Tetesi: Kuna mpasuko mitaa ya Ufipa. Ishu ya bandari yatajwa

Habari zilizonifikia kutoka kwenye vyanzo vyangu vinavyoaminika vinadai kuna mpasuko mkubwa kwenye korido za ufipa kwa kile kilichotajwa kuwa baadhi ha makada waandamizi ...
Ila chama hiki kwa mambo ya udini, hapa kijitafakariii. Ukiangalia walivyo alikana siku ile ya mkutano akina tumsifu yule jamaa milele aminaa, kwakweli suala lile liliwauma hhata sisi tusio na milengo yoyote ya imanii
 
Aisee watu wenye black belt or combat skills huwa hawaropoki hovyo, the stay silent and grounded. Attack when needed.
Umeangalia sana movie za kina Jet Lee.... haiko hivyo huku mtaani.
 
Non sense... Hopeless.... Rubish.... Go to sleep....
 
Chawa wa ***** katika ubora wako

KUBWA JINGA.

Sidhani Kama unafamilia mbwa wewe.
Kukutukana sioni hatia yoyote mbwa Koko.

Matako yako.we unaona sawa DUBAI kupewa anachokiomba mamayo.

Kaa mbalimbali na Comment hi juha.
Nipo zangu grosali napata moja Moto kwa machungu.
 
Habari zilizonifikia kutoka kwenye vyanzo vyangu vinavyoaminika vinadai kuna mpasuko mkubwa kwenye korido za ufipa kwa kile kilichotajwa kuwa baadhi ha makada waandamizi kutoridhishwa na mwelekeo wa siasa za chama zilizojaa udini siku za hivi karibuni.

Tetesi zinasema tayari wanachama wengi wameanza kumtupia lawama Mwenyekiti na viongozi wengine waliohutubia kwenye viwanja vya Buriaga, Temeke. Kuna walioenda mbali zaidi na kutaka mwenyekiti ajitokeze mbele ya waandishi wa habari na kutoa tamko.

Ikumbukwe siku chache chama hiki chenye siasa za udini na ukabila (kaskazini) lilikusanya mapadre, wachungaji na maaskofu kwenye viwanja vya Bulyaga kwa nia ovu ya kuichonganisha serikali pendwa ya Mama Samia na wananchi kwa hoja ya Bandari. Wananchi wengi walionyeshwa kusikitishwa na mkutano ule ulioonekana kama wa injili na kuahidi kukiadhibu hicho chama kwenye sanduku la kura.

Sheikh mmoja mwenye busara ameonekana akishangaa na kujiuliza kama chama kisichokuwa na dola kinawabagua Watanzania kwa misingi ya kidini itakuwaje wakikamata dola?

Mimi ninamjibu kwa kumwambia hali itakuwa mbaya zaidi. Ninawasihi wazalendo wote kujiweka mbali na hiki chama na kukiadhibu kila inapotokea nafasi ya kufanya hivyo kupitia sanduku la kura.
Hakuna kitu kama hicho mpasuko upo CCM.
 
Chawa wa ***** katika ubora wako

KUBWA JINGA.

Sidhani Kama unafamilia mbwa wewe.
Kukutukana sioni hatia yoyote mbwa Koko.

Matako yako.we unaona sawa DUBAI kupewa anachokiomba mamayo.

Kaa mbalimbali na Comment hi juha.
Nipo zangu grosali napata moja Moto kwa machungu.
Kunywa kistaarabu.
 
Habari zilizonifikia kutoka kwenye vyanzo vyangu vinavyoaminika vinadai kuna mpasuko mkubwa kwenye korido za ufipa kwa kile kilichotajwa kuwa baadhi ha makada waandamizi kutoridhishwa na mwelekeo wa siasa za chama zilizojaa udini siku za hivi karibuni.

Tetesi zinasema tayari wanachama wengi wameanza kumtupia lawama Mwenyekiti na viongozi wengine waliohutubia kwenye viwanja vya Buriaga, Temeke. Kuna walioenda mbali zaidi na kutaka mwenyekiti ajitokeze mbele ya waandishi wa habari na kutoa tamko.

Ikumbukwe siku chache chama hiki chenye siasa za udini na ukabila (kaskazini) lilikusanya mapadre, wachungaji na maaskofu kwenye viwanja vya Bulyaga kwa nia ovu ya kuichonganisha serikali pendwa ya Mama Samia na wananchi kwa hoja ya Bandari. Wananchi wengi walionyeshwa kusikitishwa na mkutano ule ulioonekana kama wa injili na kuahidi kukiadhibu hicho chama kwenye sanduku la kura.

Sheikh mmoja mwenye busara ameonekana akishangaa na kujiuliza kama chama kisichokuwa na dola kinawabagua Watanzania kwa misingi ya kidini itakuwaje wakikamata dola?

