Kuna mkasa ulitokea nikaamini Tanzania hii bado Kuna watu waaminifu

Hii story inafanana na yangu kidogo
Kuna jamaa yupo taasisi fulani hv..sasa wakawa wanataka mzigo flani wa kama 50m kweli nikahangaika sana nikapata supplier...wakaweka mzigo wao na mi m2 yangu
Hela ikatoka wakavuta yote kwa supplier bila kuniambia nakuja mpigia ananiambia mbona hela wameshachukua na ya kwenu nilichoka...nampigia jamaa wa taasisi hashiki simu!
Nikarudi huku kwa suplier kumueleza...akasikitika sana akasema aise pole ila mi kazi za dhulma sifanyagi!
Akaturudishia zile m2 tulizorushwa kuna watu bado wana moyo mzuri
 
Sasa WEWE kwann ulipoteza namba za mtu muhimu hivyo 😥😥😥
 

Hapo bado hujakutana na pisi kali ya ofisi inayobebwa na muonekano. Haijui chochote ila unaweza fukuzwa na kuiacha ofisini

Kingine bongo yetu hii mtu anaweza panda cheo kwa kuwasnitch wengine ofisini. Akishapata tu favour ya boss, kesho anakuwa supervisor kwa hiyo kuwa na performance kali bila kuzijua fitna, kuna ofisi ni ngumu kupanda juu
 
Sasa Aliyetoa 52m ni taasisi au supplier?
 
Ukishapata kazi serikalini usiache hata kama kituo kipo mbali kias gan
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…