Tetesi: Kuna mpango wenye nia ovu kukwamisha michango ya CHADEMA kwa kigezo cha fedha haramu na utakatishaji fedha

Idugunde

JF-Expert Member
Joined
May 21, 2020
Posts
7,748
Reaction score
10,288
Kuna tetezi zimegaa mitaani kuwa serikali ya CCM inataka kuanza kufanya figisu.

Figisu zenyewe ni kutaka kuifuatlia michango ya Cdm ambayo mpaka sasa imefikia Tsh 90 mil+

Wanataka kuleta zengwe kuwa michango hiyo ni fedha haramu na kuna utakatishaji fedha ambao utatumika kufanya uharamia.
 
Hoja yao itakuwa ni ya kijingajinga.
SWALI KWA MSAJILI WA VYAMA.
-Je,katiba ya CHADEMA inasemaje kuhusu vyanzo vyake vya mapato vitakavyokuwa?
Kush nehi ghaega!
 
Wasijisumbue kwani wao walichangiwa na waarabu, wachina na wengineo mamilioni ya shilingi. Walijuaje kuwa ndani ya fedha hizo hazipo zilizotakatishwa kama siyo wanataka shari isiyo ya lazima?
Anayewashauri ccm hana ubongo!
 
Kila kitu duniani kina faida na hasara zake.
Mpango huu ovu una faida kidogo sana Kwa CCM lkn una hasara kubwa sana Kwa CCM kama serikali.
Itafika muda watu nao watakataa kuchangia shughuli za maendeleo kwa sababu hizihizi.
 
Wangemwangukia Mzee mbowe hawasaidie pesa ya uho mkutano wao👈
 
😄😄
 
Mjane wa Marehemu Shetani lenu la Chato sasa hv unatapatapa sana
 
Mbona wao walichangiwa na wakwepa kodi, tena walichangiwa mabilioni na hatukusikia cha TFA wala BOT na hata matumizi yake hayapo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…