Mimi ninamjibu kwa kumwambia hali itakuwa mbaya zaidi. Ninawasihi wazalendo wote kujiweka mbali na hiki chama na kukiadhibu kila inapotokea nafasi ya kufanya hivyo kupitia sanduku la kura.
Acha tu mkuu huo ukoo wa panya usambaratike. Mimi nasema siyo tetesi ila dua ya sheikh Mwaipopo imewafyekelea mbali jamaa wa Ufipa.
 
Umeangalia sana movie za kina Jet Lee.... haiko hivyo huku mtaani.

You dont sound descplined. Moja ya vitu muhimu unafundishwa ni nidhamu. Uropoka as if ww tu ndio mwenye black belt? Growup son
 
Wewe ndo hauna nidhamu kunijibu kwa kiingereza kwenye mada niliyoandika kwa kiswahili. Ukiwa na wazee kijijini kwenu ndo huwa unawajibu hivyo?
 
Habari zilizonifikia kutoka kwenye vyanzo vyangu vinavyoaminika vinadai kuna mpasuko mkubwa kwenye korido za ufipa kwa kile kilichotajwa kuwa baadhi ha makada waandamizi kutoridhishwa na mwelekeo wa siasa za chama zilizojaa udini siku za hivi karibuni.

Tetesi zinasema tayari wanachama wengi wameanza kumtupia lawama Mwenyekiti na viongozi wengine waliohutubia kwenye viwanja vya Buriaga, Temeke. Kuna walioenda mbali zaidi na kutaka mwenyekiti ajitokeze mbele ya waandishi wa habari na kutoa tamko.

Ikumbukwe siku chache chama hiki chenye siasa za udini na ukabila (kaskazini) lilikusanya mapadre, wachungaji na maaskofu kwenye viwanja vya Bulyaga kwa nia ovu ya kuichonganisha serikali pendwa ya Mama Samia na wananchi kwa hoja ya Bandari. Wananchi wengi walionyeshwa kusikitishwa na mkutano ule ulioonekana kama wa injili na kuahidi kukiadhibu hicho chama kwenye sanduku la kura.

Sheikh mmoja mwenye busara ameonekana akishangaa na kujiuliza kama chama kisichokuwa na dola kinawabagua Watanzania kwa misingi ya kidini itakuwaje wakikamata dola?

Mimi ninamjibu kwa kumwambia hali itakuwa mbaya zaidi. Ninawasihi wazalendo wote kujiweka mbali na hiki chama na kukiadhibu kila inapotokea nafasi ya kufanya hivyo kupitia sanduku la kura.
This is another crap from mind crippled.

Mleta mada, wahi hospitali, japo magonjwa ya akili huwa hayaponi kwa 100%.
 
Sanduku lipi la kura? Hapa Tanzania hakuna uchaguzi, bali kuna maonesho ya ujinga wa mtu mweusi kwenye box la kura. Hizi propaganda za kizee bado kuna watu mnawauzia?
 
Habari zilizonifikia kutoka kwenye vyanzo vyangu vinavyoaminika vinadai kuna mpasuko mkubwa kwenye korido za ufipa kwa kile kilichotajwa kuwa baadhi ha makada waandamizi kutoridhishwa na mwelekeo wa siasa za chama zilizojaa udini siku za hivi karibuni.

Tetesi zinasema tayari wanachama wengi wameanza kumtupia lawama Mwenyekiti na viongozi wengine waliohutubia kwenye viwanja vya Buriaga, Temeke. Kuna walioenda mbali zaidi na kutaka mwenyekiti ajitokeze mbele ya waandishi wa habari na kutoa tamko.

Ikumbukwe siku chache chama hiki chenye siasa za udini na ukabila (kaskazini) lilikusanya mapadre, wachungaji na maaskofu kwenye viwanja vya Bulyaga kwa nia ovu ya kuichonganisha serikali pendwa ya Mama Samia na wananchi kwa hoja ya Bandari. Wananchi wengi walionyeshwa kusikitishwa na mkutano ule ulioonekana kama wa injili na kuahidi kukiadhibu hicho chama kwenye sanduku la kura.

Sheikh mmoja mwenye busara ameonekana akishangaa na kujiuliza kama chama kisichokuwa na dola kinawabagua Watanzania kwa misingi ya kidini itakuwaje wakikamata dola?

Mimi ninamjibu kwa kumwambia hali itakuwa mbaya zaidi. Ninawasihi wazalendo wote kujiweka mbali na hiki chama na kukiadhibu kila inapotokea nafasi ya kufanya hivyo kupitia sanduku la kura.

Trash
 
Back
Top Bottom