Kuna msomi wetu yeyote wa Computer Science amewahi hata kutengeneza simple computer games kama hizi?

Kabisa mkuu. Kuna wagonga code wazuri tu wanatengeneza vitu vizuri tu sema hawana publicity.
Mbona magila tech mfano wametengeneza azam pay na huduma kibao ambazo wabongo wanazitumia daily hata bila kujiuliza kazitengeneza nani?
Naam na hata wale waliotengeneza max malipo system,,hivi wako wapi kwa sasa,wakijulikana public si vibaya jamani,lengo tujivunie vya kwetu.
 
Naam na hata wale waliotengeneza max malipo system,,hivi wako wapi kwa sasa,wakijulikana public si vibaya jamani,lengo tujivunie vya kwetu.
Sijui pengine wamejikita kutengeneza worms,virus na trajan horses za kutusumbua kwenye computer zetu
 
Sijui pengine wamejikita kutengeneza worms,virus na trajan horses za kutusumbua kwenye computer zetu
Negatives negatives negative, waache kudeal na project za masna wadeal na issue ndo ndogo? Why waharibu cv zao?
 
Mimi nimesomea usihiri tu mkuu na nimefanya makubwa huko kwenye usihiri
Mkuu nitungie nyimbo zinazoimbika mie niziimbe, mapato ya content tutagawana. Usihofu mkataba ni muhimu. Mie nakipaji cha kuimba ila sina mda wa kutunga, i'm purely physics guy.
 
Mkuu hio game sio ngumu sana. Hio ni kama animation flan. Wanaweza kutengeneza hata humu kuna mtu aliweka draft, bao alilodevelop.
 
Mkuu nitungie nyimbo zinazoimbika mie niziimbe, mapato ya content tutagawana. Usihofu mkataba ni muhimu. Mie nakipaji cha kuimba ila sina mda wa kutunga, i'm purely physics guy.
Why me?
 
Yes tupo ziko nyingi tu na tunaweza mimi binafsi ninaweza na hata demo ninazo karibu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…