Kuna msanii ataaga label yake muda simrefu

Mi ndo naskia kwako dabliyusibii ni lebal kubwa

Sio mimi mkuu.

kwa east Africa ni WCB

Habari nikuwa mda wowote kuanzia sasa tujiandandae kusikia msanii Flani wa label Moja kubwa hapa bongo kuachana na label yake na kwenda kujitegemea. Chanzo inasemekana ni ugomvi wa kimaslahi Kati ya msanii na uongozi wa label hiyo. Msanii Anadai hathaminiwi kama wasanii wenzako na kutopewa promo na push ya kutosha kusambaza kazi zake hapa nchini hivyo kumkwamisha kimaendeleo.mpaka sasa bado kuna mazungumzo huku label ikisisitiza Hawezi ondoka bila kulipa hela. Huku upande wa msanii unadai hawezi toa hela kwani hakugharamiwa kama jinsi mkataba wake unavyosema. [emoji22] kwa staili hii hakuna mziki utakaoendelea hapa bongo.....
Upuuzi
 
UPDATE:Ni kwamba huyo msanii now yupo njiani kuelekea kwenye show yake Moja huko mkoani lakini watu wake bado wanadiscuss na management kuhusu hili swala Inasemekana ni kwamba label hiyo haikutekeleza kilichokubaliwa katika mkataba wake. Mfano ni idadi ya nyimbo anazoruhusiwa kutoa kwa mwaka,Kiasi cha promotion anayopaswa kufanyiwa na label hiyo na maeneo anayoruhusiwa kwenda msanii huyo ikiwemo watu anaotakiwa kuonana nao ama kuwashirikisha kwenye kazi zake.lakini pia inasemekana kwenye maokoto yake alikuwa halipwi vzri na label hiyo yaani pesa yake haioni. Sasa management wanataka awalipe ndo wamruhusu asepe lakini yeye amekomaa kwamba hapaswi kutoa dau lolote kwani uongozi huo umekiuka makubaliano ya mkataba.
 
Alipe billion 5 Diamond ajenge Wasafi Arena ndio aondoke —— Asome vipengele vya mkataba! 😂😂😂😂😂😂
 
Back
Top Bottom