Kuna mkatoliki amewahi kujiuliza kwanini mapadre wanawafungisha ndoa ila wao mapadiri hawafungi ndoa?

Ndio maana ushoga umetalamaki kwa mapadri wa kikatoliki, na kulawiti vijana wa kiume mpaka hata nchini, na kupelekea papa kurasimisha rasmi kuwa ushoga kanisani
 
Tujitafakari,

Inawezekanaje mapadiri wawe sawa kuwaozesha waumini wenzao lakini wao hawaoi,hata hili waafrika hamlioni kuwa ni ujinga uliopitiliza na kama ni imani je siyo ujinga wa kutokuhoji?

Wazazi wao wasingeoana jea hao mapadiri wangezaliwa?

Tujitafakari.

Ikiwa ndoa ni agizo la Mungu na ni jambo jema, kwa nini padre anaweza kuwaozesha wengine lakini yeye mwenyewe anazuiwa kuoa?

Kama ndoa ni takatifu, kwa nini iwe halali kwa waumini lakini isiwe halali kwa padre?

Biblia yenyewe inasema:

"Si vema huyo mtu awe peke yake." (Mwanzo 2:18)

Na pia:

"Askofu basi, hana budi awe... mume wa mke mmoja." (1 Timotheo 3:2)

Na tena:

"Shemasi na wawe waume wa mke mmoja." (1 Timotheo 3:12)

Mtume Petro, ambaye Kanisa Katoliki humhesabu kuwa kiongozi wa kwanza wa mitume, alikuwa ameoa, kwa sababu Biblia inamtaja mama mkwe wake.

Mathayo 8:14
"Yesu alipofika nyumbani kwa Petro, akamwona mama mkwe wake amelala ana homa."

Kama Petro alikuwa ameoa, kwa nini leo padre azuiwe kuoa?

Zaidi ya hayo, Paulo alionya kwamba kutatokea watu watakaoweka mafundisho yasiyotoka kwa Mungu:

"Watazuia watu wasioe..." (1 Timotheo 4:1–3)

Hivyo swali la kujiuliza ni hili:

Je, katazo la mapadre kuoa ni amri ya Yesu, au ni sheria iliyowekwa baadaye na taasisi ya kanisa?

Hakuna sehemu katika Injili ambapo Yesu alisema:

"Atakayekuwa padre asioe."

Kwa mtazamo wa Uislamu, Mitume wengi wa Mwenyezi Mungu walikuwa wameoa: Adam, Nuhu, Ibrahim, Musa na wengine. Hata Nabii Muhammad (rehema na amani zimshukie) alikuwa ameoa. Ndoa haikuwazuia kuwa viongozi wa kiroho, bali ilikuwa sehemu ya maisha yao na mfano kwa jamii.

Kwa hiyo, swali la msingi si kuwashambulia mapadre, bali kuhoji: Je, marufuku ya padre kuoa ni mafundisho ya Mungu, au ni utaratibu wa kanisa ulioanzishwa na wanadamu?
 
Tujitafakari.

Ikiwa ndoa ni agizo la Mungu na ni jambo jema, kwa nini padre anaweza kuwaozesha wengine lakini yeye mwenyewe anazuiwa kuoa?

Kama ndoa ni takatifu, kwa nini iwe halali kwa waumini lakini isiwe halali kwa padre?

Biblia yenyewe inasema:

Na pia:

Na tena:

Mtume Petro, ambaye Kanisa Katoliki humhesabu kuwa kiongozi wa kwanza wa mitume, alikuwa ameoa, kwa sababu Biblia inamtaja mama mkwe wake.

Kama Petro alikuwa ameoa, kwa nini leo padre azuiwe kuoa?

Zaidi ya hayo, Paulo alionya kwamba kutatokea watu watakaoweka mafundisho yasiyotoka kwa Mungu:

Hivyo swali la kujiuliza ni hili:

Je, katazo la mapadre kuoa ni amri ya Yesu, au ni sheria iliyowekwa baadaye na taasisi ya kanisa?

