stakehigh
JF-Expert Member
- Aug 9, 2019
- 40,702
- 41,213
umri..........Unaweza kudeal nazo for fun kuonyesha ujabali wako
umri..........Unaweza kudeal nazo for fun kuonyesha ujabali wako
Umri umefanyaje?umri..........
Naam na hata wale waliotengeneza max malipo system,,hivi wako wapi kwa sasa,wakijulikana public si vibaya jamani,lengo tujivunie vya kwetu.Kabisa mkuu. Kuna wagonga code wazuri tu wanatengeneza vitu vizuri tu sema hawana publicity.
Mbona magila tech mfano wametengeneza azam pay na huduma kibao ambazo wabongo wanazitumia daily hata bila kujiuliza kazitengeneza nani?
Wale jamaa hata sijui wako wapi. Yes, walitengeneza kitu kikubwa sana aisee.Naam na hata wale waliotengeneza max malipo system,,hivi wako wapi kwa sasa,wakijulikana public si vibaya jamani,lengo tujivunie vya kwetu.
Sijui pengine wamejikita kutengeneza worms,virus na trajan horses za kutusumbua kwenye computer zetuNaam na hata wale waliotengeneza max malipo system,,hivi wako wapi kwa sasa,wakijulikana public si vibaya jamani,lengo tujivunie vya kwetu.
kwahiyo hiki ndio kipimo cha computer science?
Umesema wewekwahiyo hiki ndio kipimo cha computer science?
huijui computer science ndo maanaUmesema wewe
Negatives negatives negative, waache kudeal na project za masna wadeal na issue ndo ndogo? Why waharibu cv zao?Sijui pengine wamejikita kutengeneza worms,virus na trajan horses za kutusumbua kwenye computer zetu
Mkuu nitungie nyimbo zinazoimbika mie niziimbe, mapato ya content tutagawana. Usihofu mkataba ni muhimu. Mie nakipaji cha kuimba ila sina mda wa kutunga, i'm purely physics guy.Mimi nimesomea usihiri tu mkuu na nimefanya makubwa huko kwenye usihiri
Why me?Mkuu nitungie nyimbo zinazoimbika mie niziimbe, mapato ya content tutagawana. Usihofu mkataba ni muhimu. Mie nakipaji cha kuimba ila sina mda wa kutunga, i'm purely physics guy.
Si umensdi una uwezo wa kutunga.Hutaki hela ?Why me?
Nimesema nimebobea kwenye usihiri? au ulijua usihiri ni nini?Si umensdi una uwezo wa kutunga.Hutaki hela ?
Nilijua umechapia neno ushairiNimesema nimebobea kwenye usihiri? au ulijua usihiri ni nini?