toughlendon_1
JF-Expert Member
- Feb 7, 2018
- 6,283
- 11,253
aiseeeeeeeJamiiforum ya Sasa ina kila aina ya wehu..🤣🤣 dah! Pole mkuu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
aiseeeeeeeJamiiforum ya Sasa ina kila aina ya wehu..🤣🤣 dah! Pole mkuu.
Wanawake wa siku hizi hawataki dedication.wanataka outing pia shopping ya mazagazaga..
Umbebe na gari aringishie shosti zake.
Km ana mtoto(singomama)umpende mwanae yaani hadi ifikie mtoto anaakuulizia baba zawadi uko wapi??.
Hapo utawin vizuri sana.from expirience wanawake wengi wazuri ni singo mama.
Changa karata vzr utapewa mzigo wa ela yote
😅😅😅Ni ndugu yanguNikajua Don namiloson
Umeijuwa tabia yake? Au umempendea kisura chake!
😁😁😁😁😁😁😁😁🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌Wanawake wa siku hizi hawataki dedication.wanataka outing pia shopping ya mazagazaga..
Umbebe na gari aringishie shosti zake.
Km ana mtoto(singomama)umpende mwanae yaani hadi ifikie mtoto anaakuulizia baba zawadi uko wapi??.
Hapo utawin vizuri sana.from expirience wanawake wengi wazuri ni singo mama.
Changa karata vzr utapewa mzigo wa ela yote
kisura tu mkuu, na tumacho
Sauti isiwe Kama hiyo ya mbuzi Sasa..Kumbe tupo wengi humu,nilijua nipo peke yangu,Mtoa mada please leta songi songi,lol
Sauti isiwe Kama hiyo ya mbuzi Sasa..
Mtajitetea mtasema ni tone ya wimbo jamani ifike hatua tujue wimbo ni wimbo tu na Mee ni Mee tu..😂
😁😁😁😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌Kumbe tupo wengi humu,nilijua nipo peke yangu,Mtoa mada please leta songi songi,lol
Ni kweli boss😂😂😂😂😂😂😂🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌umemwona huyo binti huko mtaani.🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 huu mwaka bora ukwishee
Yupo telegramNi kweli boss😂😂😂😂😂😂😂🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌umemwona huyo binti huko mtaani.
😂😂😂Jamiiforum ya Sasa ina kila aina ya wehu..🤣🤣 dah! Pole mkuu.
Yaani bwana Kenzy unamwonea wivu hadi huyo dada kisa kaimbiwa wimbo khaaaaaaaaaaa. Ulitaka uimbiwe wewe 😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅Sauti isiwe Kama hiyo ya mbuzi Sasa..
Mtajitetea mtasema ni tone ya wimbo jamani ifike hatua tujue wimbo ni wimbo tu na Mee ni Mee tu..😂
Kape taarifa mkuu, watu tunaukosa usingizi huku. 😋😋😋😋😋😋😋😋Yupo telegram
Duh! Mkuu mi ni me na najua kuimba vizuri rekebisha sauti mtoto adate achana na hilo sauti mbuzi..😂Yaani bwana Kenzy unamwonea wivu hadi huyo dada kisa kaimbiwa wimbo khaaaaaaaaaaa. Ulitaka uimbiwe wewe 😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅
Lengo la huu uzi sio kushindanisha sauti, kama lengo lako ni hilo BSS imeanza tayari huko, ni Bora uwahi mapema. Haya kwendraaaaaaaaaaaa.Duh! Mkuu mi ni me na najua kuimba vizuri rekebisha sauti mtoto adate achana na hilo sauti mbuzi..😂