Hakuna sehemu katika Injili ambapo Yesu alisema:

"Atakayekuwa padre asioe."

Kwa mtazamo wa Uislamu, Mitume wengi wa Mwenyezi Mungu walikuwa wameoa: Adam, Nuhu, Ibrahim, Musa na wengine. Hata Nabii Muhammad (rehema na amani zimshukie) alikuwa ameoa. Ndoa haikuwazuia kuwa viongozi wa kiroho, bali ilikuwa sehemu ya maisha yao na mfano kwa jamii.

Kwa hiyo, swali la msingi si kuwashambulia mapadre, bali kuhoji: Je, marufuku ya padre kuoa ni mafundisho ya Mungu, au ni utaratibu wa kanisa ulioanzishwa na wanadamu?

Yawezekana hujawahi kusoma Biblia, au unasema Biblia bila ya kuwa na uwezo wa kuielewa. Kutooa kwa mitume ni agizo dhahiri kutoka kwa Yesu mwenyewe, akifanya ufafanuzi wa jambo hilo kwa mitume, aliwaambia: Hakuna anayeweza kuwatumikia Mabwana wawili. Hivyo kama umeamua kuwa mtumishi wa Kristo, acha yote ubaki na Kristo. Ukisoma kumbukumbu za Kanisa la mwanzo, unaona wazi kabisa mitume waliokuwa tayari wameoa wakati Yesu anawachagua, waliwaacha wake zao, na familia zao, wakatawanyika Duniani kote kuutangaza ujumbe wa Kristo. Mitume ambao walikuwa bado hawajaoa, hawakuoa kabisa. Na hata mitume katika mafundisho yao walisisitiza kuwa japo kuoa siyo dhambi, lakini kwa wanaotaka kufanya kazi ya Kristo, wawe kama wao, yaani wasioe.

Hata ukisoma kumbukumbu za maaskofu wa kwanza maarufu katika Ukristo, kama vile Saint Ignatius, Askofu wa Antiokia, japo aliandika mengi juu ya wanandoa wanavyotakiwa kuwa, yeye mwenyewe hakuwahi kuoa.

Hata wanawake walioamua kuwa wafuasi wa Kristo kama Saint Veronica, hawakuwahi kuolewa. Hata alipolazimishwa kuolewa na mfalme, Veronica alisema kuwa ana ndoa na Kristo, hawezi kuolewa. Akakubali kuuawa, na muujiza ukatokea mara baada ya kuuawa, kwa kitu chenye mfano wa njiwa kutoka mdomoni mwake na kisha kuchukuliwa na wingu.
 
Soma Biblia, majibu wazi kabisa.
Ujinga wako umevuka kiwango cha ujinga uliopitiliza. Ungekuwa na uelewa japo mdogo kabisa juu ya nini Yesu aliwaambia mitume juu ya kumtumikia Yeye, wale usingethubutu kuuliza swali kama hilo. Ufahamu kuwa hakuna Kanisa linaloijua Biblia na Ukristo, zaidi ya Kanisa Katoliki. Hilo ndilo Kanisa baba wa madhehebu yote, ndiyo Kanisa lililoitunza Biblia na mapokeo yote toka kwa mitume na mababa wa imani, mpaka karne ya 11 ambao dhehebu la kwanza, Orthodox, lilizaliwa. Mpaka leo, Vatican ndiyo iliyo na maktaba kui Duniani inayoshikilia kumbukumbu zote za Ukristo. Kumbuka Yesu aliwaambia mitume wake waliokuwa na familia, waziache na wamfuate, na akawaasa wale ambao hawakuwa na familia kuwa mwenye familia mawazo yake huwa juu ya familia yake, watumishi wake wanastahili kumfikiria Mungu. Mapadre wanatakiwa kuwaona waumini wote ni ndugu sawa. Wakioa na kuwa na familia, siyo rahisi kuwaona watoto wake au mke wake kuwa na nafasi sawa na waumini wote anaowaongoza. Na hiyo imerithiwa tangu enzi za mitume: Mitume waliokuwa na familia waliziacha familia zao, wakamfuata Kristo. Ambao hawakuwa na familia wakati wanateuliwa kuwa mitume, hawakuoa na kuwa na familia.

