliwahi fanya kazi sehemu bosi mweupe kabisa walikuja wazungu kufanya project Fulani jamaa Kila akiulizwa kitu inabidi sisi ndo tutoe ufafanuzi, jioni mkiwa nae anacheka tu anawaambia vijana siwezi teseka na nyinyi mpo bado damu inachemka😃😃
Sasa Aliyetoa 52m ni taasisi au supplier?Hii story inafanana na yangu kidogo
Kuna jamaa yupo taasisi fulani hv..sasa wakawa wanataka mzigo flani wa kama 50m kweli nikahangaika sana nikapata supplier...wakaweka mzigo wao na mi m2 yangu
Hela ikatoka wakavuta yote kwa supplier bila kuniambia nakuja mpigia ananiambia mbona hela wameshachukua na ya kwenu nilichoka...nampigia jamaa wa taasisi hashiki simu!
Nikarudi huku kwa suplier kumueleza...akasikitika sana akasema aise pole ila mi kazi za dhulma sifanyagi!
Akaturudishia zile m2 tulizorushwa kuna watu bado wana moyo mzuri
Ukishapata kazi serikalini usiache hata kama kituo kipo mbali kias ganHuu mkasa ulitokea kama miaka miwili imepita, dogo wangu alivyomaliza chuo akapata kazi shirika Moja binafsi, akafanya huko kama miaka minne akaanza mazoea ya kunipiga vizinga Tabia ambayo alikua Hana, nikapigwa vizinga weeee mpaka nikachoka, mawazo yakanijia huyu dogo kaajiriwa na Kuna kipindi aliniambia mshahara ni 1.something, nikasema hapana huyo dogo atakua amepata jini(mwanamke) chuma ulete labda anahudumia ukoo wao mzima, nikatafuta siku nikamuita kumhoji ndo akaniambia taasisi Yao imeyumba muda tu yaani mishahara Wana kama miez 6 hawajalipwa Kila siku ahadi... Nikafatilia hili swala nikagundua ni ukweli nikamshauri atafute kazi sehemu nyingine au serikalini akaniambia sawa