StudentTeacher
JF-Expert Member
- Jan 30, 2019
- 7,043
- 8,478
Kufungisha Ndoa ni mbinu ya kupata waumini watiifu na wakudumu!. Ni utekaji wa watu Kiroho!Twende pamoja na kujiuliza swali lingine la kijingajinga;Kwani Adam alipata wapi mafundisho ya ndoa na unyumba hadi akawa na familia yeye na Hawa/Eva?
Lakini wanapata muda wa kula watawa na kuharibu watotoMume wa mtu anaweza kuwa available 24/7 kama padri anavyotakiwa kuwa available muda wote? Mume wa mtu na baba wa familia akiambiwa sasahivi aende Sudan Kusini kupeleka Injili ataenda bila kujiuliza mara mbili na bila kuathiri afya ya akili na ustawi wa familia yake? Mume wa mtu anaweza kuamka saa kumi za alfajiri kila siku ili aweze kusalisha Misa ya kwanza saa kumi na moja alfajiri Kila siku bila kuathiri majukumu yake kama baba wa familia na mume wa mtu? Mume wa mtu akihitajika muda wowote kwenda kusoma nje ya nchi eg Italia kwa ajili ya Kanisa je ataweza kwenda ? Mume wa mtu tena kwenye mazingira ya Afrika na Bongo, endapo wakwe zake wana mahitaji, hatashawishika kuiba yale mamilioni ya sadaka za waumini ili asaidie ukweni? Mapadri wanahamishwa vituo vya kazi mara kwa mara, mume wa mtu na baba wa familia ataweza kuhama kituo cha kazi kila baada ya miaka 2 au 3 pasipo kusababisha usumbufu kwa familia?
Tujitafakari,
Inawezekanaje mapadiri wawe sawa kuwaozesha waumini wenzao lakini wao hawaoi,hata hili waafrika hamlioni kuwa ni ujinga uliopitiliza na kama ni imani je siyo ujinga wa kutokuhoji?
Wazazi wao wasingeoana jea hao mapadiri wangezaliwa?
Nini chanzo cha watu kuishi na wanyama wa kufuga nyumbani bila kudhuriwa na wanyama pori kuishi pekeyao porini? Yani kipi kilichoumba na kuweka mipaka ya mazingira ya viumbe hivi kuelewana na kutoelewana kwa pamoja?Niliuliza hilo sawali nikafukuzwa, nikahamia kwa walokole, Nako nikafukuzwa kutokana na tabia yangu ya unywa pombe nilijizoesha tangu nikiwa RC.
Huu ndio mwanzo wa mimi kuwa atheist . Sasa subabaishwi na yeyote wala chochote.
Swali zuri sana! Mimi huwa najiuliza, je, bado Kuna mbuzi ng'ombe, kondoo au, punda ambao wako porini, yaani hawajawa domesticated?Nini chanzo cha watu kuishi na wanyama wa kufuga nyumbani bila kudhuriwa na wanyama pori kuishi pekeyao porini? Yani kipi kilichoumba na kuweka mipaka ya mazingira ya viumbe hivi kuelewana na kutoelewana kwa pamoja?
Ubinadamu ni kazi - the humanity is work.
Hatari sana mkuu, vitu vingine vinashangaza sana kama tulivyovuvikuta baada ya kuzaliwa duniani.Swali zuri sana! Mimi huwa najiuliza, je, bado Kuna mbuzi ng'ombe, kondoo au, punda ambao wako porini, yaani hawajawa domesticated?
Kwani wanalazimishwa?Kufungisha Ndoa ni mbinu ya kupata waumini watiifu na wakudumu!. Ni utekaji wa watu Kiroho!
Sasa mtu ameshatekwa tangu ubatizo(utotoni),komunio mbili,kipaimara n.k halafu ghafla awe na msimamo wa kukataa kufungishwa Ndoa?.Kwani wanalazimishwa?
Hayo ni mawazo su fikra zako tu.Kwani akibatizwa ndiyo akili hutoroka hadi ashindwe kufikiri na kuamua/kuchagua alitakalo?Sasa,kwa taarifa yako,walokole wengi wa kileo ndiyo walikuwa wakatoliki.Sasa mtu ameshatekwa tangu ubatizo(utotoni),komunio mbili,kipaimara n.k halafu ghafla awe na msimamo wa kukataa kufungishwa Ndoa?.
Mkuu jipe muda kisha tafakari kwa kina utabaini hii michezo ya wenye dini katika harakati za kuwafanya watu kuwa mateka wao wa kiroho!
Wanaotoka ni wachache kuliko wanaobaki.Je,unadhani hao waliobaki madudu ya huko Ukatolikini hawayaoni?. Kama wanayaona ni nini kinawafanya wasiachane nayo?Hayo ni mawazo su fikra zako tu.Kwani akibatizwa ndiyo akili hutoroka hadi ashindwe kufikiri na kuamua/kuchagua alitakalo?Sasa,kwa taarifa yako,walokole wengi wa kileo ndiyo walikuwa wakatoliki.
Kila jambo kama sio la lazima kabisa kama kula, kupumua huwa linamshangaza mtu mwingine asiyelifuata.Sasa mtu ameshatekwa tangu ubatizo(utotoni),komunio mbili,kipaimara n.k halafu ghafla awe na msimamo wa kukataa kufungishwa Ndoa?.
Mkuu jipe muda kisha tafakari kwa kina utabaini hii michezo ya wenye dini katika harakati za kuwafanya watu kuwa mateka wao wa kiroho!
Uzuri ni kwamba Ubaya au Uzuri wa jambo lolote hujieleza kupitia outcome yake!Kila jambo kama sio la lazima kabisa kama kula, kupumua huwa linamshangaza mtu mwingine asiyelifuata.
Hata wewe ni mateka kwa watoto wako kuna mtu anakuona punguwani kuwa nao.
Umeyaita "madudu" na sijui umemaanisha nini na kiasi gani!Tuoneshe walio wasafi wasio na "madudu"!Wanaotoka ni wachache kuliko wanaobaki.Je,unadhani hao waliobaki madudu ya huko Ukatolikini hawayaoni?. Kama wanayaona ni nini kinawafanya wasiachane nayo?
Nimeyaita madudu kwa sababu kadiri nilivyokuwa nayashika ndivyo nilivyozidi kuwa mbali na Mungu muumba wangu. In fact ni mradi wa wajanja wachache wakitumia jina la Mungu vibaya!Umeyaita "madudu" na sijui umemaanisha nini na kiasi gani!Tuoneshe walio wasafi wasio na "madudu"!
Outcome yake ni ipi mbaya? Wewe unahisi unawazidi nini hao unawaona hawana akili?Uzuri ni kwamba Ubaya au Uzuri wa jambo lolote hujieleza kupitia outcome yake!
Ukitaka kuujua Uzuri au Ubaya wa Jambo lolote usihadaike na promo. Chunguza impact(outcome) yake!.Outcome yake ni ipi mbaya? Wewe unahisi unawazidi nini hao unawaona hawana akili?
Hilo halihitaji kujiuliza, lipo kwenye neno na mafundisho ya imani.Kuna mkatoliki amewahi kujiuliza kwanini mapadre wanawafungisha ndoa ila wao mapadiri hawafungi ndoa?