Half american
JF-Expert Member
- Sep 21, 2018
- 38,283
- 97,793
Endekeza ujinga halafu mwisho ulie kama punda.Kuna mpenzi wangu nilikua nampenda Sana na bado na mpenda Sana ila nimekuja kuomba ushari hapa.
Ipo hivi huyu mwanamke nilikua namhudumia kila kitu ila ikafika mahali akaanza kunijibu dharau na kuniambia hataki mahusiano na mwanaume yoyote "labda atokee mwenye pesa nyingi ambae hata nikimuomba elfu hamsini ananipa hapo hapo"
Wakati huo najinyima ili yeye aweze kula nikamfungulia mpaka ofisi ya Tigo pesa nampa pesa ya matumizi kodi namlipia ila ikatokea akanichana ukweli kwamba hanitaki tena na aka ni Block nikaona isiwe kesi nikaamua kumpotezea ila kwakua nilikua nampenda nikawa nikipita ofisini kwake namuachia hata elfu kumi ya kula..
Kumbe aliyekuwa anampa jeuri ni jamaa flani ndio maana akanipiga chini alafu jamaa ana mke na watoto kabisa sasa kilicho tokea jamaa kampa mimba alafu anamnyanyasa na hampi pesa ya matumizi na ndugu wamemkataa hana msaada popote.
Nashangaa jana kaniita amenipokea kwa magoti analia anaomba msamaha kiukweli nilishindwa kutoa maamuzi kwa haraka wala sikumfokea nikampa elfu ishirini walau apate kituchakula maana jamaa hamjali
Mimi nilikua namjali sana kwakile kidogo nilichokua nacho kuliko huyu jamaa mwenye pesa nyingi na hamjali anamfokea kila wakati hapa nawaza nichukue maamuzi gani maana moyo unaniuma anavyo teseka japo kanifanyia tukio kama hili nimemwambia asitoe mimba nitailea ila kakazana anataka kutoa hivyo nimeacha
aamue.
Anachotaka kufanya ameniomba msamaha anajuta sana. Najua kilicho mrudisha nisababu anashida nimeona nisimlipe mabaya bali ni msamehe na nimsaidie kwenye hili tatizo Lake.
Sijamfokea wala kumlaumu kwa chochote kile hata yeye mwenyewe ameshangaa Sana yale yote aliyo nitendea lakini bado namlipa wema
Brother you are so soft. Treat her as the same way she treated broke guys like you.Anachotaka kufanya ameniomba msamaha anajuta sana. Najua kilicho mrudisha nisababu anashida nimeona nisimlipe mabaya bali ni msamehe na nimsaidie kwenye hili tatizo Lake.
Yashanikuta huruma zangu ziliniponza sa hivi mwanamke anamtumia mtoto kunipiga hela, sema nilikiri sitakaa nirudie kosa Bora nife bachelaKuna Muda huruma inazaa Dhambi au Majuto
Akunyimae kunde kakupunguzia mashuziKuna mpenzi wangu nilikua nampenda Sana na bado na mpenda Sana ila nimekuja kuomba ushari hapa.
Ipo hivi huyu mwanamke nilikua namhudumia kila kitu ila ikafika mahali akaanza kunijibu dharau na kuniambia hataki mahusiano na mwanaume yoyote "labda atokee mwenye pesa nyingi ambae hata nikimuomba elfu hamsini ananipa hapo hapo"
Wakati huo najinyima ili yeye aweze kula nikamfungulia mpaka ofisi ya Tigo pesa nampa pesa ya matumizi kodi namlipia ila ikatokea akanichana ukweli kwamba hanitaki tena na aka ni Block nikaona isiwe kesi nikaamua kumpotezea ila kwakua nilikua nampenda nikawa nikipita ofisini kwake namuachia hata elfu kumi ya kula..
Kumbe aliyekuwa anampa jeuri ni jamaa flani ndio maana akanipiga chini alafu jamaa ana mke na watoto kabisa sasa kilicho tokea jamaa kampa mimba alafu anamnyanyasa na hampi pesa ya matumizi na ndugu wamemkataa hana msaada popote.
Nashangaa jana kaniita amenipokea kwa magoti analia anaomba msamaha kiukweli nilishindwa kutoa maamuzi kwa haraka wala sikumfokea nikampa elfu ishirini walau apate kituchakula maana jamaa hamjali
Mimi nilikua namjali sana kwakile kidogo nilichokua nacho kuliko huyu jamaa mwenye pesa nyingi na hamjali anamfokea kila wakati hapa nawaza nichukue maamuzi gani maana moyo unaniuma anavyo teseka japo kanifanyia tukio kama hili nimemwambia asitoe mimba nitailea ila kakazana anataka kutoa hivyo nimeacha
aamue.
Anachotaka kufanya ameniomba msamaha anajuta sana. Najua kilicho mrudisha nisababu anashida nimeona nisimlipe mabaya bali ni msamehe na nimsaidie kwenye hili tatizo Lake.
