Mad Max
JF-Expert Member
- Oct 21, 2010
- 26,961
- 77,890
Kikundi cha wahuni tu wale hamna kituMi ndo naskia kwako dabliyusibii ni lebal kubwa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kikundi cha wahuni tu wale hamna kituMi ndo naskia kwako dabliyusibii ni lebal kubwa
Kuna mmmoja aliambiwa akiwa
Usiandike direct sana hawachelewi kukushushia matusiKikundi cha wahuni tu wale hamna kitu
Mi ndo naskia kwako dabliyusibii ni lebal kubwa
Sio mimi mkuu.Mi ndo naskia kwako dabliyusibii ni lebal kubwa
afrobeatsglobal.com
UpuuziHabari nikuwa mda wowote kuanzia sasa tujiandandae kusikia msanii Flani wa label Moja kubwa hapa bongo kuachana na label yake na kwenda kujitegemea. Chanzo inasemekana ni ugomvi wa kimaslahi Kati ya msanii na uongozi wa label hiyo. Msanii Anadai hathaminiwi kama wasanii wenzako na kutopewa promo na push ya kutosha kusambaza kazi zake hapa nchini hivyo kumkwamisha kimaendeleo.mpaka sasa bado kuna mazungumzo huku label ikisisitiza Hawezi ondoka bila kulipa hela. Huku upande wa msanii unadai hawezi toa hela kwani hakugharamiwa kama jinsi mkataba wake unavyosema. [emoji22] kwa staili hii hakuna mziki utakaoendelea hapa bongo.....
Wasafi...Label kubwa bongo ni ipi?🤣
Tunakusubir madam ulete update kabla hamjaenda vacationMbona wewe nimekujibu jamani? Niko mzigoni nafuatilia hili, subirini wadau wangu.
Magma magma😂Sio lavalava kweli[emoji2]
Alipe billion 5 Diamond ajenge Wasafi Arena ndio aondoke —— Asome vipengele vya mkataba! 😂😂😂😂😂😂UPDATE:Ni kwamba huyo msanii now yupo njiani kuelekea kwenye show yake Moja huko mkoani lakini watu wake bado wanadiscuss na management kuhusu hili swala Inasemekana ni kwamba label hiyo haikutekeleza kilichokubaliwa katika mkataba wake. Mfano ni idadi ya nyimbo anazoruhusiwa kutoa kwa mwaka,Kiasi cha promotion anayopaswa kufanyiwa na label hiyo na maeneo anayoruhusiwa kwenda msanii huyo ikiwemo watu anaotakiwa kuonana nao ama kuwashirikisha kwenye kazi zake.lakini pia inasemekana kwenye maokoto yake alikuwa halipwi vzri na label hiyo yaani pesa yake haioni. Sasa management wanataka awalipe ndo wamruhusu asepe lakini yeye amekomaa kwamba hapaswi kutoa dau lolote kwani uongozi huo umekiuka makubaliano ya mkataba.