Kuna msanii ataaga label yake muda simrefu

Kuna msanii ataaga label yake muda simrefu

Habari nikuwa mda wowote kuanzia sasa tujiandandae kusikia msanii Flani wa label Moja kubwa hapa bongo kuachana na label yake na kwenda kujitegemea. Chanzo inasemekana ni ugomvi wa kimaslahi Kati ya msanii na uongozi wa label hiyo. Msanii Anadai hathaminiwi kama wasanii wenzako na kutopewa promo na push ya kutosha kusambaza kazi zake hapa nchini hivyo kumkwamisha kimaendeleo.mpaka sasa bado kuna mazungumzo huku label ikisisitiza Hawezi ondoka bila kulipa hela. Huku upande wa msanii unadai hawezi toa hela kwani hakugharamiwa kama jinsi mkataba wake unavyosema. [emoji22] kwa staili hii hakuna mziki utakaoendelea hapa bongo.....
Wenzio wanaweka wazi jf forum huwa ina ulinzi na member max melo hana mchezo na hivi ndio mwenye kitengo ndio kabisaaa tujiachie!
 
Wenzio wanaweka wazi jf forum huwa ina ulinzi na member max melo hana mchezo na hivi ndio mwenye kitengo ndio kabisaaa tujiachie!
Hapana siwezi kumdisclose coz ishu bado inaendelea mezani ila soon mtasikia amesepa.
 
Nahisi kama Lavalava atakuwa, sina uhakika wala taarifa rasmi.
Nipeni muda mpaka leo usiku nitakuwa nimeshamjua.
Nakuamini sana nimewaza hii taarifa ungetuletea wewe wala isingekuwa ramli chonganishi!
 
Hawana chochote cha maana kuisaodia jamii, why should we care. Na makundi ya mashoga na malaya tu hayo wala sio muzki
 
Back
Top Bottom