Kuna msomi wetu yeyote wa Computer Science amewahi hata kutengeneza simple computer games kama hizi?

Kuna msomi wetu yeyote wa Computer Science amewahi hata kutengeneza simple computer games kama hizi?

Programming/coding is a skill kama fundi welding, mchoraji, sio vyeti vya diploma au degree. Wagonga code bongo wapo, hawana hizi publicity. Mimi ni shahidi.
 
Programming/coding is a skill kama fundi welding, mchoraji, sio vyeti vya diploma au degree. Wagonga code bongo wapo, hawana hizi publicity. Mimi ni shahidi.
Kabisa mkuu. Kuna wagonga code wazuri tu wanatengeneza vitu vizuri tu sema hawana publicity.
Mbona magila tech mfano wametengeneza azam pay na huduma kibao ambazo wabongo wanazitumia daily hata bila kujiuliza kazitengeneza nani?
 
Sasa nimeelewa...Shukrani aisee, naona jamaa hakutaka kurahisisha hivi. Ndio mambo ya kumwita Bodaboda sijui Transport Manager 😀
Karibu sana, kuna kazi zingine lazima utumie lugha tofauti 😄 🤣 😂
 
Wapi ambao sio wasomi, Niko najamaa yangu hata chuo hajafika lakin hizo mambo umsumbui
 
Back
Top Bottom