Da sleeping Giant
Member
- Apr 5, 2023
- 25
- 59
Ndo tatzo la kutoa taarifa ukiwa kwenye boda ukifukuzia demu mitaani
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wenzio wanaweka wazi jf forum huwa ina ulinzi na member max melo hana mchezo na hivi ndio mwenye kitengo ndio kabisaaa tujiachie!Habari nikuwa mda wowote kuanzia sasa tujiandandae kusikia msanii Flani wa label Moja kubwa hapa bongo kuachana na label yake na kwenda kujitegemea. Chanzo inasemekana ni ugomvi wa kimaslahi Kati ya msanii na uongozi wa label hiyo. Msanii Anadai hathaminiwi kama wasanii wenzako na kutopewa promo na push ya kutosha kusambaza kazi zake hapa nchini hivyo kumkwamisha kimaendeleo.mpaka sasa bado kuna mazungumzo huku label ikisisitiza Hawezi ondoka bila kulipa hela. Huku upande wa msanii unadai hawezi toa hela kwani hakugharamiwa kama jinsi mkataba wake unavyosema. [emoji22] kwa staili hii hakuna mziki utakaoendelea hapa bongo.....
I was about to say the same thing.Atakua lavalava tu huyu
Hapana siwezi kumdisclose coz ishu bado inaendelea mezani ila soon mtasikia amesepa.Wenzio wanaweka wazi jf forum huwa ina ulinzi na member max melo hana mchezo na hivi ndio mwenye kitengo ndio kabisaaa tujiachie!
Subira huvuta heri!Hapana siwezi kumdisclose coz ishu bado inaendelea mezani ila soon mtasikia amesepa.
SawaNahisi kama Lavalava atakuwa, sina uhakika wala taarifa rasmi.
Nipeni muda mpaka leo usiku nitakuwa nimeshamjua.
Nakuamini sana nimewaza hii taarifa ungetuletea wewe wala isingekuwa ramli chonganishi!Nahisi kama Lavalava atakuwa, sina uhakika wala taarifa rasmi.
Nipeni muda mpaka leo usiku nitakuwa nimeshamjua.
WCBLabel kubwa bongo ni ipi?🤣
Kumbe ndo alomaanisha mtoa mada 😄
sasa label gani kubwa hapa bongo.Kumbe ndo alomaanisha mtoa mada 😄
Mi ndo naskia kwako dabliyusibii ni lebal kubwasasa label gani kubwa hapa bongo.
Wote walionzisha label atuoni impact , huyu mtoto wa tandale sijui aliweza vipi? Au kuna master mind nyuma yake?
AhahahahaNahisi kama Lavalava atakuwa, sina uhakika wala taarifa rasmi.
Nipeni muda mpaka leo usiku nitakuwa nimeshamjua.
Ukikosa vocha PMNahisi kama Lavalava atakuwa, sina uhakika wala taarifa rasmi.
Nipeni muda mpaka leo usiku nitakuwa nimeshamjua.