Kuna mpenzi wangu nilikua nampenda sana (na bado nampenda) ila kanipiga tukio ambalo najiuliza nimsamehe?

We jamaa ni hovyo kabisa, hakupendi alafu bado unajikomba komba kwake yani unapita ofisini kwake unamuachia ten ili aongeze kukudharau?

Mwanamke akikuacha akaenda kwa mwanaume mwingine achana nae kabisa kwani we ndio kimbilio la waliokosa msaada?
 
Kuna mpenzi wangu nilikua nampenda Sana na bado na mpenda Sana ila nimekuja kuomba ushari hapa.

Ipo hivi huyu mwanamke nilikua namhudumia kila kitu ila ikafika mahali akaanza kunijibu dharau na kuniambia hataki mahusiano na mwanaume yoyote "labda atokee mwenye pesa nyingi ambae hata nikimuomba elfu hamsini ananipa hapo hapo"

Wakati huo najinyima ili yeye aweze kula nikamfungulia mpaka ofisi ya Tigo pesa nampa pesa ya matumizi kodi namlipia ila ikatokea akanichana ukweli kwamba hanitaki tena na aka ni Block nikaona isiwe kesi nikaamua kumpotezea ila kwakua nilikua nampenda nikawa nikipita ofisini kwake namuachia hata elfu kumi ya kula..

Kumbe aliyekuwa anampa jeuri ni jamaa flani ndio maana akanipiga chini alafu jamaa ana mke na watoto kabisa sasa kilicho tokea jamaa kampa mimba alafu anamnyanyasa na hampi pesa ya matumizi na ndugu wamemkataa hana msaada popote.

Nashangaa jana kaniita amenipokea kwa magoti analia anaomba msamaha kiukweli nilishindwa kutoa maamuzi kwa haraka wala sikumfokea nikampa elfu ishirini walau apate kituchakula maana jamaa hamjali

Mimi nilikua namjali sana kwakile kidogo nilichokua nacho kuliko huyu jamaa mwenye pesa nyingi na hamjali anamfokea kila wakati hapa nawaza nichukue maamuzi gani maana moyo unaniuma anavyo teseka japo kanifanyia tukio kama hili nimemwambia asitoe mimba nitailea ila kakazana anataka kutoa hivyo nimeacha
aamue.

Anachotaka kufanya ameniomba msamaha anajuta sana. Najua kilicho mrudisha nisababu anashida nimeona nisimlipe mabaya bali ni msamehe na nimsaidie kwenye hili tatizo Lake.

Sijamfokea wala kumlaumu kwa chochote kile hata yeye mwenyewe ameshangaa Sana yale yote aliyo nitendea lakini bado namlipa wema
Endekeza ujinga halafu mwisho ulie kama punda.
 
Anachotaka kufanya ameniomba msamaha anajuta sana. Najua kilicho mrudisha nisababu anashida nimeona nisimlipe mabaya bali ni msamehe na nimsaidie kwenye hili tatizo Lake.
Brother you are so soft. Treat her as the same way she treated broke guys like you.

Msaada uliompa unamtosha sana acha kuwa mwepesi wewe. Umenifanya nimetukana krisimasi hii mapema tu kinyangarakata mkubwa wewe.

Mbona wewooo
 
Dah jamaa siwezi kukutusi maana mijuzi Kuna mwanamke nilikuwaga naenda kuchuja na nlikuwa nampenda coz sio malaya, Sasa juzi nkamuuliza chumba Cha lodge bei gani japo najua ni twenty, si akajikuta wa mjini akanambia 30 nkampa,
Asubuhi nimeamka nkamkopa hela ya Bajaj kwamba ntamrudishia akajichanga akanipa 10 nikasema hii ndo kwa heri ya kuonana.
Sa sijui we unafeli wapi nenda kaague mafundi wapo wengi
 
Kuna mpenzi wangu nilikua nampenda Sana na bado na mpenda Sana ila nimekuja kuomba ushari hapa.

Ipo hivi huyu mwanamke nilikua namhudumia kila kitu ila ikafika mahali akaanza kunijibu dharau na kuniambia hataki mahusiano na mwanaume yoyote "labda atokee mwenye pesa nyingi ambae hata nikimuomba elfu hamsini ananipa hapo hapo"

Wakati huo najinyima ili yeye aweze kula nikamfungulia mpaka ofisi ya Tigo pesa nampa pesa ya matumizi kodi namlipia ila ikatokea akanichana ukweli kwamba hanitaki tena na aka ni Block nikaona isiwe kesi nikaamua kumpotezea ila kwakua nilikua nampenda nikawa nikipita ofisini kwake namuachia hata elfu kumi ya kula..