Nini chanzo cha watu kuishi na wanyama wa kufuga nyumbani bila kudhuriwa na wanyama pori kuishi pekeyao porini? Yani kipi kilichoumba na kuweka mipaka ya mazingira ya viumbe hivi kuelewana na kutoelewana kwa pamoja?

Ubinadamu ni kazi - the humanity is work.
Kitu kinachosimamia hili ni mahusiano yao hasa kwa mtu kuwa na uwezo wa kumhudumia mnyama kwa kumjali na kumuelekeza jinsi ya kuishi naye kuanzia utoto wa mnyama ndiyo maana ni vigumu kumchukua mnyama kutoka porini akiwa mkubwa na kumfuga kirahisi lazima watashindwana tu na aidha mnyama atatoroka au atamdhuru mtu anayemfuga
 
Tujitafakari.

Ikiwa ndoa ni agizo la Mungu na ni jambo jema, kwa nini padre anaweza kuwaozesha wengine lakini yeye mwenyewe anazuiwa kuoa?

Kama ndoa ni takatifu, kwa nini iwe halali kwa waumini lakini isiwe halali kwa padre?

Biblia yenyewe inasema:

Na pia:

Na tena:

Mtume Petro, ambaye Kanisa Katoliki humhesabu kuwa kiongozi wa kwanza wa mitume, alikuwa ameoa, kwa sababu Biblia inamtaja mama mkwe wake.

Kama Petro alikuwa ameoa, kwa nini leo padre azuiwe kuoa?

Zaidi ya hayo, Paulo alionya kwamba kutatokea watu watakaoweka mafundisho yasiyotoka kwa Mungu:

Hivyo swali la kujiuliza ni hili:

Je, katazo la mapadre kuoa ni amri ya Yesu, au ni sheria iliyowekwa baadaye na taasisi ya kanisa?

Hakuna sehemu katika Injili ambapo Yesu alisema:

"Atakayekuwa padre asioe."

Kwa mtazamo wa Uislamu, Mitume wengi wa Mwenyezi Mungu walikuwa wameoa: Adam, Nuhu, Ibrahim, Musa na wengine. Hata Nabii Muhammad (rehema na amani zimshukie) alikuwa ameoa. Ndoa haikuwazuia kuwa viongozi wa kiroho, bali ilikuwa sehemu ya maisha yao na mfano kwa jamii.

Kwa hiyo, swali la msingi si kuwashambulia mapadre, bali kuhoji: Je, marufuku ya padre kuoa ni mafundisho ya Mungu, au ni utaratibu wa kanisa ulioanzishwa na wanadamu?
Kutokuoa kwake aliyeamua kuyatoa maisha kwaajili ya huduma ya Mungu, ni agizo la Mungu mwenyewe, pale aliposema kuwa wanaotaka kutoa huduma yake kwa wanadamu, wachague kumtumikia tu yeye, kwa sababu hakuna anayeweza kuwahudumia mabwana wawili, familia na Mungu.

