ZEE LA UONGO
JF-Expert Member
- Jun 19, 2023
- 1,314
- 3,944
Lakini alianza na TETESIJamaa yangu tangu useme DAB kafia SA kisha nikamuona Arusha anakagua kiwanja cha Ndege,kuanzia hapo siamini unachokiandika
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Lakini alianza na TETESIJamaa yangu tangu useme DAB kafia SA kisha nikamuona Arusha anakagua kiwanja cha Ndege,kuanzia hapo siamini unachokiandika
Acha dharau Kwa mamlaka ya nchiHana huo uwezo wa kuelewa vitu vikubwa kama hivyo, huyu ni mama wa kiswahili
CCM ni chama kinachoongozwa kwa nguvu za kiganga na matambiko, ipo siku hizo madhabahu zao za giza zitakitapika hicho chama...
Jamaa aliniingiza chaka yaan niliowaambia desa lake wakaja kumuona DAB yupo Arusha anakagua kiwanja sijui walinionaje kumbe na mimi nimekopi na kupesti tuLakini alianza na TETESI
Ilipasuka nchi haitoyumba, mifumo mingine ita take over for a whileCCM haiwezi kuruhusiwa kupasuka,ikipasuka nchi itayumba
Yani Rais naye anatumiwa viclip vya kuungaunga vya uvccm Whattsapp? Hapa tumeliwa.Mimi niliogopa sana Mheshimiwa Rais aliposema AMETUMIWA CLIP YA KATIBU MKUU WA CCM na kaisikiliza...
Unajua Nani alimtumia na kwanini Amtumie??
Uking’amua hili basi
UsikaririCCM haiwezi kuruhusiwa kupasuka,ikipasuka nchi itayumba
Unaelewa maana ya TETESI bila shakaJamaa aliniingiza chaka yaan niliowaambia desa lake wakaja kumuona DAB yupo Arusha anakagua kiwanja sijui walinionaje kumbe na mimi nimekopi na kupesti tu
Nakubaliana na weweHana huo uwezo wa kuelewa vitu vikubwa kama hivyo, huyu ni mama wa kiswahili
This maketh senseBinafsi yangu nataka SAMIA atawale hata kwa miaka 10 mingine,maana hata wakija Marais 5 mbele nothing they can change kwenyw nchi ambayo wananchi wake ni wajinga.
Maa... Modern Taarabu, mipasho a. K. a Mkojani fc.Kama kawaida si kila kitu lazima kiandikwe Ila kuna ya msingi ya kuandikwa ambayo yana toa ushauri na kuwezesha kurekebisha panapotakiwa kurekebishwa
Wengi tuliamini na kuamini kwamba kuna Mpasuko ndani ya Upinzani, hii ni Kwakuwa tuliamini upande wa Mbowe na Lissu hazipatani, Lakin nikakaa chini hasa kwa wale watu waliosomea intelligence na psychology watanielewa , mpasuko uko CCM
Mpasuko ndani ya CCM usabababishwa na kambi za chaguzi kuu, kwa bahati mbaya 2015 Uchaguzi ule uliiacha CCM ilogawanyika sana na ikashindwa kurejea kuwa moja, na hata kama walirejea ni kwa unafiki wa juu juu tu! Ndo maana hata leo hii haya mnayoyaona anayakoroga Samia ni matokeo ya kambi za ccm
Naeleza sasa !
Kuna kundi linalosababishwa na kuumizwa Mwaka 2015, na wengine wamerejeshwa kuokoa jahazi muda huu Ila mbaya zaidi nao wameanza kubezwa na toto pendwa!
Balozi alikuwa kambi ya Lowassa na Toto pendwa alikuwa ni mmoja wa watu waliopinga sana Lowassa kwa mgongo wa JK, na sasa hivi wote wako pamoja japo hawapikiki,
Mtoto pendwa kapika ushahidi feki wa mambo mbali mbali na kumpelekea Rais kwamba kuna mpango fulan na Fulan na wewe unaondoka muda si mrefu! Na mheshimiwa akapanik sana akaagiza Polisi waingie barabarani,
Wanaomshauri Rais ndo wanafuma vema Mpasuko kisayansi sana ili apuyange kwa wananchi na kwenye chama chao ili kutimiza lengo lake kuwekwa pembeni,
Samia amekosea wapi ?
