Kuna mrembo mmoja anautesa moyo wangu nimeamua kumwimbia huu wimbo na hii ndio picha yake yupo humuhumu

Wanawake wa siku hizi hawataki dedication.wanataka outing pia shopping ya mazagazaga..
Umbebe na gari aringishie shosti zake.
Km ana mtoto(singomama)umpende mwanae yaani hadi ifikie mtoto anaakuulizia baba zawadi uko wapi??.

Hapo utawin vizuri sana.from expirience wanawake wengi wazuri ni singo mama.

Changa karata vzr utapewa mzigo wa ela yote
 
Kweli kabisa.....wanawake wa siku hizi ni very different na wazamani, most of zem hawana huruma wala utu kwa wammezao
 
πŸ˜πŸ˜πŸ˜πŸ˜πŸ˜πŸ˜πŸ˜πŸ˜πŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™Œ
 
Kumbe tupo wengi humu,nilijua nipo peke yangu,Mtoa mada please leta songi songi,lol
Sauti isiwe Kama hiyo ya mbuzi Sasa..
Mtajitetea mtasema ni tone ya wimbo jamani ifike hatua tujue wimbo ni wimbo tu na Mee ni Mee tu..πŸ˜‚
 
πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™Œkutongoza hakunaga kutyuni sauti. Ujumbe umemfikia mwenyeweπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Sauti isiwe Kama hiyo ya mbuzi Sasa..
Mtajitetea mtasema ni tone ya wimbo jamani ifike hatua tujue wimbo ni wimbo tu na Mee ni Mee tu..πŸ˜‚
 
Kumbe tupo wengi humu,nilijua nipo peke yangu,Mtoa mada please leta songi songi,lol
πŸ˜πŸ˜πŸ˜πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™Œ
 
🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣 huu mwaka bora ukwishee
 
🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣 huu mwaka bora ukwishee
Ni kweli bossπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™Œumemwona huyo binti huko mtaani.
 
Reactions: Lee
Ni kweli bossπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™Œumemwona huyo binti huko mtaani.
Yupo telegram
 
Sauti isiwe Kama hiyo ya mbuzi Sasa..
Mtajitetea mtasema ni tone ya wimbo jamani ifike hatua tujue wimbo ni wimbo tu na Mee ni Mee tu..πŸ˜‚
Yaani bwana Kenzy unamwonea wivu hadi huyo dada kisa kaimbiwa wimbo khaaaaaaaaaaa. Ulitaka uimbiwe wewe πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…
 
Yaani bwana Kenzy unamwonea wivu hadi huyo dada kisa kaimbiwa wimbo khaaaaaaaaaaa. Ulitaka uimbiwe wewe πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…
Duh! Mkuu mi ni me na najua kuimba vizuri rekebisha sauti mtoto adate achana na hilo sauti mbuzi..πŸ˜‚
 
Duh! Mkuu mi ni me na najua kuimba vizuri rekebisha sauti mtoto adate achana na hilo sauti mbuzi..πŸ˜‚
Lengo la huu uzi sio kushindanisha sauti, kama lengo lako ni hilo BSS imeanza tayari huko, ni Bora uwahi mapema. Haya kwendraaaaaaaaaaaa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…