Mapadre kutooa siyo jambo lililowekwa baadaye, bali ni mapokeo toka Kanisa la mwanzo kabisa. Waliokuwa wameoa kabla ya kuwa mitume, baada ya kuwa mitume waliziacha familia zao ili kuwatumikia waumini wote kwa usawa. Na wale ambao wakati wanakuwa mitume hawakuwa wameoa, hawakuoa kabisa, na mafundisho yao yakawa kila anayetaka kuifanya kazi ya Mungu, awe kama wao, yaani asiwe na familia, familia ambayo itamfanya aipe kipaumbele kuliko kazi ya Mungu.
 
ukiacha ushabiki wa kibiblia utajitambua vinginevyo utaendelea kuwa JUHA!!
Ushabiki WA kibiblia ndio unajibu swali hili, Na ukweli Ni Kwamba ushabiki huohuo ndio unaokamilisha neno Imani, unauliza swali la kibiblia alafu unataka ujibiwe Kwa akili Za ki- fizikia ,
Unauliza mkanganyiko WA kiimani alafu unataka ujibiwe kisayansi , hopeless kabisa,
 
Umetumia akili zako au za kibiblia?unashindwa kujiongeza hata kujiuliza kwanini mashehe,wachungaji,maaskofu,nk wao waruhusiwe kuoa ila mapadiri wasiruhusiwe?ukiacha ushabiki wa kibiblia utajitambua vinginevyo utaendelea kuwa JUHA!!
Haiwezekani mwanaume rijali asioe basi wangeamia kuwapadrisha mashoga ijulikane moja,kila kiumbe chenye uhai kimeumbiwa SEX ,jitafakari!!
Hoja inajibiwa kwa hoja, nimetoa hoja zangu hapo juu, zijibu .
 
Kutokuoa kwake aliyeamua kuyatoa maisha kwaajili ya huduma ya Mungu, ni agizo la Mungu mwenyewe, pale aliposema kuwa wanaotaka kutoa huduma yake kwa wanadamu, wachague kumtumikia tu yeye, kwa sababu hakuna anayeweza kuwahudumia mabwana wawili, familia na Mungu.

Mapadre kutooa siyo jambo lililowekwa baadaye, bali ni mapokeo toka Kanisa la mwanzo kabisa. Waliokuwa wameoa kabla ya kuwa mitume, baada ya kuwa mitume waliziacha familia zao ili kuwatumikia waumini wote kwa usawa. Na wale ambao wakati wanakuwa mitume hawakuwa wameoa, hawakuoa kabisa, na mafundisho yao yakawa kila anayetaka kuifanya kazi ya Mungu, awe kama wao, yaani asiwe na familia, familia ambayo itamfanya aipe kipaumbele kuliko kazi ya Mungu.

Jibu lako lina matatizo makubwa ya kibiblia na kihistoria. Unachanganya ushauri wa Paulo na amri ya Mungu, na pia unasema jambo ambalo Biblia haisemi.

Unasema "ni agizo la Mungu" kwamba wanaotoa huduma ya Mungu wasioe. Tafadhali leta andiko moja tu ambalo Mungu au Yesu amesema, "mtumishi wa Mungu asioe." Halipo.

Umenukuu vibaya maneno ya Yesu kuhusu "hakuna awezaye kuwatumikia mabwana wawili." Katika muktadha wake Yesu alikuwa anazungumzia Mungu na mali, siyo Mungu na mke. Soma Mathayo 6:24. Huko hakuna neno lolote linalokataza ndoa kwa watumishi wa Mungu.

Tena unasema mitume waliooa "waliiacha familia yao." Biblia haisemi hivyo. Badala yake Biblia inaonyesha Petro alikuwa ameoa, kwa sababu Yesu alimponya mkwe wake Petro (Mathayo 8:14; Marko 1:30; Luka 4:38). Baadaye Paulo anaandika:

"Je, hatuna haki ya kwenda na mke aliye mwamini kama mitume wengine na ndugu zake Bwana na Kefa (Petro)?" (1 Wakorintho 9:5).

Hii inaonyesha Petro aliendelea kuwa na mke hata katika huduma yake. Kama angekuwa ameacha familia kabisa, Paulo asingemtumia kama mfano.