1. Baada ya kurithi kiti hakupaswa kuwa social sana kwa anaowateua na Kama hajui wanaomwangusha soon si mbowe wala lissu bali ni walioko ndani ya CCM ambao walishamdharau akiwa makamu,
Alipaswa baada ya kurithi kiti angetaka nguvu asingekimbilia kufanya teuzi muda huo huo, angevunja Baraza la Mawaziri alafu akakaa Kama mwezi bila kufanya teuzi, ili kisaikolojia hawa wabunge wawe attention kuwa na adabu kwa Katiba na President na pia angechukua muda huo kujua nani Anafaa wapi na Nani hafai wapi! Hivo zile dharau walizokuwa wamejenga kwake akili zingewakaa Sawa kwanza hawa wanasiasa kwa kusibiria kwa shahuku Nani anateuliwa Nani hateuliwi
Ingempa heshima sana, na pia angejenga nguvu ya KAULI YA KIMAMLAKA, kwa sasa Rais anategemea na hao watoto pendwa ndo wamwambie sema hiki sema kile,
Nilitegemea kwenye masuala ya mauaji angetoa kauli ya KIMAMLAKA Lakin haikuwa hivo Aliishia kulaani tu!
Pili angetaka atawale vema asingekataza maandamano ya CHADEMA ya leo !
Swali la kwanza je wakiandamana wanaelekea wapi? Uoga wa nini? Aliyemshauri jambo hili anausuka mpasuko vema sana ndani ya CCM, maandamano ya CHADEMA yangefanyika yangeimarisha zaidi CCM kuliko CHADEMA, na yangempa credit Samia kuliko mbowe au lissu,
Ninamlaumu Mbowe kwa kutoa tarehe ya mbele sana ya maandamano badala ya maandamano kuanza siku hiyo Hiyo !
Watanzania ni watu wa kuvaa suala likiwa hot sana!
Ushauri kwa CHADEMA NA UPINZANI
1. Maandamano inabidi yawe organized tofauti , fanya Kama akina Nyerere walivyojificha katika shughuli fulan kumbe ndo wanaandamana hivo !
2. Viongozi wasiwe wanatoa location zao wanapojua kesho au keshokutwa kuna jambo la ku organize, wasiwe rahis kukamatwa ili ku destabilize mipango
3. Maandamano yasitangazwe Kama ya chama Bali ya wanamchi! Ili imguse kila mtu
Nitaandika Tena sijapangilia vema Bali ntaeleweka
Britanicca
Nchi haitokua hivi, CCM inaweka balance nzuri sana nchini,itaibuka mamlaka isiyo na mamlaka na patakua na vurugu za kimamlakaIlipasuka nchi haitoyumba, mifumo mingine ita take over for a while
Yaani kupewa usimamizi wa familia ya marehemu Ili kupata mrithi baada ya msiba Yeye anaamua kujimilikisha mazima.Si ndo na Mimi huwa nashangaa napoona mabango ya mitano Tena. Alipaswa kuambiwa kuwa anakabidhiwa kiti Hadi 2025 maana ....
CCM haiwezi kuruhusiwa kupasuka,ikipasuka nchi itayumba
Ccm haiweki balance, kuna kitu kinaitwa katiba we will follow hiyo line until uongozi mwingineNchi haitokua hivi, CCM inaweka balance nzuri sana nchini,itaibuka mamlaka isiyo na mamlaka na patakua na vurugu za kimamlaka
Ila kwa ishu ya sumu kuna ukweli, yule mwana sasa siyo mzima kuna humu amevaa kanzu na kilemba, ukiizoom utaona midomo yake imeungua mithili ta mnywaji wa pombe kali na ngozi yake iko pale sana.Jamaa yangu tangu useme DAB kafia SA kisha nikamuona Arusha anakagua kiwanja cha Ndege,kuanzia hapo siamini unachokiandika