Sijamfokea wala kumlaumu kwa chochote kile hata yeye mwenyewe ameshangaa Sana yale yote aliyo nitendea lakini bado namlipa wema
Huna akili wewe, imeandikwa kwenye Mathayo ishini nao kwa akili.Kuna mpenzi wangu nilikua nampenda Sana na bado na mpenda Sana ila nimekuja kuomba ushari hapa.
Ipo hivi huyu mwanamke nilikua namhudumia kila kitu ila ikafika mahali akaanza kunijibu dharau na kuniambia hataki mahusiano na mwanaume yoyote "labda atokee mwenye pesa nyingi ambae hata nikimuomba elfu hamsini ananipa hapo hapo"
Wakati huo najinyima ili yeye aweze kula nikamfungulia mpaka ofisi ya Tigo pesa nampa pesa ya matumizi kodi namlipia ila ikatokea akanichana ukweli kwamba hanitaki tena na aka ni Block nikaona isiwe kesi nikaamua kumpotezea ila kwakua nilikua nampenda nikawa nikipita ofisini kwake namuachia hata elfu kumi ya kula..
Kumbe aliyekuwa anampa jeuri ni jamaa flani ndio maana akanipiga chini alafu jamaa ana mke na watoto kabisa sasa kilicho tokea jamaa kampa mimba alafu anamnyanyasa na hampi pesa ya matumizi na ndugu wamemkataa hana msaada popote.
Nashangaa jana kaniita amenipokea kwa magoti analia anaomba msamaha kiukweli nilishindwa kutoa maamuzi kwa haraka wala sikumfokea nikampa elfu ishirini walau apate kituchakula maana jamaa hamjali
Mimi nilikua namjali sana kwakile kidogo nilichokua nacho kuliko huyu jamaa mwenye pesa nyingi na hamjali anamfokea kila wakati hapa nawaza nichukue maamuzi gani maana moyo unaniuma anavyo teseka japo kanifanyia tukio kama hili nimemwambia asitoe mimba nitailea ila kakazana anataka kutoa hivyo nimeacha
aamue.
Anachotaka kufanya ameniomba msamaha anajuta sana. Najua kilicho mrudisha nisababu anashida nimeona nisimlipe mabaya bali ni msamehe na nimsaidie kwenye hili tatizo Lake.
Sijamfokea wala kumlaumu kwa chochote kile hata yeye mwenyewe ameshangaa Sana yale yote aliyo nitendea lakini bado namlipa wema
Nakuonea huruma sana huko mbeleni. Aliyekudharau jitahidi sana kumdharau mara mbili yakeKuna mpenzi wangu nilikua nampenda Sana na bado na mpenda Sana ila nimekuja kuomba ushari hapa.
Ipo hivi huyu mwanamke nilikua namhudumia kila kitu ila ikafika mahali akaanza kunijibu dharau na kuniambia hataki mahusiano na mwanaume yoyote "labda atokee mwenye pesa nyingi ambae hata nikimuomba elfu hamsini ananipa hapo hapo"
Wakati huo najinyima ili yeye aweze kula nikamfungulia mpaka ofisi ya Tigo pesa nampa pesa ya matumizi kodi namlipia ila ikatokea akanichana ukweli kwamba hanitaki tena na aka ni Block nikaona isiwe kesi nikaamua kumpotezea ila kwakua nilikua nampenda nikawa nikipita ofisini kwake namuachia hata elfu kumi ya kula..
Kumbe aliyekuwa anampa jeuri ni jamaa flani ndio maana akanipiga chini alafu jamaa ana mke na watoto kabisa sasa kilicho tokea jamaa kampa mimba alafu anamnyanyasa na hampi pesa ya matumizi na ndugu wamemkataa hana msaada popote.
Nashangaa jana kaniita amenipokea kwa magoti analia anaomba msamaha kiukweli nilishindwa kutoa maamuzi kwa haraka wala sikumfokea nikampa elfu ishirini walau apate kituchakula maana jamaa hamjali
Mimi nilikua namjali sana kwakile kidogo nilichokua nacho kuliko huyu jamaa mwenye pesa nyingi na hamjali anamfokea kila wakati hapa nawaza nichukue maamuzi gani maana moyo unaniuma anavyo teseka japo kanifanyia tukio kama hili nimemwambia asitoe mimba nitailea ila kakazana anataka kutoa hivyo nimeacha
aamue.
Anachotaka kufanya ameniomba msamaha anajuta sana. Najua kilicho mrudisha nisababu anashida nimeona nisimlipe mabaya bali ni msamehe na nimsaidie kwenye hili tatizo Lake.
Sijamfokea wala kumlaumu kwa chochote kile hata yeye mwenyewe ameshangaa Sana yale yote aliyo nitendea lakini bado namlipa wema
Sema Mwanamke sio mtu wa kumuonea hurumaYashanikuta huruma zangu ziliniponza sa hivi mwanamke anamtumia mtoto kunipiga hela, sema nilikiri sitakaa nirudie kosa Bora nife bachela