Kuhusu Paulo, yeye mwenyewe alisema kutooa ni chaguo lake, si amri ya Mungu:

"Kwa habari ya wanawali sina amri ya Bwana; bali natoa shauri langu." (1 Wakorintho 7:25)

Pia alisema:

"Kila mtu ana karama yake mwenyewe kutoka kwa Mungu." (1 Wakorintho 7:7)

Hivyo kutooa ni karama kwa baadhi ya watu, si sheria kwa watumishi wote wa Mungu.

Zaidi ya hayo, Biblia inaweka sifa za viongozi wa Kanisa kuwa waume wa mke mmoja, si watu wasiooa:

1 Timotheo 3:2 – "Basi askofu na awe mume wa mke mmoja."

Tito 1:6 – "Mtu akiwa hana lawama, mume wa mke mmoja..."
Kama kutooa kingekuwa agizo la Mungu kwa viongozi wa Kanisa, Paulo asingesema askofu awe "mume wa mke mmoja."

Mwisho, Paulo alionya kwamba kutakuja watu watakaofundisha kuwakataza watu wasioe, na akaita fundisho hilo fundisho la upotovu:

"Wakiwazuia watu wasioe..." (1 Timotheo 4:1–3).

Hivyo sheria ya lazima ya kutooa kwa viongozi wa dini haiwezi kuitwa amri ya Mungu wakati Biblia yenyewe inaonya dhidi ya kuwakataza watu wasioe.

Kwa hiyo mzigo wa uthibitisho uko kwako. lete andiko moja la Biblia ambalo Yesu au Mungu amesema: "Mapadre, wachungaji, au watumishi wa Mungu hawaruhusiwi kuoa." Hakuna andiko la aina hiyo. Kilichopo ni ushauri wa Paulo kwa wenye karama ya useja, si amri ya Mungu.
 
Ni swali fikirishi! Utatoaje mafundisho ya ndoa na hujawahi kuishi hayo maisha ya ndoa? Ni unafiki uliokubuhu.
Kwa maelezo yako basi unamaanisha Mtume Paulo ni " mnafiki aliyekubuhu" maana ametoa mafundisho ya ndoa kwenye nyaraka zake na hakuwahi kuyaishi hayo maisha ya ndoa.
Binafsi, mafundisho bora zaidi ya ndoa niliyowahi kupata maishani mwangu ,niliyapata kwa watu ambao hawakuwahi kuoa. Watu hao ni:
1. Mtume Paulo
2. Pope John Paul II
 
Mume wa mtu anaweza kuwa available 24/7 kama padri anavyotakiwa kuwa available muda wote? Mume wa mtu na baba wa familia akiambiwa sasahivi aende Sudan Kusini kupeleka Injili ataenda bila kujiuliza mara mbili na bila kuathiri afya ya akili na ustawi wa familia yake? Mume wa mtu anaweza kuamka saa kumi za alfajiri kila siku ili aweze kusalisha Misa ya kwanza saa kumi na moja alfajiri Kila siku bila kuathiri majukumu yake kama baba wa familia na mume wa mtu? Mume wa mtu akihitajika muda wowote kwenda kusoma nje ya nchi eg Italia kwa ajili ya Kanisa je ataweza kwenda ? Mume wa mtu tena kwenye mazingira ya Afrika na Bongo, endapo wakwe zake wana mahitaji, hatashawishika kuiba yale mamilioni ya sadaka za waumini ili asaidie ukweni? Mapadri wanahamishwa vituo vya kazi mara kwa mara, mume wa mtu na baba wa familia ataweza kuhama kituo cha kazi kila baada ya miaka 2 au 3 pasipo kusababisha usumbufu kwa familia?
Maelezo meeeengi ila umeandika ujinga
 
Umetumia akili zako au za kibiblia?unashindwa kujiongeza hata kujiuliza kwanini mashehe,wachungaji,maaskofu,nk wao waruhusiwe kuoa ila mapadiri wasiruhusiwe?ukiacha ushabiki wa kibiblia utajitambua vinginevyo utaendelea kuwa JUHA!!
Haiwezekani mwanaume rijali asioe basi wangeamia kuwapadrisha mashoga ijulikane moja,kila kiumbe chenye uhai kimeumbiwa SEX ,jitafakari!!
Litabisha tatizo.
 
