Kuna mpasuko unafumwa kisayansi ndani ya CCM na wamefanikiwa kwa 100%. Rais amechelewa kusoma mchezo

Kuna mpasuko unafumwa kisayansi ndani ya CCM na wamefanikiwa kwa 100%. Rais amechelewa kusoma mchezo

Mimi niliogopa sana Mheshimiwa Rais aliposema AMETUMIWA CLIP YA KATIBU MKUU WA CCM na kaisikiliza...

Unajua Nani alimtumia na kwanini Amtumie??

Uking’amua hili basi
Yani Rais naye anatumiwa viclip vya kuungaunga vya uvccm Whattsapp? Hapa tumeliwa.

Ila nampenda mama anajuwa kupika masotojo, clip zake nimeziona.
 
Kama kawaida si kila kitu lazima kiandikwe Ila kuna ya msingi ya kuandikwa ambayo yana toa ushauri na kuwezesha kurekebisha panapotakiwa kurekebishwa

Wengi tuliamini na kuamini kwamba kuna Mpasuko ndani ya Upinzani, hii ni Kwakuwa tuliamini upande wa Mbowe na Lissu hazipatani, Lakin nikakaa chini hasa kwa wale watu waliosomea intelligence na psychology watanielewa , mpasuko uko CCM

Mpasuko ndani ya CCM usabababishwa na kambi za chaguzi kuu, kwa bahati mbaya 2015 Uchaguzi ule uliiacha CCM ilogawanyika sana na ikashindwa kurejea kuwa moja, na hata kama walirejea ni kwa unafiki wa juu juu tu! Ndo maana hata leo hii haya mnayoyaona anayakoroga Samia ni matokeo ya kambi za ccm

Naeleza sasa !

Kuna kundi linalosababishwa na kuumizwa Mwaka 2015, na wengine wamerejeshwa kuokoa jahazi muda huu Ila mbaya zaidi nao wameanza kubezwa na toto pendwa!
Balozi alikuwa kambi ya Lowassa na Toto pendwa alikuwa ni mmoja wa watu waliopinga sana Lowassa kwa mgongo wa JK, na sasa hivi wote wako pamoja japo hawapikiki,
Mtoto pendwa kapika ushahidi feki wa mambo mbali mbali na kumpelekea Rais kwamba kuna mpango fulan na Fulan na wewe unaondoka muda si mrefu! Na mheshimiwa akapanik sana akaagiza Polisi waingie barabarani,
Wanaomshauri Rais ndo wanafuma vema Mpasuko kisayansi sana ili apuyange kwa wananchi na kwenye chama chao ili kutimiza lengo lake kuwekwa pembeni,

Samia amekosea wapi ?
1. Baada ya kurithi kiti hakupaswa kuwa social sana kwa anaowateua na Kama hajui wanaomwangusha soon si mbowe wala lissu bali ni walioko ndani ya CCM ambao walishamdharau akiwa makamu,
Alipaswa baada ya kurithi kiti angetaka nguvu asingekimbilia kufanya teuzi muda huo huo, angevunja Baraza la Mawaziri alafu akakaa Kama mwezi bila kufanya teuzi, ili kisaikolojia hawa wabunge wawe attention kuwa na adabu kwa Katiba na President na pia angechukua muda huo kujua nani Anafaa wapi na Nani hafai wapi! Hivo zile dharau walizokuwa wamejenga kwake akili zingewakaa Sawa kwanza hawa wanasiasa kwa kusibiria kwa shahuku Nani anateuliwa Nani hateuliwi
Ingempa heshima sana, na pia angejenga nguvu ya KAULI YA KIMAMLAKA, kwa sasa Rais anategemea na hao watoto pendwa ndo wamwambie sema hiki sema kile,

Nilitegemea kwenye masuala ya mauaji angetoa kauli ya KIMAMLAKA Lakin haikuwa hivo Aliishia kulaani tu!

Pili angetaka atawale vema asingekataza maandamano ya CHADEMA ya leo !
Swali la kwanza je wakiandamana wanaelekea wapi? Uoga wa nini? Aliyemshauri jambo hili anausuka mpasuko vema sana ndani ya CCM, maandamano ya CHADEMA yangefanyika yangeimarisha zaidi CCM kuliko CHADEMA, na yangempa credit Samia kuliko mbowe au lissu,

Ninamlaumu Mbowe kwa kutoa tarehe ya mbele sana ya maandamano badala ya maandamano kuanza siku hiyo Hiyo !

Watanzania ni watu wa kuvaa suala likiwa hot sana!

Ushauri kwa CHADEMA NA UPINZANI
1. Maandamano inabidi yawe organized tofauti , fanya Kama akina Nyerere walivyojificha katika shughuli fulan kumbe ndo wanaandamana hivo !
2. Viongozi wasiwe wanatoa location zao wanapojua kesho au keshokutwa kuna jambo la ku organize, wasiwe rahis kukamatwa ili ku destabilize mipango
3. Maandamano yasitangazwe Kama ya chama Bali ya wanamchi! Ili imguse kila mtu


Nitaandika Tena sijapangilia vema Bali ntaeleweka

Britanicca
Maa... Modern Taarabu, mipasho a. K. a Mkojani fc.
Nendeni Zanzibar mkaone anavyo ijenga Zanzibar kwa speed ya 6G kabla uchaguzi wa 2025 na sisi huku Bara hatuungani kuwa kitu kimoja, na ndio maana hawezi kumtoa nje mzee wa Tozo kwa sababu wanajuana kwa upingaji wanaofanya kila mmoja kwa urefu wa kamba yake.
 
Si ndo na Mimi huwa nashangaa napoona mabango ya mitano Tena. Alipaswa kuambiwa kuwa anakabidhiwa kiti Hadi 2025 maana ....
Yaani kupewa usimamizi wa familia ya marehemu Ili kupata mrithi baada ya msiba Yeye anaamua kujimilikisha mazima.

Hayupo atakayemuelewa.

Muhimu akubali kusimama uchaguzi wa mrithi sahihi Kisha akabidhi Kwa Amani kabisa.

Kujaribu kungangania KITI ni kuleta maswali juu ya chanzo Cha kifo Cha marehemu!!
 
Jamaa yangu tangu useme DAB kafia SA kisha nikamuona Arusha anakagua kiwanja cha Ndege,kuanzia hapo siamini unachokiandika
Ila kwa ishu ya sumu kuna ukweli, yule mwana sasa siyo mzima kuna humu amevaa kanzu na kilemba, ukiizoom utaona midomo yake imeungua mithili ta mnywaji wa pombe kali na ngozi yake iko pale sana.
 
Back
Top Bottom