HAKI KWA WOTE
JF-Expert Member
- Nov 30, 2022
- 2,783
- 2,396
Umetumia akili zako au za kibiblia?unashindwa kujiongeza hata kujiuliza kwanini mashehe,wachungaji,maaskofu,nk wao waruhusiwe kuoa ila mapadiri wasiruhusiwe?ukiacha ushabiki wa kibiblia utajitambua vinginevyo utaendelea kuwa JUHA!!Mume wa mtu anaweza kuwa available 24/7 kama padri anavyotakiwa kuwa available muda wote? Mume wa mtu na baba wa familia akiambiwa sasahivi aende Sudan Kusini kupeleka Injili ataenda bila kujiuliza mara mbili na bila kuathiri afya ya akili na ustawi wa familia yake? Mume wa mtu anaweza kuamka saa kumi za alfajiri kila siku ili aweze kusalisha Misa ya kwanza saa kumi na moja alfajiri Kila siku bila kuathiri majukumu yake kama baba wa familia na mume wa mtu? Mume wa mtu akihitajika muda wowote kwenda kusoma nje ya nchi eg Italia kwa ajili ya Kanisa je ataweza kwenda ? Mume wa mtu tena kwenye mazingira ya Afrika na Bongo, endapo wakwe zake wana mahitaji, hatashawishika kuiba yale mamilioni ya sadaka za waumini ili asaidie ukweni? Mapadri wanahamishwa vituo vya kazi mara kwa mara, mume wa mtu na baba wa familia ataweza kuhama kituo cha kazi kila baada ya miaka 2 au 3 pasipo kusababisha usumbufu kwa familia?
KInyozi hajinyoi.Tujitafakari,
Inawezekanaje mapadiri wawe sawa kuwaozesha waumini wenzao lakini wao hawaoi,hata hili waafrika hamlioni kuwa ni ujinga uliopitiliza na kama ni imani je siyo ujinga wa kutokuhoji?
Wazazi wao wasingeoana jea hao mapadiri wangezaliwa?
Soma Biblia, majibu wazi kabisa.Tujitafakari,
Inawezekanaje mapadiri wawe sawa kuwaozesha waumini wenzao lakini wao hawaoi,hata hili waafrika hamlioni kuwa ni ujinga uliopitiliza na kama ni imani je siyo ujinga wa kutokuhoji?
Wazazi wao wasingeoana jea hao mapadiri wangezaliwa?
Ndoa haifungwi faraghani,ili ndoa iwe halali inahitaji kutimiza matakwa ya sheria kwanza.Hoja ya Padre kufungisha ndoa na yeye haoi haina uhusiano na maisha ya ndoa bali ni uwezo wa kuapisha.Tujitafakari,
Inawezekanaje mapadiri wawe sawa kuwaozesha waumini wenzao lakini wao hawaoi,hata hili waafrika hamlioni kuwa ni ujinga uliopitiliza na kama ni imani je siyo ujinga wa kutokuhoji?
Wazazi wao wasingeoana jea hao mapadiri wangezaliwa?
Ni swali fikirishi! Utatoaje mafundisho ya ndoa na hujawahi kuishi hayo maisha ya ndoa? Ni unafiki uliokubuhu.Tujitafakari,
Inawezekanaje mapadiri wawe sawa kuwaozesha waumini wenzao lakini wao hawaoi,hata hili waafrika hamlioni kuwa ni ujinga uliopitiliza na kama ni imani je siyo ujinga wa kutokuhoji?
Wazazi wao wasingeoana jea hao mapadiri wangezaliwa?
😏😏😏😏😏
Mitume wa Yesu walikuwa hawajaoa na waliifanya kazi ya Mungu.Sex sio hitaji muhimu kwamba mtu akilikosa atakufa ondoa hiyo mantiki wapo wanaoweza kuishi bila kushiriki hadi mwisho wa maisha yao ukiachilia mapadir je Monks wa Budha wanaishije?Umetumia akili zako au za kibiblia?unashindwa kujiongeza hata kujiuliza kwanini mashehe,wachungaji,maaskofu,nk wao waruhusiwe kuoa ila mapadiri wasiruhusiwe?ukiacha ushabiki wa kibiblia utajitambua vinginevyo utaendelea kuwa JUHA!!
Haiwezekani mwanaume rijali asioe basi wangeamia kuwapadrisha mashoga ijulikane moja,kila kiumbe chenye uhai kimeumbiwa SEX ,jitafakari!!
Ujinga wako umevuka kiwango cha ujinga uliopitiliza.Tujitafakari,
Inawezekanaje mapadiri wawe sawa kuwaozesha waumini wenzao lakini wao hawaoi,hata hili waafrika hamlioni kuwa ni ujinga uliopitiliza na kama ni imani je siyo ujinga wa kutokuhoji?
Wazazi wao wasingeoana jea hao mapadiri wangezaliwa?
Duniani huwa hakuna swali la kijingajinga lakini hili lako nina mashaka nalo.Mtu aliyeamua,kukubali na kufuata nadhiri alizojiwekea mwenyewe kama ambavyo taasisi yake ilivyompa miongozo inawezekanaje mimi nimuhoji au kumshangaa?Maamuzi mengine huwa mepesi au magumu kutegemea mpokeaji wake.Tujitafakari,
Inawezekanaje mapadiri wawe sawa kuwaozesha waumini wenzao lakini wao hawaoi,hata hili waafrika hamlioni kuwa ni ujinga uliopitiliza na kama ni imani je siyo ujinga wa kutokuhoji?
Wazazi wao wasingeoana jea hao mapadiri wangezaliwa?
Twende pamoja na kujiuliza swali lingine la kijingajinga;Kwani Adam alipata wapi mafundisho ya ndoa na unyumba hadi akawa na familia yeye na Hawa/Eva?Ni swali fikirishi! Utatoaje mafundisho ya ndoa na hujawahi kuishi hayo maisha ya ndoa? Ni unafiki uliokubuhu.
Kautaratibu Ka kufungisha Ndoa kwa ujumla wake ni kakitapeli. Ni mbinu ya kupata waumini watiifu na wa kudumu!. Nafurahi kuona watu mnatumia akili zenu kuhoji kama hivi.Tujitafakari,