Yawezekana hujawahi kusoma Biblia, au unasema Biblia bila ya kuwa na uwezo wa kuielewa. Kutooa kwa mitume ni agizo dhahiri kutoka kwa Yesu mwenyewe, akifanya ufafanuzi wa jambo hilo kwa mitume, aliwaambia: Hakuna anayeweza kuwatumikia Mabwana wawili. Hivyo kama umeamua kuwa mtumishi wa Kristo, acha yote ubaki na Kristo. Ukisoma kumbukumbu za Kanisa la mwanzo, unaona wazi kabisa mitume waliokuwa tayari wameoa wakati Yesu anawachagua, waliwaacha wake zao, na familia zao, wakatawanyika Duniani kote kuutangaza ujumbe wa Kristo. Mitume ambao walikuwa bado hawajaoa, hawakuoa kabisa. Na hata mitume katika mafundisho yao walisisitiza kuwa japo kuoa siyo dhambi, lakini kwa wanaotaka kufanya kazi ya Kristo, wawe kama wao, yaani wasioe.

Hata ukisoma kumbukumbu za maaskofu wa kwanza maarufu katika Ukristo, kama vile Saint Ignatius, Askofu wa Antiokia, japo aliandika mengi juu ya wanandoa wanavyotakiwa kuwa, yeye mwenyewe hakuwahi kuoa.

Hata wanawake walioamua kuwa wafuasi wa Kristo kama Saint Veronica, hawakuwahi kuolewa. Hata alipolazimishwa kuolewa na mfalme, Veronica alisema kuwa ana ndoa na Kristo, hawezi kuolewa. Akakubali kuuawa, na muujiza ukatokea mara baada ya kuuawa, kwa kitu chenye mfano wa njiwa kutoka mdomoni mwake na kisha kuchukuliwa na wingu.

Asante kwa mchango wako. Lakini hoja yako inachanganya mambo matatu tofauti: maneno ya Yesu, mafundisho ya mitume, na mapokeo ya Kanisa.

Kwanza, umesema Yesu alitoa agizo la kutooa kwa watumishi wake akisema: "Hakuna awezaye kuwatumikia mabwana wawili." Lakini hiyo si tafsiri ya maandiko.

Katika Mathayo 6:24 na Luka 16:13, Yesu alikuwa anazungumzia kumtumikia Mungu na mali (Mamona), si ndoa na utumishi. Hakuna sehemu Yesu alisema: "Mabwana wawili ni Kristo na mke."

Pili, umesema mitume waliwaacha wake zao. Biblia haisemi hivyo. Kuacha kila kitu ili kumfuata Kristo hakumaanishi kuvunja ndoa.

Kinyume chake, Paulo anaandika:

"Je, hatuna haki ya kwenda na mke aliyeamini, kama walivyofanya mitume wengine na ndugu zake Bwana na Kefa (Petro)?"
(1 Wakorintho 9:5)
Aya hii inaonyesha wazi kwamba Petro na baadhi ya mitume walisafiri pamoja na wake zao. Kama walikuwa wamewaacha kabisa, Paulo asingewatumia kama mfano.

Tatu, ni kweli Paulo alisema asiyeoa anaweza kujishughulisha zaidi na mambo ya Bwana (1 Wakorintho 7:32-35). Lakini Paulo hakufanya hilo kuwa amri. Alisema wazi:

"Nasema haya kwa ruhusa, si kwa amri."
(1 Wakorintho 7:6)
Na tena:

"Kila mtu ana karama yake mwenyewe kutoka kwa Mungu."
(1 Wakorintho 7:7)

Kwa hiyo kutooa ni karama ya mtu binafsi, si sheria kwa kila mtumishi wa Mungu.

