Precious Diamond
JF-Expert Member
- Jun 9, 2023
- 753
- 1,699
Muhimu ukatazamia uraia ktk nchi za wazungu ili ukaishi kizungu na kula memaHERI kutawaliwa na mzungu kuliko CCM
Nakubaliana na wewe. Yaani sasa hivi tunaishi kwenye zaidi ya ukoloni.HERI kutawaliwa na mzungu kuliko CCM
Nakubaliana na wewe. Yaani sasa hivi tunaishi kwenye zaidi ya ukoloni.
Hiyo itakuwa sheria ya Nchi gani kumkuta Mtu hana hatia halafu mnamshikilia kusubiri Rufaa?
Kwa namna kesi ilivyoendeshwa kuanzia kumkamata, kumfikisha mahakamani, mpaka mashahidi wa mchongo kwenda kutoa ushahidi wao, ni wazi kuwa hata mtoto mdogo anaona hapo tunapotezewa muda tu, hakuna kesi wala nini, hivyo hawawezi kumkuta na hatia.
Lakini kumuachia Lissu nayo ni risk nyingine ambayo hawako tayari kuichukua. Kadri walivyozidi kumshikiria ndio umaarufu wa Lissu umezidi kuongezeka, lakini pia wamezidi kuwapa Watanzania sababu za kuzidi kumuonea huruma Lissu na hivyo kuongeza fanbase yake. Wanahofia akitoka haitachukua muda raia "wakakinukisha kweli", lakini pia kumbakisha ndani nako kunazidi kuwapa wananchi sababu ya kudai hali. Yaani pote pagumu.
Kwakuwa Lissu pekee yake hawezi kutenda uhaini na mashahidi wamezidi kumpa kete kwa kuonesha ni namna gani ni mazuzu waliojaza hewa vichwani, lazima watuhumiwa wengine waongezwe ili kujenga tuhuma za uhaini, ndo maana tumeona kamatakamata ya viongozi wa CHADEMA imekuwa kubwa! Sitashangaa nikisikia Heche na wenzake waliobaki wamekatwa, kundi zima la CHADEMA likiwa ndani hapo wataweza kuhalalisha hukumu yake ya kunyongwa wakisema ameshirikiana na wezake kutaka kumpindua Rais.
Hukumu hiyo ni...
1. Ama Lissu akutwe na hatia na viongozi wengine wa CHADEMA waongezwe kwenye list, au
2. Wasimkute Lissu na hatia yoyote, lakini upande wa serikali utakuwa tayari na rufaa mkononi, na hapo Lissu atarejeshwa tena rumande mpaka pale mahakama itakapokaa tena na kusikiliza rufaa hiyo ambapo inaweza kuchukua hata mwaka mwingine tena.... hapo watakuwa na muda wa kutosha wa kujipanga kumshikilia zaidi.
Kumbakisha ndani ni ngumu, lakini kumuachia ni ngumu zaidi, wanajua atawachachafya. Na vile friji la Lissu haligandishi wanajua atakuja kusema yoteee kama walijaribu kumhonga au njia yoyote waliotumia kuingia maridhiano ya mchongo ili wamzibe mdomo!
Kuna siku hii nchi itanuka na kulipuka mazima

Hatia! Kwan kina mbowe walipokutwa na hatia chadema ilisambaratika tena walikuwa zaidi ya watano au mnajilisha upepo. Kwamba hatia itaua chadema hizo ni ndoto za mchana na kama hujui chadema Kwa sasa ilishavuka ujinga wa eti kiongoz asipokuwepo utakufa hiyo dhana itoe kichwani. Mbinu ambayo wangetumia ikafanikiwa ni kutumia msajili lakini naye Kwa kuwa ni mpumbavu tayari hawezi kuiua chadema kwasababu kila analofanya akipelekwa mahakamani anapigwa kweli kweli mpaka ameshaogopa kuisogelea. For your information if Lissu gets convicted in frivolous and vexous charge the appeal will be successful overwhelmingly.