Kuna mpenzi wangu nilikua nampenda sana (na bado nampenda) ila kanipiga tukio ambalo najiuliza nimsamehe?

Yeye alianza kujitenga na wewe,ukikubali kuwa nae tena utakuwa umeonyesha udhaifu mkubwa sana na atakuonyesha dharau zaidi ya hapo maana ameshakusoma kuwa huna msimamo
Upendo=udhaifu...meacheni dogo
 
huyu jamaa mwenye pesa nyingi na hamjali anamfokea kila wakati
Uliona akimfokea?
sikumfokea nikampa elfu ishirini walau apate kituchakula maana jamaa hamjali
Umedakwa na drama zake
Sijamfokea wala kumlaumu kwa chochote kile hata yeye mwenyewe ameshangaa Sana
Unajisikia unayajua

Lea mtoto wa mwenzako ukitaka then apate wa pili nje pia ulee
 
Ukweli n kuwa huyo mwanamke hakupendi ila anakutumia kutatua shida zake.
 
Utakapofika umri wa miaka 45 ndio utajua ujinga uliofanya na utakukost utajuta na haitabadilika kitu.

Kila siku Natafuta Ajira anafundisha hapa nyie mmekalia simba na yanga.

Ona sasa. Huyo mwanamke anakuzidi akili. Na kawaida ya wanawake hawakai na wanaume maboya.
 
Nashangaa jana kaniita amenipokea kwa magoti analia anaomba msamaha kiukweli nilishindwa kutoa maamuzi kwa haraka wala sikumfokea nikampa elfu ishirini walau apate kituchakula maana jamaa hamjali
Wanaume wanajaza mimba wewe unahuduamia.

Dunia hii ina maajabu sana.
Unapenda sana K ndio manaa demu anakuendesha anajua wewe huwezi kuchomoka.
 
Wanaume bwana πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚Eti hana msaada πŸ™„
Nikwambie tu ndugu yangu huyo dada umsaidie au usimsaidie ataendelea na maisha,hafi na mwanaume akishamtia mimba mwanamke na akazaa hao wameshatengeneza mahusiano ya kudumu. Jambo lingine shida zinasahaulika akirudi hewani atakuona fala vilevile.
 
We jamaa unatupiga kamba🀣🀣🀣
 
Good comment
 
Sio pombe tu ndio kilevi, Kuna vilevi vingine unapaswa kuacha au kujifunza kuacha.
 
Bro unamsameheje huyo MMBWA aliyekuonesha dharau Kiac hicho , embu jifikirie mara mbili usituangushe βœ…
 
Usimzuie Mungu anapofanya KAZI take ya uungu ya kuwaadhibu watu hadi akili zao zikae saw sawa!!

Huyo unamnyima nafasi ya kujifunza kuwa mja mpya!ungemuacha !
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…