Nne, ulitaja Ignatius, Veronica na kumbukumbu za Kanisa. Ninaheshimu historia ya Kanisa, lakini historia haiwezi kufuta maandiko. Swali langu lilikuwa rahisi sana:

Ni wapi Yesu alisema: "Atakayekuwa padre asioe"?

Ukipata aya hiyo, niletee. Ukikosa, basi marufuku ya mapadre kuoa ni utaratibu wa Kanisa ulioanzishwa baadaye, si amri ya Yesu.

Mwisho, Paulo alionya kuhusu watu ambao "watazuia watu wasioe." (1 Timotheo 4:1-3). Hivyo, mzigo wa kuthibitisha uko kwa anayesema Mungu amekataza mapadre kuoa.

Biblia inahitaji amri ya wazi, si tafsiri au mapokeo.
 
Kwa maelezo yako basi unamaanisha Mtume Paulo ni " mnafiki aliyekubuhu" maana ametoa mafundisho ya ndoa kwenye nyaraka zake na hakuwahi kuyaishi hayo maisha ya ndoa.
Binafsi, mafundisho bora zaidi ya ndoa niliyowahi kupata maishani mwangu ,niliyapata kwa watu ambao hawakuwahi kuoa. Watu hao ni:
1. Mtume Paulo
2. Pope John Paul II

Hapana. Unamhusisha na jambo ambalo hakulisema.

Hajasema Paulo alikuwa mnafiki. Paulo mwenyewe alieleza wazi kuwa hakulazimisha watu waige hali yake ya kutooa, bali alisema hiyo ilikuwa karama yake binafsi.

Biblia inasema:

"Nataka watu wote wawe kama mimi nilivyo; lakini kila mtu ana karama yake mwenyewe itokayo kwa Mungu, mmoja hivi na mwingine vile."
(1 Wakorintho 7:7)

Na akaendelea kusema:

"Nasema hayo kwa ruhusa, si kwa amri."
(1 Wakorintho 7:6)

Kwa hiyo Paulo hakuwahi kusema: "Kila mtumishi wa Mungu asifunge ndoa." Hilo ni wazo ambalo hulipati katika maandiko yake.

Kinyume chake, Paulo aliwataka viongozi wa Kanisa wawe watu wa familia:

"Basi askofu hana budi kuwa mtu asiyelaumika, MUME wa mke MMOJA..."
(1 Timotheo 3:2)

Na tena:

"Mashemasi na wawe waume wa wake mmoja..."
(1 Timotheo 3:12)

Kama kutooa ni sharti la uongozi wa kiroho, kwa nini Paulo aliandika kwamba askofu awe mume wa mke mmoja badala ya kusema asiwe na mke kabisa?

Halafu unasema Pope John Paul II hakuwahi kuoa lakini alifundisha ndoa. Hilo si hoja. Mtu anaweza kufundisha jambo asilolifanya. Lakini swali si uwezo wa kufundisha.

Swali ni hili:

Ni wapi Yesu au Paulo waliamuru kwamba mtu akitaka kuwa padre au askofu ni lazima asioe?

Ukikosa aya hiyo, basi ukubali kwamba ni sheria ya Kanisa, si amri ya Mungu.

Na usisahau Paulo mwenyewe alitoa onyo kali:

"Roho anena waziwazi ya kwamba nyakati za mwisho wengine watajitenga na imani... wakizuia watu wasioe."
(1 Timotheo 4:1-3)
Sasa jiulize kwa uaminifu: Ni nani anayewazuia watu wasioe? Paulo alisema hilo ni fundisho la Mungu, au alilionya kama fundisho la kupotosha?

Lete aya moja tu ambayo Yesu alisema: "Atakayekuwa padre asifunge ndoa." Usilete mapokeo, usilete historia ya Kanisa, leta Maandiko. Kama hakuna, basi hoja yako inasimama juu ya mapokeo ya wanadamu, si juu ya Neno la Mungu.
 
Back
Top Bottom