Kuna msomi wetu yeyote wa Computer Science amewahi hata kutengeneza simple computer games kama hizi?

Huwa unafanyaje unachukua tenda ya kutengeneza software
Scennario 1: I have the software products ambazo tayar nimezitengeneza na ninazouza in terms of providing services kwenye taasis mbali mbali mfano mashule. So siziuz kama one time product ila naingia contract kwa kuuza servicewise ambapo na attend service and maintenance charges ni monthly based. So hiz naziuza kwa kuwa na watu wa sales.

Scennario 2: kuna overall office operation softwares ambazo ni custom tailored nimezi tengeneza kwa makampuni mbali mbali kama ya cargo ,clearing n forwarding etc. Hiz zina take care overall office activities like Hr management, invoicing, financial reconsiliations and auditing, accounting etc.
Hiz naweza sema wateja nimekua nawapata effortlessly maana ni through refferencing. Wateja wanaona kaz kupitia wenzao na nakua reffered.

All the softwarea mbali na kuziuza still nakua contracted kuzi maintain ,secure na kuzi upgrade na kuzi update routinelly.
 
Mshaambiwe muende VETA mkajifunze upishi sasa
 
Mtoto wangu ana miaka 8 anatengeneza game zake mwenyewe humu,


 
Mtaalam, mbona unafanya mambo kuwa magumu sasa kama hizo Computer Games unazolalamikia hawa IT wetu.
Il falaki ndio nini tena?, unaweza kurahisisha lugha mtaalam wetu?
Nini maana ya Usihiri na sasa falaki?
Usiongeze ilm nyingine aisee.. 🙂
Mambo yetu yale ya unyagu
 
Nawajua waliotengeneza mifumo mikubwa tu inayokusaidia kuendesha maisha yako ukiwa umelala kitandani.

Kutengeneza game siyo issue, issue ni hiyo idea(wazo) la hiyo game. Ukitaka mtu arushe tu kisahani juu na mwingine akishoot na mkuki, si kazi sana inabidi ujua hesabu na physics kidogo concept za momentum, gravity na projection.
 
Wahitimu wa Computer Science wamefanya makubwa sn siyo hako kamchezo, we fanya mambo yako acha kuwaza watu ndio maana ulishindwa kusoma hiyo fani ingawa roho inapenda uwezo hauna
Nimeshajitanabaisha hapo juu nina kisomo cha usihiri sijawi kujaribu kusoma comp science
 
OK,we umetengeza nini
 
Sio lazima usomee computer sience bali ni utundu tu ukifuatilis wanaijeria wengi ambao wamekuwa ma expert kwenye udukuajj mtandaoni wengi hawajasomea ila ni janja janja tu za mjini.
Hizo janja janja tuzi apply basi kwenye ualisia...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…