Sasa nimeelewa...Shukrani aisee, naona jamaa hakutaka kurahisisha hivi. Ndio mambo ya kumwita Bodaboda sijui Transport Manager 😀Ushirikina
Ndumba
Uchawi
Ulozi
Sihr
Wapo nenda jukwaa la tech kuna threads za games za watu huko
Hizi simple computer games ni for the class practse. Watengeza mifumo, softwares kibao. Mfano vijana wa ega, very competitive
Ndio kina nani hao Ega?Hizi simple computer games ni for the class practse. Watengeza mifumo, softwares kibao. Mfano vijana wa ega, very competitive
SawaWapo nenda jukwaa la tech kuna threads za games za watu huko
Embu jielimishe , yaan vijana wa hapa nyumban na ufahamu wanafanya nn? Google bas hata kidogo?Ndio kina nani hao Ega?
Mambo ya uchawi uchawi na nyota mkuuUsihiri ndio nini
Kabisa mkuu. Kuna wagonga code wazuri tu wanatengeneza vitu vizuri tu sema hawana publicity.Programming/coding is a skill kama fundi welding, mchoraji, sio vyeti vya diploma au degree. Wagonga code bongo wapo, hawana hizi publicity. Mimi ni shahidi.
Karibu sana, kuna kazi zingine lazima utumie lugha tofauti 😄 🤣 😂Sasa nimeelewa...Shukrani aisee, naona jamaa hakutaka kurahisisha hivi. Ndio mambo ya kumwita Bodaboda sijui Transport Manager 😀
Ni kweli aisee... mfano Mwanamke Mpambanaji, au Mchakarikaji 😀 😀😀Karibu sana, kuna kazi zingine lazima utumie lugha tofauti 😄 🤣 😂
yes wapo mkuu ila soko lina ushindan sana saahv huezi kaa unadeal na hizi
Du ni kama umeniona kilaza sana kwa kutowajuaEmbu jielimishe , yaan vijana wa hapa nyumban na ufahamu wanafanya nn? Google bas hata kidogo?
Unaweza kudeal nazo for fun kuonyesha ujabali wakoyes wapo mkuu ila soko lina ushindan sana saahv huezi kaa unadeal na hizi
Sana, if mpaka miaka hii hujui akina ega ni nn? Na una smartphone? Update yourself manUnaweza kudeal nazo for fun kuonyesha ujabali wako
Mkuu hapa nawasilianq na wewe natumia pembe la digidigiSana, if mpaka miaka hii hujui akina ega ni nn? Na una smartphone? Update yourself man
Tumia hilo hiloMkuu hapa nawasilianq na wewe natumia pembe la digidigi
SawaTumia hilo hilo