Kuna mpasuko unafumwa kisayansi ndani ya CCM na wamefanikiwa kwa 100%. Rais amechelewa kusoma mchezo

Hii nchi SAMIA kuchinda hata haihitaji hao watoto pendwa wala wanachama wa CCM,hii nchi ukisha kuwa Rais your everything.
Chadema nao ni majinga hata hawaoni wenzao wa Kenya wakatumia mgongo wa Gen Z kupitisha agenda zao,mwisho wa siku wamegawana madaraka na maandamano na chokochoko zikaisha.

Siasa ni mchezo ni namna tu ya kucheza ndio inatakiwa.
 
Ungetunga kitabu kizima ukakiweka sokoni kikauzwa. Pole sana. Tanzania Kwanza. Mengine baadae.
 
50% ni kweli, 50% tusubiri Muda utaongea
 
Pale ccm kuna kambi nyingi sana, kuna zingine zipo zinaangalia tu mchezo unavyoenda, kuna nyingine zipo kwa mfumo wa kulipa kisasi kuna nyingine zinapigania kubaki, kuna nyingine zinaangalia maslahi yao yatakuwa salama kiasi gani na ninani awepo au atoke ili usalama wao uzidi kuwepo, kuna nyingine ni za waasisi , wale waliokuwepo juzi jana na leo wote hao wanaangalia tu mchezo unavyo cheza.

Zikiingia front kambi mbili tu ccm ina kuwa kanu ya kenya.
 
Watashindwa
 
Samia hana uwezo wa kuendesha nchi, hata cha kusema tu hajui. This is the lowest bar of leadership.

Maneno hayahitaji fedha za kigeni wala za nyumbani, na hapo napo kashindwa atasingizia nini kama si ujinga tu?
 
Brit katika ubora wake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…