Kumbe aliyekuwa anampa jeuri ni jamaa flani ndio maana akanipiga chini alafu jamaa ana mke na watoto kabisa sasa kilicho tokea jamaa kampa mimba alafu anamnyanyasa na hampi pesa ya matumizi na ndugu wamemkataa hana msaada popote.

Nashangaa jana kaniita amenipokea kwa magoti analia anaomba msamaha kiukweli nilishindwa kutoa maamuzi kwa haraka wala sikumfokea nikampa elfu ishirini walau apate kituchakula maana jamaa hamjali

Mimi nilikua namjali sana kwakile kidogo nilichokua nacho kuliko huyu jamaa mwenye pesa nyingi na hamjali anamfokea kila wakati hapa nawaza nichukue maamuzi gani maana moyo unaniuma anavyo teseka japo kanifanyia tukio kama hili nimemwambia asitoe mimba nitailea ila kakazana anataka kutoa hivyo nimeacha
aamue.

Anachotaka kufanya ameniomba msamaha anajuta sana. Najua kilicho mrudisha nisababu anashida nimeona nisimlipe mabaya bali ni msamehe na nimsaidie kwenye hili tatizo Lake.

Sijamfokea wala kumlaumu kwa chochote kile hata yeye mwenyewe ameshangaa Sana yale yote aliyo nitendea lakini bado namlipa wema
Akunyimae kunde kakupunguzia mashuzi
 
Huna akili wewe, imeandikwa kwenye Mathayo ishini nao kwa akili.
Wewe umeamua kuishi nae kwa njaa.
 
Umekosa option au ni udomo zege? mtu mzima mwenye akili hawezi kabisa kufanya huu ujinga
 
Kuna mpenzi wangu nilikua nampenda Sana na bado na mpenda Sana ila nimekuja kuomba ushari hapa.

Ipo hivi huyu mwanamke nilikua namhudumia kila kitu ila ikafika mahali akaanza kunijibu dharau na kuniambia hataki mahusiano na mwanaume yoyote "labda atokee mwenye pesa nyingi ambae hata nikimuomba elfu hamsini ananipa hapo hapo"

Wakati huo najinyima ili yeye aweze kula nikamfungulia mpaka ofisi ya Tigo pesa nampa pesa ya matumizi kodi namlipia ila ikatokea akanichana ukweli kwamba hanitaki tena na aka ni Block nikaona isiwe kesi nikaamua kumpotezea ila kwakua nilikua nampenda nikawa nikipita ofisini kwake namuachia hata elfu kumi ya kula..

Kumbe aliyekuwa anampa jeuri ni jamaa flani ndio maana akanipiga chini alafu jamaa ana mke na watoto kabisa sasa kilicho tokea jamaa kampa mimba alafu anamnyanyasa na hampi pesa ya matumizi na ndugu wamemkataa hana msaada popote.

Nashangaa jana kaniita amenipokea kwa magoti analia anaomba msamaha kiukweli nilishindwa kutoa maamuzi kwa haraka wala sikumfokea nikampa elfu ishirini walau apate kituchakula maana jamaa hamjali

Mimi nilikua namjali sana kwakile kidogo nilichokua nacho kuliko huyu jamaa mwenye pesa nyingi na hamjali anamfokea kila wakati hapa nawaza nichukue maamuzi gani maana moyo unaniuma anavyo teseka japo kanifanyia tukio kama hili nimemwambia asitoe mimba nitailea ila kakazana anataka kutoa hivyo nimeacha
aamue.

Anachotaka kufanya ameniomba msamaha anajuta sana. Najua kilicho mrudisha nisababu anashida nimeona nisimlipe mabaya bali ni msamehe na nimsaidie kwenye hili tatizo Lake.

Sijamfokea wala kumlaumu kwa chochote kile hata yeye mwenyewe ameshangaa Sana yale yote aliyo nitendea lakini bado namlipa wema
Nakuonea huruma sana huko mbeleni. Aliyekudharau jitahidi sana kumdharau mara mbili yake
 
Back
Top Bottom