Kuna movie inayotisha zaidi ya 'The Conjuring'?

Ngoja nidili nayo weekend hii
Afu nione Kati ya Valak na Huyo Lamia Nani ana varangati kushinda mwenzie😄
Humo kuna pepo linaitwa Lamia.lilimsumbua dada mmoja mpaka akajuta kuzaliwa
 
Kuna movi moja jina nimeisahau iko hivi, hautakiwi kusinsia, ukilala tu inakuwa Kama ndoto ... Ndo mtu akufa ivo...

Quit place

Cannibalism

The nun.

The thing.


Tafuta hizo movie
 
Kuna movi moja jina nimeisahau iko hivi, hautakiwi kusinsia, ukilala tu inakuwa Kama ndoto ... Ndo mtu akufa ivo...

Quit place

Cannibalism

The nun.

The thing.


Tafuta hizo movie
Thanks mkuu ila hiyo ambayo umesahau jina kisa chake kimenivutia.
A quiet place na The Nun nishazicheki ntajaribu hizi nyingine
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…