Kuna mpenzi wangu nilikua nampenda sana (na bado nampenda) ila kanipiga tukio ambalo najiuliza nimsamehe?

Wewe mpuuzi.
 
Wewe ni mkristo?, kama wewe ni mkristo nadhani ushawahi kusikia habari za wana wa Israel Kwa matendo Yao, walizurura hovyo jangwani Kwa miaka kibao, Kwa sehemu ambayo ni karibu kabisa kuifikia, nakuhurumia kama mwanaume mwenzangu (nimeassume tu isije ikawa naongea na mvulana) kuwa usije ukawa kama hao, utajikuta unazunguka kwenye jangwa la mapenzi ambalo utakuja kuomba atokee mtu akuokoe lakini hakuna.
 
Mkuu unaonaje nkupe mchongo kwenye mitandao ya simu, unajua sana ku draft tangazo, hapo PM yako leo nI shangwe
 
Kiufupi wewe ni kejesi namaanaisha taahira bichwa kubwa akili sisimizi
 
Unaitaka pepo kwa nguvu sio?
 
Wewe ndo ulistahiri kuibeba hiyo mimba na kama vp tafuta kidume hapo ulipo akushughulikie sawa dada ? Acha kuletA story za vijiwe vya kahawA na majalalani sawa dogo ?
 
Umeshasema unamsamehe na utamsaidia kwenye tatizo lake, sasa hapa unauliza ya nini tena?
 
Mnataka tuwajibu vibaya mseme tumelewa pombe za Xmas
 
Watu kama nyie ndio wanawake huwa wanataka wanapata wa kuegemeza mgongo huku akiishi maisja yake halisi.
Lea huyo mtoto
Na atabeba mimba myongime ya mwingine na utalea

Mungu kakuwekea fungu lako la kuteswa Duniani na mapenzi na huna uwezo wa kupata demu wako anaekupenda wewe kama wewe
 
Wewe ni Kijana wa Hovyo, baada ya kuzaa tu jamaa atarudi na Demu atakutupilia mbali kama kamasi za mtoto.


Kwenye haya Maisha Kuna watu wanatakiwa kuteseka sana ili wengine wajifunze.

Nachomaanisha nn, Amekuona wee ni falaaaa, unaingia kwenye 18 za Wanawake kizembeeeeee 🤣🤣🤣

Basi hapo anakuambia...Sikutegemea jaman My kama ungenipokea na hii mimba ...nawee unajiona mwambaaaaaaa


Gud Guys, mna nn lkn vichwani kwenu??? Hamjifunzi tu
 
Jamaa imeamuliwa awe wa kulea na kuumizwa tu
 
Tafuta pesa hachana na mapenzi uchumi wako bado mdogo sana,we unashindwa hata kumpa mwanamke 50 kila anapoomba,unajisifia umemfungulia Tigo pesa usikute mtaji ni laki na nusu.mwanamke hana kazi atakula nini sasa lazima akucheat tu hata kama anakupenda.
 
Yeye alianza kujitenga na wewe,ukikubali kuwa nae tena utakuwa umeonyesha udhaifu mkubwa sana na atakuonyesha dharau zaidi ya hapo maana ameshakusoma kuwa huna msimamo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…